Hadithi: Mikataba ya kishetani

Hadithi: Mikataba ya kishetani

mimi nimenunua vitano mpaka sasa.. Hiki mikataba ya kishetani alishawahi kuniruhusu nikishushe humu sema muda wangu ndio ulikuwa mdogo kwangu
Dah kama ulipewa go ahead tushushie vitu kaka..!
halafu kuna kitabu kingine...nakumbuka niliwahi kukisoma wakati mdogo, Joram alikuwa ameenda likizo kigoma kumsalimia babu yake...akakutana na balaa...! unafahamu Title yake nikitafute?
 
nadhani ni mikononi mwa nunda kama sijakosea.. Lakini Nameless girl kuja hapa ulete jina
 
mkuu kitabu ninacho lakini ruhusu kutoka kwa mmiliki wa Riwaya hii ndio kitu kilichonipa ugumu. Sijui kwanini ameamua kuiacha na inawezekana ni mbinu ya kibiashara. Kifupi naweza sana

Kama in janja janja ya biashaara angeweka wazi koz wengine tuko huku msituni access pekeee ni ya hapa
 
mkuu kitabu ninacho lakini ruhusu kutoka kwa mmiliki wa Riwaya hii ndio kitu kilichonipa ugumu. Sijui kwanini ameamua kuiacha na inawezekana ni mbinu ya kibiashara. Kifupi naweza sana
Tofauti kubwa iliyopo kati ya elimu na pesa , ni kuwa kadri pesa inavyotolewa ndio inapungua, lakini elimu inavyotolewa ndio inaongezeka kwa mtoaji + mpokeaji,

Fanya hivyo alafu tuone
 
Back
Top Bottom