Mzeewakuonewa
Member
- Apr 26, 2016
- 54
- 58
Aswaaa na nikiingia Dar tu ilo ni
hahahahaaaaaCHAMSINGI NI KUJIPATIA NAKALA YAKO TUUUU ILA TUKIENDELEA KUMSUBIRII HUYU nameless girl TUTAKESHA TUKISUBIRI............ nameless girl NJOOOOOOOO UNIPE NAKALA YANGUUUUUUUUUUUUU
mhhhh uko fasterrrrr.... hutaki usumbufu wangu![]()
Usikikose ata kidogo hiki kitabu kimetungwa kikatungika...kimesheheni burudani...na bei yake ni sawa na bureee...
kiguu na Njia bado?zawadi ya ushindi nayo itakua tayari jumatatu. so kwenye list yako uliyotaka kuna zawaid ya ushindi na malaika wa shetani.
jiandae kuisoma soonkiguu na Njia bado?
![]()
Usikikose ata kidogo hiki kitabu kimetungwa kikatungika...kimesheheni burudani...na bei yake ni sawa na bureee...

haahaaa maana nimekungoja humu hadi nikatamani kulia nameless girlmhhhh uko fasterrrrr.... hutaki usumbufu wangu
ngoja nifumbe macho na masikio....maana dada angu huyo anaotaga nisije nikasikia sauti yake ya ndotoni akawa amenipa laana mimi mdogo wake
Ok nitakutumia jtatu kama tulivyofanya last time thanks dearzawadi ya ushindi nayo itakua tayari jumatatu. so kwenye list yako uliyotaka kuna zawaid ya ushindi na malaika wa shetani.
usijali kijana nataka nimpeleke nameless girl HANDENI KWETUngoja nifumbe macho na masikio....maana dada angu huyo anaotaga nisije nikasikia sauti yake ya ndotoni akawa amenipa laana mimi mdogo wake
Sie wa mikoani daah hadi tutumiwe kwa basi![]()
Usikikose ata kidogo hiki kitabu kimetungwa kikatungika...kimesheheni burudani...na bei yake ni sawa na bureee...
My dear N fanya hima nasubiri lazima ufe na dimbwi la damujiandae kuisoma soon
Blaki womani unaishi wapi shemeji?Ok nitakutumia jtatu kama tulivyofanya last time thanks dear
Arusha mkuuBlaki womani unaishi wapi shemeji?