Hadithi: Nililala na maiti ili niwe maarufu

Hadithi: Nililala na maiti ili niwe maarufu

HII STORY MKUSANYANE VILAZA MKAE MSIMULIANE. HUJUI HATA KUANDIKA UNALETA UPUUZI HUKU. NENDA KALALE NAYO MBELE HUKO.... NENDA SHULE KWANZA UKIMALIZA HATA FORM FOUR UJE UTUNGE TENA UONE UTAKUWA UMEADVANCE KIASI GANI.
Habari,
Naomba kufaham tatzo la mleta hadithi ni nini??
Naamin tuko na mitazamo tofaut ktk kila jambo. Kila mmoja kuna namna anatafsiri na kuona mambo. Kuhusu hii story mm nazan mleta story kaleta kwa namna ya uelewa wake, huenda anajifunza n.k.

Kwann asitiwe moyo??
Mfano yapo mambo ya msingi anajaribu kuyaeleza kama vile malipo ya utajiri
Kwamba utajiri sio kitu pouwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,
Naomba kufaham tatzo la mleta hadithi ni nini??
Naamin tuko na mitazamo tofaut ktk kila jambo. Kila mmoja kuna namna anatafsiri na kuona mambo. Kuhusu hii story mm nazan mleta story kaleta kwa namna ya uelewa wake, huenda anajifunza n.k.

Kwann asitiwe moyo??
Mfano yapo mambo ya msingi anajaribu kuyaeleza kama vile malipo ya utajiri
Kwamba utajiri sio kitu pouwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha utajiri siyo mzuri!!??? Au unamaanisha utajiri wa njia za mkato?
Kama unamaanisha umasikini ni mzuri kuliko utajiri basi unahitaji msaada wa kitabibu.
Anyway, siungani na hao wanaomkosoa mwandishi, kama wanaona story haina viwango hivyo wapite kimyakimya au wamshauri kwa kuboresha na si kumvunja moyo.
 
Habari,
Naomba kufaham tatzo la mleta hadithi ni nini??
Naamin tuko na mitazamo tofaut ktk kila jambo. Kila mmoja kuna namna anatafsiri na kuona mambo. Kuhusu hii story mm nazan mleta story kaleta kwa namna ya uelewa wake, huenda anajifunza n.k.

Kwann asitiwe moyo??
Mfano yapo mambo ya msingi anajaribu kuyaeleza kama vile malipo ya utajiri
Kwamba utajiri sio kitu pouwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hatotiwa moyo kwa huu upuuzi. Atatiwa kitu kingine tu. Hadithi yake ni ya uongo wa kitoto na haikaribiani hata na uongo wa kutunga. Ni a very hopeless story
 
Habari,
Naomba kufaham tatzo la mleta hadithi ni nini??
Naamin tuko na mitazamo tofaut ktk kila jambo. Kila mmoja kuna namna anatafsiri na kuona mambo. Kuhusu hii story mm nazan mleta story kaleta kwa namna ya uelewa wake, huenda anajifunza n.k.

Kwann asitiwe moyo??
Mfano yapo mambo ya msingi anajaribu kuyaeleza kama vile malipo ya utajiri
Kwamba utajiri sio kitu pouwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo moyo mtie tuu mkuu mimi naandaa dude la kumtia
 
Habari,
Naomba kufaham tatzo la mleta hadithi ni nini??
Naamin tuko na mitazamo tofaut ktk kila jambo. Kila mmoja kuna namna anatafsiri na kuona mambo. Kuhusu hii story mm nazan mleta story kaleta kwa namna ya uelewa wake, huenda anajifunza n.k.

Kwann asitiwe moyo??
Mfano yapo mambo ya msingi anajaribu kuyaeleza kama vile malipo ya utajiri
Kwamba utajiri sio kitu pouwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu achana na tahira hilo,hizo ndo huwa tabia zake!
 
Katika story ya kipumbavu JF hii no 1 yani siku hiyohiyo anunue gari akamilishe usajili na mavitu yote tena IST alafu kesho hiyo gari ni Alphard hahha unatuchukuliaje?

Pia huyu kijana katumwa aje azinajisi Roho zetu
 
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~01[emoji24][emoji860]

Ni miaka mitano imepita[emoji800]tangu nilipokuja Dar es salaam kutafuta maisha haikua rahisi sana nilipambana na kupigana zaidi na maisha pamoja kwamba nilikua nmesomea masuala ya uuguzi lakini nilipata changamoto nyingi hasa kwenye utafutaji wangu wa ajira. Niliishi kwa marafiki huku nikipambana kwa njia nyingi sikuchagua kazi nilifanya kazi zilizo za halali kujipatia kipato hatimaye nilifanikiwa kupanga chumba changu na kuanza kujitegemea kwa biashara ya kuuza maji pamoja na kujichanganya kwenye kusukuma matoroli.

Baada ya msoto wa muda mrefu[emoji19]nilipata kazi hospitalini sekta ya mochuary. Nilipewa nyazifa ya kuwa msimamizi mkuu wa wafanyakazi wote wa pale mochoary, ilikiwa ni furaha kwangu lakini si sana kwasababu sikupenda kufanya kazi kitengo hicho cha Mochuary lakini kutokana na ugumu wa maisha niliokuwa nao nilikuwabali, hata hivyo msimamizi mkuu wa hospitalini hapo aliniahidi kwamba nifanyanye kazi kwa muda kidogo aone mwenendo wangu kama ataridhishwa nao atanipangia kitengo kingine[emoji20]. Basi kutokana na kwamba nilikuwa nikiishi maeneo ya vingunguti mbali na hospitalini nilipoajiriwa nimuomba boss msaada wa pesa kidogo ili nihamie maeneo jirani na hospitali ili iwe rahisi kwangu kufanya kazi kwa ufanisi na bila changamoto. "Nimekuelewa Devi lakini hapa hospitali kuna nyumba kwa ajili ya watumishi, unaweza ukahamia hapa ukakaa kwa muda wakati ukiendelea kujipanga zaidi na maisha" Aliambia boss. "Asante boss" Nilimjibu. Alinitolea mkataba na kunipa niliusoma kwa makini na kuusaini kwani ilikuwa ni hospitali ya mtu binafsi.[emoji19] Nilipewa card ya benki pamoja na viambata vingine vya kuhifadhi. "Mr. Devi utaanza kazi jumatatu hizi siku mbili tatu fanya taratibu zako za kuhamia hapa hospitali pamoja na kujiweka sawa kiakili kwa ajili ya kuanza kazi" Aliniambia boss. "Sawa boss Nashukuru pia kama hakuna lingine boss naomba niage nikatekeleze yale uliyoniambia".Niliaga na kurudi nyumbani.

Siku iliyofuata nilianza jitihada za kuhamia pale hospitalini, nilihamia kwenye chumba kikubwa, choo na maji vyote vilikuwa ndani kwa ndani. Pia kulikuwa na sebule kubwa hakika nilifurahi na kujisemea moyoni " Oooh Thanks god nimepata ajira nitayabadilisha maisha yangu kwa miaka mitano nitahakikisha hili sebule linajaa kila aina ya furniture" Niliongea peke yangu[emoji848] huku nikitembeza macho kwenye sebule ile.

Ilikuwa ni siku ya Jumatatu asubuhi nilianza majumu yangu ya kikazi pale hospitalini kama kawaida. Kazi nilizotakiwa kuwajibika nazo[emoji3064] ni kupokea maiti na kuhakikisha zimeoshwa vizuri na kupuliziwa manukato mazuri kisha zinapewa namba na kuhifadhiwa kwenye majokofu maalumu ya kuhifadhia maiti. Hatimaye siku zilienda mbio kama difenda huku nikendelea na kazi yangu lakini nilihitaji kuwa mke, chakushangaza kila mwanamke niliyemtongoza na kumueleza ukweli wa kazi yangu penzi lilikufa papohapo, hata manesi wa fild waliofika hospitalini hapo waliogopa kama ukoma. Taratibu nilianza kuichukia kazi yangu[emoji20] kidogo kidogo nikashawishika kwenda kwa mganga[emoji35]ili nipandishwe cheo kazini. Mganga aliniuliza kazi yangu sikusita nilimuambia. Akafanya manyanga yake na mwisho akaniambia. "Bwana Devi nyota yako ni sana endapo utaitumia vizuri hata hiyo kazi yako utaiacha maana utakuwa bilionea ndani ya nchi na hata nje ya mipaka ya nchi ila tu[emoji849] kwa kutekeleza haya nitakayokuambia sema tawire." Aliniambia mganga "Tawire mganga" Nilijibu huku nikiwa na shauku ya kutaka kujua ni mambo gani mganga anataka niyatekeleze ili niwe maarufu.

"Devi ili uwe maarufu shariti la kwanza utatakiwa kufanya mapenzi na maiti baada ya hapo haitapita wiki utaona muujiza wako" aliniambia mganga. Nilimtolea macho[emoji849] ya mshangao na kumuuliza . "Mh mganga yani nikafanye mapanzi na maiti kabisa[emoji15]" Nilimuuliza. "Ndio maana yake hilo ndilo Shariti lako, utajiri ni mgumu sana usifikiri ni rahisi kama kutawaza tak* lako mshenzi wewe" Aliniambia mganga na kumalizia na tusi. "Heee babu mbona unanitusi tena" Nimuuliza. Akabehua kama mtu aliyeshiba sana kisha akaniambia. "Sio mimi niliyokutukana ni mizimu maana unataka vitu vya bwerere unadhani utajiri ni matak* kwamba kila mtu awe nayo mpuuzi wewe" Aliongeza mganga maneno hayo. Moyoni nikasema "mh ama kweli hiki kizaa zaa lakini ni kweli utajiri haupatikani kirahsi acha nitekeleze agizo kwani nani ataniona, nitafanya siri yangu" Nilikubali, mganga akanipa vidawa dawa na maneno kadhaa kisha tukaagana.

Jioni niliwaambia wafanyakazi wenzangu ambao wana shifti za usiku kwamba "Junior na Roberty, leo mkapumzike muangalie familia zenu nitawasaidia Shift yenu ya usiku"_Niliwaambia ili niweze kutekeleza azima yangu kirahisi. Nao walifurahi sana " Hayo ndio mambo bwana Devi kazi ni kusaidiana" Aliniambia Junior. Basi usiku nilibaki mwenyewe eneo la Mochwari, mara ikafika gari aina ya Toyota Pckup, ilikuwa imebeba maiti na kwa bahati nzuri ilikuwa ni maiti ya kike ambayo ilikuwa na utambulisho wa jina la KURUTHUMU JABIR, niliipokea maiti ile na kuwakabidhi waoshaji wa kike, wakaiosha vizuri baadae wakanikabidhi niiifadhi. Mpaka kufikia saa saba usiku hakukuwa na mtu pale hospitalini zaidi manesi wa usiku waliokuwa wanapitapita kwa mbali, basi nikazama ndani ya chumba cha mochuary na kuitoa ile maiti ya Kuruthumu kwenye Jokofu kisha nikaiweka sakafuni na kuitoa sanda ikabaki uchi kama ilivyozaliwa. "Hii ndio nzuri kwanza bado ya motomoto[emoji848]" nilijiambia mwenyewe kisha nikazima taa mule mochuary pakawa giza totoro, nikavua nguo zangu ili nianze kazi, ile natumbukiza mnara wangu ndani ya utam wa ile maiti ghafla nikasikia sauti "assssssssss" macho yalinitoka kwa mshangao[emoji15] sijakaa sawa ghafla ile maiti ikataka kunikukimbatia niliruka pembeni haraka na kuwahi kwenye swichi ya umeme, ile nawasha taaa......... [emoji15]

Naaaam, huu ndio mwanzo tu wa mkasa huu wa kweli ulioandikwa na mwandishi George pangalas je unasoma mkasa huu ukiwa wapi? Jibu ili nikutag sehemu ya piliView attachment 2842496
Ushawahi kulala mirembee??
 
hiliswali niliulizwa na wakili maahakamani nkajibu unanswerable hee sikujua wanauwezo wa kuuliza choochote nkaomba waahairishe
 
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~06& 07[emoji24][emoji860]

Baada ya kulilaza sakafuni maiti ambayo nilitaka kufanya nao mapenzi mule mochwari[emoji20]. Nikazima taa ili nisiingiwe na woga kwani maiti ile iliogofya kwa kuitazama. Macho ya maiti hiyo yenye jina la JOAN STEPHAN yaliganda sehemu moja kama vile sana, huku pua zake zikiwa zimezibwa na pamba. Ni kawaida maiti kuwekewa pamba puani kwasababu maiti nyingi zina desturi ya kutoa damu puani hivyo huwekewa pamba kuzuia damu, na ndio maana huwezi kukuta maiti imelazwa kifudifudi, iwe sakafuni, mochwari, au hata kwenye jeneza. Basi nikashusha suruali yangu suruali yangu mpaka magotini baada ya kuzima taa ndani ya chumba cha mochwari. Taratibu nikaanza kufanya mapenzi na maiti yenye jina la JOAN STEPHAN. Maiti ilikuwa ya baridi kiasi fulani hivyo ilinichukua muda kidogo kuipa joto kwa kuibumba sehemu zake za siri kwa mikono yangu hadi zikawa na joto, hapo tendo la ndoa na maiti ili likaendelea lakini ghafla nikasikia msonyo gizani "msiiiiu, malay muwaka hovyo wewe yani utakufa kifo kibaya sana wewe kaka, yani unaleta umalay usaliti mpaka kwa maiti, siku ile ulinitumia mimi ukaridhika leo umehamia kwa maiti ingine, sasa washa taa nikuonyeshe dawa ya wasaliti ipoje?" Ilikuwa ni sauti ya mwanamke ikitoa amri kutoka gizani mule mochwari. Haraka[emoji15] niliiachia maiti ya Joan na kusisimama pembeni huku mapigo ya moyo wangu yakinidunda kwa hofu sana, nikapata kigugumizi cha miguu na kuanza kusita sita kwenda kuwasha ile taa. "Hutaki kuwasha taaee acha niwashe mimi" Sauti hiyo ya mwanamke iliongea tena. Mara taa ikawaka[emoji15]. Ajabu nilipoangalia huku na kule kulikuwa kimya, nikatupia macho pale kwenye jokofu la maiti ya kuruthumu, maiti ile ilikuwa haipo. "Khaa! hii maiti imeenda wapi? Au ndugu zake walikuja kuichukua?" Nilijiuliza[emoji848]. Lakini hapana mbona wakati naingia ilikuwepo" Nilianza kuwaza bila kupata majibu.

"Mh haya mambo nashindwa kuyaelewa, hebu nirudishe hii maiti ya Joan kwenye jokofu lake nikale mimi maana kwa haya mauza uza ninaweza kurukwa na akili?" Nilijisemea akilini, kisha nikaichukua maiti ya Joan na kuirudihsha kwenye Jokofu. Nikatoka mule mochwari na kufunga milango baada ya hapo nikaenda nyumbani kwangu, hapakuwa mbali ni palepale hospitali ndani ya uzio wa hospitali. Nilipofika nyumbani nikafungua mlango, kisha nikaingia ndani ya kupapasa switch ya umeme ili niwashe taa. Nilipowashata tu taa, nilishangaa kuona maiti ya Kuruthumu imelala juu ya kitanda changu. Macho yalinitoka pima[emoji15] kwa woga. "Mh hii maiti sio ya kawaida, kwanza imefikaje hapa?" Nilijiuliza huku nikiwa nimesimama nimeduwaa. Mara nikashangaa[emoji15] ile maiti inatabasamu taratibu usoni mwake kama vile inataka kucheka. Macho yalinitoka kwa woga Almanusura nitoke nje nikimbie lakini nilijipa ujasiri wa kusimama na kuangalia timbwili lile mpaka mwisho kwani maji tayari nilikwisha kuyavulia nguo hivyo sikuwa na budi kuyaoga. "wewe Devi, acha usaliti hujui ni kwanini mpaka leo nipo Mochwari ndugu zangu hawaji kinichukua, wale walionileta sio ndugu zangu ila wewe uliwaona kama ndugu katika macho ya uhalisia. Lakini wale ni majini wa babu mganga ambao anawatumia kutajirisha watu, hata mimi sio maiti bali ni niji, na ndio maana siku ile ulipofanya mapenzi na maiti yangu, mwili wangu ulikuwa na joto, nililetwa mochwari kwa lengo la kukusaidia ili usifanye mapenzi na maiti kamili kwasababu utaingia kwenye vita na mizmu ya ukoo huo, lakini kwa tamaa zako kama mlivyo nyie wanaume kutoridhika umeacha kufanya mapenzi na mimi ukaenda kufanya mapenzi na maiti kamili, maiti Joan, umeanzisha vita ambayo hutaweza kuimaliza kwa tamaa zako. Nimeamini nyie viumbe hambebeki, kwasababu siku ya kwanza ulipofanya mapenzi na mimi ulipomaliza na kurudi chumbani kwako ulikuta rumbesa la pesa[emoji385][emoji389][emoji383]hatimaye ukanunua gari na zaidi umeanza kujenga nyumba yako huko maeneo ya Goba na sasahivi ipo kwenye lenta, bado hushukuru ukaingia tamaa ya kufanya mapenzi na maiti nyingine ukaniacha mimi ambaye ulianza kupata mwanzo mzuri, ama kweli kama ni mtihani umefeli, umelikoroga babu jiandae kulinywa maana nyie viumbe hambebeki." Iliongea maiti ya Kuruthumu na palepale ikapotea mbele ya macho yangu[emoji15]. Nikabaki nimeduwa huku nikiwa nimepanua domo kama mamba anayetega samaki.

"Looh tamaa hizi ona sasa nimeharibu, kumbe Kuruthumu hakuwa maiti kamili, bali ni jini? Sasa itakuwaje? Nini kitanikuta jamani?[emoji848]" Niliwaza mpaka nikahisi kichwa kitapasuka. Niliamua kujipumzisha kitandani, usiku huo mzima jicho lilikuwa kodo sikupata usingizi kabisa. Ningelalaje kwa mfano wakati tayari nishaambiwa nimeyaharibu. Basi asubuhi na mapema nilikuja kuamshwa, kwamba ndugu wa maiti ya Joan wamekuja kuchukua maiti yao, nilienda kuwakabidhi kwa maandishi wakaondoka na maiti yao bila neno. "Mh mbona hakuna baya lililonifika.?" niliwaza. "Any way acha tu niende kwa mganga nikamuombe ushari maana vile vitisho alivyonipa Kuruthumu jana vinaninyima amani?" Nilijisemea moyoni kisha nikawasha gari langu kuelekea kwa mganga. Baada ya kufika kwa mganga nilieleza yote yaliyonitokea, sikuficha hata moja nilikuwa muwazi ili niwe, kusaidia[emoji19]. "Hahahaha kenge mjamzito wewe umeshayakoroga huko na hakuna tiba nyingine zaidi ya kwenda kuomba msamaha juu ya kaburi la hiyo maiti uliyolala nayo. Kama inazikwa leo itabidi tuendele kesho asubuhi kwenye kaburi hilo ukaombe radhi lasi hivyo utakiona cha mtema kuni" Aliniambia mganga. "Sawa babu mimi nipo tayari kwenda kuomba radhi[emoji26]" Nilimwambia mganga. Basi kwakuwa lengo langu lilikuwa kusamehewa ili niendelee na utajiri wangu niliamua kulalala hapohapo kwa mganga ili asubuhi niamke naye kuelekea kwenye makaburi ya kinondoni kwani nilikuwa na taarifa kwamba ndipo maiti ya JoAN STEPHAN inaenda kuzikwa. Asubuhi kulikucha mganga aliniamsha kwa kunimwagia maji ya baridi juu ya kitanda chake nilichokuwa nimelalia. "We malay wa maiti amka twende, unalala kwa raha gani wakati umelikoroga" alisema mganga nikaamka huku nguo zangu zikichuruzika maji, moyoni nilikuwa na hasira kwa kitendo kile alichonifanyia babu mganga hadi uso wangu ulionyesha kwamba nimekasirika. "Unaniangalia kwa hasira haya nipige sasa nikugeuze kunguni mwenye matege[emoji16]" Alisema mganga huku akiwa ameshika kapu lake lililojaa vibuyu. "Hebu twende huko" Alinikaripia . basi tukaondoka nyumbani kwake kuelekea makaburini.

Japo mganga alikuwa mzee lakini alitembea kikamavu hatimaye tukafika kwenye makaburi ya kinondoni saa 11. Tukaingia kwenye makaburi ya wanawake na kutafuta kaburi la Joan Stephan, hatimaye tukalipata, lilikuwa jipya kabisa. Mganga akashusha kapu lake juu ya kaburi hilo. Wakati mganga anaendelea kufanya manyanga yake mimi nikiwa nimesimama pembeni. Ghafla aliibuka mtu wa ajabu juu ya kaburi lile, mkonini alishika upanga mrefu wenye makali kuwili[emoji15] Mganga alikimbia kama swala, niliona tu shuka lake likipepea hewa, na mimi nilikimbilia alipoelekea mganga, lakini kasi ya mganga ilikuwa kali sikuweza kumpata. Alikunja kona zake na mimi nikakunja zangu mwisho tukapotezana. Nilimbia huku nikigeuza shingo kuangalia nyuma. Hamadi nikamuona yule mtu wa ajabu akiendendelea kunikimbiza na upanga wake[emoji15]

Je ipi hatima ya Devi?
 
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~08[emoji24][emoji860]

Niliongozana na mganga mguu wake mguu wangu mpaka kwenye makuburi ya Kinondoni[emoji20]tukaingia upande wa makaburi ya wanawake huku tukilitafuta kaburi la JOAN STEPHEN, hatimaye tukafanikiwa kuliona. Lilikuwa bado ni kaburi jipya ambalo lilisakafiwa vizuri na juu ya kaburi hilo kuliwekwa mauwa [emoji257][emoji254][emoji253]ya aina mbalimbali. Mganga akasimama mbele ya kaburi akashusha vifaa vyake vya kutendea kazi. Alitoa matunguli kutoka katika kikapu chake alichobeba. Akasimama juu ya kaburi huku akisrma maneo ambayo sikuyaelewa. Wakati mganga akiendelea kufanya manyanga yake huku akiwa ameinamisha kichwa chini kama mtu anayesali, ghafla aliibuka mtu wa kutisha mbele yake. Alivaa koti refu jeusi, na juu alijifunika kofia ya koti lake, uso wake haukuonekana ulikuwa ni giza tupu. Mkononi alishikilia upanga mrefu wenye makali kuwili, nilijikaza kusimama nyuma ya mganga huku imani yangu yote nikiiweka kwake kwamba atafanya manyanga yake ili akabiline na mtu yule ambaye bado alikuwa hajamuona kwasababu bado alikuwa ameinamisha kichwa.[emoji20]

Ajabu sasa, mganga aliponyanyua kichwa chake na kumuona mtu yule wa ajabu[emoji15], Mganga alikimbia kama swala huku shuka lake alilokuwa amejifunika asubuhi hiyo likipepea hewani kama mtu anayekimbiza bendera[emoji16]. Looo! Nani abaki kama mganga mwenyewe katoka nduki mimi ni nani niendelee kubaki pale. Nilikimbia alikoelekea mganga lakini kasi yake ilikuwa kali sana na sikuweza kumpata. Alikunja kona zake na mimi nikakinja zangu kila mtu alompoteza mwenzake nikabako nikikimbia peke yangu[emoji2099].
Nilikimbia huku nikigeuka nyuma kuhakiki kama nilikuwa salama lakini nilimuona mtu wa ajabu akiendelea kunikimbiza huku akiwa amelishikilia panga lake mkononi na mbaya zaidi[emoji15] alianza kunikaribia. Nilijawa na hofu, tumaini pekee la kuiona kesho lilibaki katika miguu yangu yani mbio zangu ndizo nilizotegemea ziniokoe. "Hapa nikicheza nakufa kizembe, dawa nitoke vichochoroni nikimbie sehemu ambayo watu wananiona, ili hata mtu huyu wa ajabu akinikaribia watu wanitetee[emoji30]. Nilikatiza vichochoro viwili nikatokea barabarani huku nikikimbia sana.

Nilipotokeza mbele za watu nilianza kupiga kelele huku nikikimbia, maana yule mtu wa ajabu alikuwa ananikaribia, ajabu watu walicheka na kuniona kama chizi huku wakiulizana. " huyu naye kulikoni mbona anakimbia mwenyewe huku anapiga kelele, au kafumaniwa!" Kila mmoja aliongea lake hapo nikagundua kwamba wao walikuwa hawamuoni mtu yule wa ajabu isipokuwa mimi pekee Nilichoamua ni kuongeza mbio ili niinusuru roho yangu🥹.Nikakunja kona ya kwanza kisha nikavuka ng'ambo ya barabara na kukunja kona mbili tatu nilipogeuka nyumba sikumuona yule mtu wa ajabu. Ikabidi nisimame huku nikihema sana alimanusura kutapika moyo, nilihema balaa kama bada aliyetoka kukimbizwa na wafugaji wake ili afanywe kitoweo. Nilipoona mtu yule simuoni tena hapo nikapata matumaini na kuanza kutembea kuelekea nyumbani kule hospitali nilipokuwa nafanya kazi,,. Nilitembea kwa ukakamavu kama askari katika gwaridwe, sikutaka kuingia hospitalini kwanza nilipokuwa naishi bali nilikaa mtaani kupoteza muda uende, ilipotimu saa mbili usiku nikiwa bado nipo mtaani ndipo nikaamua sasa niingie hospitali nikalale kwenye chumba changu.Nilifika nikafungua mlango nikiwa siamini kabisa kama nilipona katika tukio lile la mchana. Niliingia ndani. Nilipowasha taa, sikuamini nilichokiona, yule mtu wa ajabu aliyekuwa akinikimbiza, alikuwa amekaa juu ya godoro langu , huku kashika panga lake mkononi, ile nataka kugeuka nitoke mbio nje. Ghafla[emoji15] mlango ulijifunga, sijakaa sawa balbu ya umeme ikalipuka "paaa " kama vile ilikuwa imepata shoti, ndani ya chumba kukawa giza la kutisha, Ndani ya chumba hicho kichojaa giza nilibaki peke yangu na yule mtu wa ajabu[emoji15].

Je nini kitaendelea? Ipi hatima ya Devi? Ni vipi ataweza kusalimika? Hakika usikose sehemu ijayo[emoji120][emoji818]
 
Habari,
Naomba kufaham tatzo la mleta hadithi ni nini??
Naamin tuko na mitazamo tofaut ktk kila jambo. Kila mmoja kuna namna anatafsiri na kuona mambo. Kuhusu hii story mm nazan mleta story kaleta kwa namna ya uelewa wake, huenda anajifunza n.k.

Kwann asitiwe moyo??
Mfano yapo mambo ya msingi anajaribu kuyaeleza kama vile malipo ya utajiri
Kwamba utajiri sio kitu pouwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sitokata tamaa lazima hii story nimalize
 
Unamaanisha utajiri siyo mzuri!!??? Au unamaanisha utajiri wa njia za mkato?
Kama unamaanisha umasikini ni mzuri kuliko utajiri basi unahitaji msaada wa kitabibu.
Anyway, siungani na hao wanaomkosoa mwandishi, kama wanaona story haina viwango hivyo wapite kimyakimya au wamshauri kwa kuboresha na si kumvunja moyo.
Tumia akili kuwaza
 
Huyu hatotiwa moyo kwa huu upuuzi. Atatiwa kitu kingine tu. Hadithi yake ni ya uongo wa kitoto na haikaribiani hata na uongo wa kutunga. Ni a very hopeless story
Acha ujinga wko we story kibao umeishia njia Huna hata aibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom