Hadithi: Roho ya paka. (Ben R. Mtobwa)

Hadithi: Roho ya paka. (Ben R. Mtobwa)

Safi sanaa. Nimerudi kwenye kujisomea vinovo vitamu. Big up nameless girl
 
Inspekta kombora anafanana sana na ni afande mtaafu kova enzi zileee
 
asante sana umenikumbusha kuangalia kabati nilipokuwa naficha hivi vitabu ..........enzi hizo hutumwi dukani ukianza kusoma wala kula........umesoma Dar es salaam usiku. Ben kiboko
R.I.P Ben R. Mtobwa nimesoma vutabu vyake karibia vyote.
Ama kweli the best never last!
 
Pale ambapo palikuwa na vitita vya noti za ndani na nje sasa hapakuwa na kitu chochote. Hapana, palikuwa na kitu fulani, kitu kidogo, cheusi. Joram aliisogeza tochi yake na kutazama. Kama macho yake yalichelewa kumwashiria yanatazama nini, pua yake haikuchelea kufanya hivyo. Kitu hicho kilikuwa kinyesi. Baada ya kuchukua pesa hizo, kwa kuonyesha dharau, Adrian, akijua mtu yeyote angetamani kuzipata pesa hizo ndipo alipoamua kufanya hivyo.
Aisee kwa uandishi wa hivi hutachoka kusoma kamwe mwandishi alikuwa na uandishi fulani wa kipekee wa kufurahisha.
 
Vitabu vya Ben R. Mtobwa na Aristablus Elvis Musiba nilikuwa navisoma nadhani Joram Kiango na Willy Gamba wanaishi kweli.
Kama watatokea tena waandishi wa kuwafikia waandishi tajwa basi Tanzania ibarikiwe!
 
Pale ambapo palikuwa na vitita vya noti za ndani na nje sasa hapakuwa na kitu chochote. Hapana, palikuwa na kitu fulani, kitu kidogo, cheusi. Joram aliisogeza tochi yake na kutazama. Kama macho yake yalichelewa kumwashiria yanatazama nini, pua yake haikuchelea kufanya hivyo. Kitu hicho kilikuwa kinyesi. Baada ya kuchukua pesa hizo, kwa kuonyesha dharau, Adrian, akijua mtu yeyote angetamani kuzipata pesa hizo ndipo alipoamua kufanya hivyo.
Aisee kwa uandishi wa hivi hutachoka kusoma kamwe mwandishi alikuwa na uandishi fulani wa kipekee wa kufurahisha.
Writing is the last skill in the four language skills. Pamoja na kuwa akili ya kipekee Mwandishi huyu alikuwa na uwezo binafsi na wa kipekee wa kubuni na kufikiria nini aandike.
Lazima uukubali huu ubunifu wa aina yake!
 
Nimeianza jana na nimeshaimaliza yote, shukrani sana nameless
 
Mkuu jana peterchoka Hiki kitabu jana nimekikuta maeneo ya posta mpya.. Sema nikanunua mtambo wa Mauti na Jumatatu nakwenda kukinunua hiki... Jana nimesoma Mtambo wa Mauti nikahisi Kueukaruka kwa Utamu na Hisia
umemsoma Monalisa
 
Back
Top Bottom