kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Moderator kweli mmeshindwa kurekebisha bandiko likasomeka maarufu badala maalufu sio poa ukakasi!
We uliesoma una bilioni ngap benkHII STORY MKUSANYANE VILAZA MKAE MSIMULIANE. HUJUI HATA KUANDIKA UNALETA UPUUZI HUKU. NENDA KALALE NAYO MBELE HUKO.... NENDA SHULE KWANZA UKIMALIZA HATA FORM FOUR UJE UTUNGE TENA UONE UTAKUWA UMEADVANCE KIASI GANI.
PamojaHabari,
Naomba kufaham tatzo la mleta hadithi ni nini??
Naamin tuko na mitazamo tofaut ktk kila jambo. Kila mmoja kuna namna anatafsiri na kuona mambo. Kuhusu hii story mm nazan mleta story kaleta kwa namna ya uelewa wake, huenda anajifunza n.k.
Kwann asitiwe moyo??
Mfano yapo mambo ya msingi anajaribu kuyaeleza kama vile malipo ya utajiri
Kwamba utajiri sio kitu pouwa
Sent using Jamii Forums mobile app
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~01[emoji24][emoji860]
Ni miaka mitano imepita[emoji800]tangu nilipokuja Dar es salaam kutafuta maisha haikua rahisi sana nilipambana na kupigana zaidi na maisha pamoja kwamba nilikua nmesomea masuala ya uuguzi lakini nilipata changamoto nyingi hasa kwenye utafutaji wangu wa ajira. Niliishi kwa marafiki huku nikipambana kwa njia nyingi sikuchagua kazi nilifanya kazi zilizo za halali kujipatia kipato hatimaye nilifanikiwa kupanga chumba changu na kuanza kujitegemea kwa biashara ya kuuza maji pamoja na kujichanganya kwenye kusukuma matoroli.
Baada ya msoto wa muda mrefu[emoji19]nilipata kazi hospitalini sekta ya mochuary. Nilipewa nyazifa ya kuwa msimamizi mkuu wa wafanyakazi wote wa pale mochoary, ilikiwa ni furaha kwangu lakini si sana kwasababu sikupenda kufanya kazi kitengo hicho cha Mochuary lakini kutokana na ugumu wa maisha niliokuwa nao nilikuwabali, hata hivyo msimamizi mkuu wa hospitalini hapo aliniahidi kwamba nifanyanye kazi kwa muda kidogo aone mwenendo wangu kama ataridhishwa nao atanipangia kitengo kingine[emoji20]. Basi kutokana na kwamba nilikuwa nikiishi maeneo ya vingunguti mbali na hospitalini nilipoajiriwa nimuomba boss msaada wa pesa kidogo ili nihamie maeneo jirani na hospitali ili iwe rahisi kwangu kufanya kazi kwa ufanisi na bila changamoto. "Nimekuelewa Devi lakini hapa hospitali kuna nyumba kwa ajili ya watumishi, unaweza ukahamia hapa ukakaa kwa muda wakati ukiendelea kujipanga zaidi na maisha" Aliambia boss. "Asante boss" Nilimjibu. Alinitolea mkataba na kunipa niliusoma kwa makini na kuusaini kwani ilikuwa ni hospitali ya mtu binafsi.[emoji19] Nilipewa card ya benki pamoja na viambata vingine vya kuhifadhi. "Mr. Devi utaanza kazi jumatatu hizi siku mbili tatu fanya taratibu zako za kuhamia hapa hospitali pamoja na kujiweka sawa kiakili kwa ajili ya kuanza kazi" Aliniambia boss. "Sawa boss Nashukuru pia kama hakuna lingine boss naomba niage nikatekeleze yale uliyoniambia".Niliaga na kurudi nyumbani.
Siku iliyofuata nilianza jitihada za kuhamia pale hospitalini, nilihamia kwenye chumba kikubwa, choo na maji vyote vilikuwa ndani kwa ndani. Pia kulikuwa na sebule kubwa hakika nilifurahi na kujisemea moyoni " Oooh Thanks god nimepata ajira nitayabadilisha maisha yangu kwa miaka mitano nitahakikisha hili sebule linajaa kila aina ya furniture" Niliongea peke yangu[emoji848] huku nikitembeza macho kwenye sebule ile.
Ilikuwa ni siku ya Jumatatu asubuhi nilianza majumu yangu ya kikazi pale hospitalini kama kawaida. Kazi nilizotakiwa kuwajibika nazo[emoji3064] ni kupokea maiti na kuhakikisha zimeoshwa vizuri na kupuliziwa manukato mazuri kisha zinapewa namba na kuhifadhiwa kwenye majokofu maalumu ya kuhifadhia maiti. Hatimaye siku zilienda mbio kama difenda huku nikendelea na kazi yangu lakini nilihitaji kuwa mke, chakushangaza kila mwanamke niliyemtongoza na kumueleza ukweli wa kazi yangu penzi lilikufa papohapo, hata manesi wa fild waliofika hospitalini hapo waliogopa kama ukoma. Taratibu nilianza kuichukia kazi yangu[emoji20] kidogo kidogo nikashawishika kwenda kwa mganga[emoji35]ili nipandishwe cheo kazini. Mganga aliniuliza kazi yangu sikusita nilimuambia. Akafanya manyanga yake na mwisho akaniambia. "Bwana Devi nyota yako ni sana endapo utaitumia vizuri hata hiyo kazi yako utaiacha maana utakuwa bilionea ndani ya nchi na hata nje ya mipaka ya nchi ila tu[emoji849] kwa kutekeleza haya nitakayokuambia sema tawire." Aliniambia mganga "Tawire mganga" Nilijibu huku nikiwa na shauku ya kutaka kujua ni mambo gani mganga anataka niyatekeleze ili niwe maarufu.
"Devi ili uwe maarufu shariti la kwanza utatakiwa kufanya mapenzi na maiti baada ya hapo haitapita wiki utaona muujiza wako" aliniambia mganga. Nilimtolea macho[emoji849] ya mshangao na kumuuliza . "Mh mganga yani nikafanye mapanzi na maiti kabisa[emoji15]" Nilimuuliza. "Ndio maana yake hilo ndilo Shariti lako, utajiri ni mgumu sana usifikiri ni rahisi kama kutawaza tak* lako mshenzi wewe" Aliniambia mganga na kumalizia na tusi. "Heee babu mbona unanitusi tena" Nimuuliza. Akabehua kama mtu aliyeshiba sana kisha akaniambia. "Sio mimi niliyokutukana ni mizimu maana unataka vitu vya bwerere unadhani utajiri ni matak* kwamba kila mtu awe nayo mpuuzi wewe" Aliongeza mganga maneno hayo. Moyoni nikasema "mh ama kweli hiki kizaa zaa lakini ni kweli utajiri haupatikani kirahsi acha nitekeleze agizo kwani nani ataniona, nitafanya siri yangu" Nilikubali, mganga akanipa vidawa dawa na maneno kadhaa kisha tukaagana.
Jioni niliwaambia wafanyakazi wenzangu ambao wana shifti za usiku kwamba "Junior na Roberty, leo mkapumzike muangalie familia zenu nitawasaidia Shift yenu ya usiku"_Niliwaambia ili niweze kutekeleza azima yangu kirahisi. Nao walifurahi sana " Hayo ndio mambo bwana Devi kazi ni kusaidiana" Aliniambia Junior. Basi usiku nilibaki mwenyewe eneo la Mochwari, mara ikafika gari aina ya Toyota Pckup, ilikuwa imebeba maiti na kwa bahati nzuri ilikuwa ni maiti ya kike ambayo ilikuwa na utambulisho wa jina la KURUTHUMU JABIR, niliipokea maiti ile na kuwakabidhi waoshaji wa kike, wakaiosha vizuri baadae wakanikabidhi niiifadhi. Mpaka kufikia saa saba usiku hakukuwa na mtu pale hospitalini zaidi manesi wa usiku waliokuwa wanapitapita kwa mbali, basi nikazama ndani ya chumba cha mochuary na kuitoa ile maiti ya Kuruthumu kwenye Jokofu kisha nikaiweka sakafuni na kuitoa sanda ikabaki uchi kama ilivyozaliwa. "Hii ndio nzuri kwanza bado ya motomoto[emoji848]" nilijiambia mwenyewe kisha nikazima taa mule mochuary pakawa giza totoro, nikavua nguo zangu ili nianze kazi, ile natumbukiza mnara wangu ndani ya utam wa ile maiti ghafla nikasikia sauti "assssssssss" macho yalinitoka kwa mshangao[emoji15] sijakaa sawa ghafla ile maiti ikataka kunikukimbatia niliruka pembeni haraka na kuwahi kwenye swichi ya umeme, ile nawasha taaa......... [emoji15]
Naaaam, huu ndio mwanzo tu wa mkasa huu wa kweli ulioandikwa na mwandishi George pangalas je unasoma mkasa huu ukiwa wapi? Jibu ili nikutag sehemu ya piliView attachment 2842496
story za jaba. magenge za pombe. na ushuhuda wa church.
educated mind sio sehemu yetu hii
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~05[emoji24][emoji860]
Sikujua nilipoteza fahamu kwa muda gani? Lkn nilipozinduka na kufungua macho yangu nilishangaa[emoji15] kuona mifupa imekusanywa sehemu moja. Taratibu nikaanza kurejesha kumbukumbu[emoji848] zangu kichwani huku nikiwa nimeikodolea macho ile mifupa. Ndipo nikakumbuka mara ya mwisho kabla sijapoteza fahamu, yule msichana tuliyemsaidia kwa uungwana alimrukia Laura shingoni na kuitoboa shingo yake kwa meno marefu kama ya zombi na kuanza kumnyonya damu Laura mpaka akadondoka chini na kufumba macho yake[emoji18]. Ndipo yule msichana akanigeukia na kunitizama kwa macho makali sana na ambayo yalikaa kama ya paka akiwa gizani, ndipo ustahimilifu uliponishinda nikadondoka chini na kupoteza fahamu. Nilirejesha kumbukumbu juu ya kilichotokea kwasababu Laura hakuwepo wala yule msichana tuliyemsaidia hakuwepo. "Nafikiri hii mifupa ni ya Laura, yule binti sio binadamu wa kawada, atakuwa amekula nyama za Laura na kubakiza mifupa[emoji20]" Niliongea mwenyewe kwa sauti ya chini huku nikikagua mifupa ile, bado ilikiwa mibichi hali ambayo ilinidhibitishia dhahiri kwamba ni mifupa ya Laura. "Dah masikini binti wawatu Laura[emoji24]tulikubaliana nilale naye usiku mzima nimlipe elfu 50 lakini hajaambua chochote zaidi ya kukutana na dhahama ya kifo. Lakini pia huruma yake imemponza kwani angemuacha yule binti apite na hamsini zake usiku ule haya yote yangetokea?[emoji848]. Ila usilolijua ni usiku wa giza, na kwanini huyu binti amle Laura na kuniacha mimi hai wakati nilikuwa nimezimia, huenda jambo nyuma ya pazia. Ni jambo gani sana?" Mtungo wa maswali ulianza kupenyeza kichwani kwangu huku ubongo wangu ukichakata juu ya tukio lililotokea.
"Mh[emoji848] kwa kweli nashindwa kuelewa ila inabidi usiku huu nifanyw mpango wa kuitoa hii mifupa humu ndani nikaitupe maana kama nitatembelewa na mtu asubuhi basi ninaweza kuingia hatiani kwa kujitakia mwemyewe acha nikachukue roba" Nilipata wazo la kwenda kuitupa ile mifupa usiku ule, basi nikatoka nje kwenda kuchukua roba ili niiweke kwemye roba nikaitupe ikiwa ndani ya roba. Ajabu nilipotoka nje na kurudi nilishangaa[emoji15] ile mifupa imegeuka na kuwa pesa[emoji389][emoji385][emoji383][emoji387], vitita vya shilingi elfu kumikumi tupu ndivyo vilivyoonekana. Nikashusha pumzi kwa nguvu na kusema. "Hili tukio lililonikuta huenda lina uhusiano na huu utajiri niliouendea kwa mganga ili kuupata maana mbona hii mifupa imebadilka na kuwa pesa?[emoji848]. Niliwaza sana, mwisho nikaka shauri kwamba nilale pakikucha niende kwa mganga nikaongee naye vizuri kwani huenda ikawa kuna sehemu nakosea. Hata hivyo kwani nililala basi, nilala usingizi wa mang'amung'amu kama vile nimejiegesha tu hatimaye kukapambazuka. Wafanyakazi wenzangu niliokuwa nafanya nao kazi mochwari ndio walikuwa wa kwanza kunigongea. Moyoni nikasema bora hata niliitoa ile mifupa na usiku ule, basi nikawafungulia wakaingia ndani. " Dah Mr. Devi tulikuwa tunakuchukulia poa kumbe ulikuwa na mahesabu yako ya mbali?" Alisema Jerad mfanyakazi mwenzangu huku akitabasamu. "Kwanini" Nilimuuliza huku na mimi nikijitahidi kuonyesha tabasamu hafifu. "Nimeonda ndinga[emoji594] hapo nje kwanza bado ni nyiu (new) yani kitu aina ya Toyota Alphad" alisema Jerad. "Ah hilo ni gari la ndugu yangu ameniachia tu nikae nalo yeye anaenda masomoni nje ya nchi" Niliamua kudanganya. Sikutaka kusema ukweli kwani wangeanza kupeleleza vyanzo vyangu vya pesa na mnavyowajua binadamu wasingeshindwa kufikiri labda ninauza viungo vya maiti wa mochwari hivyo niloamua kuficha kiaina hiyo.
"Dah Hongera bwana, hiyo ndio raha ya kuwa na ndugu wenye pesa, sasa leo si utakuwa kazini?" Aliniuliza Jerad. "Hapana niliomba ruhusa ya siku mbili kwa boss bado hazijaisha" Nilimuambia. "Sawa mkubwa maana kule mochwari saivi du hata sipaelewi" alisema Jerad. "Kwanini?"_Nilimuuliza. " Jana wakati nafunga milango ya mochwari saa sita usiku nikasikia maiti ikikohoa kwa ndani, nilitega sikio tena kwa makini lakini sikusikia tena nikahisi ni wenge tu, unajua bwana hizi kazi zetu zina maajabu sana ?" alisema Jerad. "Aah itakuwa ni wenge lako tuu? Lakini kitu kama hicho hakiwezi kuwepo" Nilimwambia. Basi asubuhi ile tukaagana Jerad akaenda kazini na mimi nikaelekwa kwa mganga wangu nikiwa na gari langu[emoji594]. Basi nilifika nyumbani kwa mganga Masalakulangwa. Nikaingia kilingeni kwake na kuketi kwenye mkeka. "Naaaam naona sasa umeanza kufanikiwa ila unataka kukoroga mambo paka shume wewe aaaaa heiyaaaaaa" alianza kuongea mganga na kunitusi juu kama ilivyokawaida yake. "Nayakoroga mambo kivipi mganga ninataka kujua[emoji19]" Nilimuuliza huku nikiwa na shauku ya kutaka kujua wapi nakoroga. "Hutakiwi kutembea na mwanamke yoyote kimapenzi isipokuwa maiti tu, wewe ulijaribu kwenda kununua mwanamke ili ulale naye mizimu yangu ikakasirika ikamla yule mwanamke" Alisema mganga. "Heee kumbe! Sasa faida ya utajiri wangu ni nini mganga ikiwa sitaruhusiwa kutembea na wanawake na nilifikiri nikilala na maiti mara moja ndio basi. " Hebu nyamaza[emoji15] kunguni mjane wewe eti nyilifikiri nyikilala na nyaiti mara monya nyio basi shumburwe muwaka hovyo wewe, ingekuwa utajiri ni hivyo kila mtu angelala mara moja tu na maiti ili atajirike halafu aendelee na mambo yake. Lakini si hivyo, muone vile macho yamekutoka kama mbu aliyebemendwa,[emoji3]. Unatakiwa ulale na maiti kila jumapili saa nane usiku? Na hata siku za katikati ukisikia upwiru basi unatakiwa uifuate maiti ukamalizane nayo hayo ndio masharti ya utajiri wako!" Aliniambia mganga.
"Eee[emoji15]?" Nikaitikia kwa mshangao maana tayari nilianza kuona masharti yanakuwa magumu. "Eti ngweee unaitika umeitwa, hebu nitokee hapa kwangu kwendraaaaa" Alinifukuza mganga, "Na ole wako ugeuke nyuma nakugeuza sisimizi shoga [emoji3] chefuuuu[emoji57]" Nilipanda ndani ya gari langu na kuondoka bila kugeuka nyuma. "Mh huyu mganga kiboko leo atakuwa kavuta mbegu za bangi na wala sio bangi yenyewe maana si kwa mishombo ile dah ila ndio utajiri inabidi nikaze roho." Nilijisemea, basi bwana siku hiyohiyo nikatafuta kiwanja kikubwa, nikakilipia, nikamtafuta fundi na kumpa cotract ya ujenzi , kisha nikarudi nyumbani. Mjengo wangu ulianza kupandinshwa kwa kasi mpaka kufikia jumamosi ulikuwa umefikia kwenye lenta. Hatimaye sasa ikawa ni jumapili, nikatoa muongozo kwa wafanyakazi wenzangu niliokuwa nawasimamia, "Jerad mimi kila jumapili nitakuwa nawasaidia shughuli zote za Mochwari na nitaanza leo" Niliwaambia kama kawaida yao walifurahi wasijue nini malengo yangu. Basi Jumapili hiyo najira ya saa saba na dk 50 usiku nikainga ndani ya chumba cha Mochwari. "Mh leo silali na maiti ya kuruthumu acha nichague ingine" Niliongea mwenyewe huku nikizikagua maiti Mochwari mithili ya mtu anayechagua nyanya gengeni. "Aah hii hapa itanifaa kwa leo kwanza inatoka kesho ndugu zake wanakuja kuichukua, halafu pili huyu dada anaonekana alikuwa mdangaji[emoji3] hebu muone sura yake ipo kidangaji dangaji mitatuu kajichora kila mahali, vipini mpaka kwenye kiuno khaa hili ni danga hata nikilala na maiti yake sitapata dhambi kubwa" Nilijisemea na kuitoa maiti ile kwenye Jokofu nakuivua sanda kisha nikailaza sakafuni kama kawaida yangu. Nikazima taa na kushusha suruali yangu mpaka magotini shughuli ikaanza rasmi. Punde nikasikia msonyo mkubwa gizani "msiiiiiiiuuw[emoji57] malay mkubwa wewe umenikula mara moja leo umenisaliti na umehamia kwa mwingine, kawashe taa ni kuonyeshe" Ilikuwa ni sauti ya kike ya mwanamke yenye asili ya benzi kidogo ikisikika gizani ndani ya chumba cha mochwari. Nilisisimka mpaka nywele, nikashikwa na kigugumizi cha miguu kupiga hatua kwenda ilipo swichi ya taa. "Hutaki kuwasha taa eti? Acha niwashe mimi" Sauti hiyo iliongea . hamadi taa zikawaka[emoji15] na ndipo........
Acheni nikanywe chai kwanza maana si mchezo bablai.[emoji23].
𝐊𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐡𝐚𝐢𝐯𝐮𝐣𝐢 𝐰𝐢𝐧𝐨 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐢𝐧𝐚𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚. 𝐍𝐚𝐫𝐮𝐝𝐢[emoji125] , ni mimi muandishi wenu George aloyce
Siandiki story za kipumbavu kama hizi na nina pesa ambayo inanifanya niwe na akili sikuwahi hata kukaa kutunga upumbavu kama huu. Hujui hata kuandika na hujui kutunga. Unaandika tu takataka ukidhani nawe utatoka kwa story ya kitoto halafu kwa ukilaza wako unadai ya kweli.We uliesoma una bilioni ngap benk
Pita kushoto sio lazima usomeSiandiki story za kipumbavu kama hizi na nina pesa ambayo inanifanya niwe na akili sikuwahi hata kukaa kutunga upumbavu kama huu. Hujui hata kuandika na hujui kutunga. Unaandika tu takataka ukidhani nawe utatoka kwa story ya kitoto halafu kwa ukilaza wako unadai ya kweli.
Umeandika utoporo vip umetoka mirembe niniNimesoma huu ujinga nimekuwa mpumbavu kweli, nimeota nalala na mke wangu kumbe sio ni marue rue na mashetani, huu ujinga kabisa sio wa kusoma.
Najijua nilivyo, mie sio mtu Mzembe naelewa kabisa vitu ambavyo vina influence za kiroho na sio ndoto za kawaida, ndo haya ninayoyaona.
Mtoa mada una nia gani ovu na huu ujinga wako? Wengine roho zetu zipo hai sana, na haziyumbishwi, tupo gado.
We unatakaje" "Nimeonda ndinga hapo nje kwanza bado ni nyiu (new) yani kitu aina ya Toyota Alphad"
IST imekuwa alphard
We unatakaje"Nilipewa card ya benki pamoja"
Hii kadi ya bank unayopewa siku ya mkataba sijui ina Jina la nani na nani alifungua hiyo account.
KabisaaDuuuuuh inatisha
TunaendeleaTamu hii
We unatakaje
Kukosea kumoModerator kweli mmeshindwa kurekebisha bandiko likasomeka maarufu badala maalufu sio poa ukakasi!
Usijaze matakataka humu. Huu muda unaopoteza kutunga pumba ungesoma hata tuition ya kiswaliPita kushoto sio lazima usome
Tusiseme kwamba niuongoUmelazimishwa kusoma