tumeingia utumwani tena
kila siku nipo naye sasa nikamshtaki ili iwejeNenda kamshitaki kule BUHINGU kusini mwa ziwa Tanganyika wilaya ya Uvinza,
atakuelewa Mdada huyo
Sawa dadaNikiitupia nitakuita
Uza hiki kitabu tutumie ngoja ngoja iishe, ili utuletee kisa kingine, mi subira ishaanza nishinda
Kesho namalizia hapadu mambo bado??
Na iwe hivyo ewe bint ambae hata jina lako silijui.Kesho namalizia hapa
Huwezi kulijua walaiiiiiNa iwe hivyo ewe bint ambae hata jina lako silijui.
Teh teh haya , tuna kujua wachache tuHuwezi kulijua walaiiiii
Ujue unafanya makosa sana kutokuwa na jina?Huwezi kulijua walaiiiii
ni kosa la madai ama jinai?Ujue unafanya makosa sana kutokuwa na jina?
sio kwamba sina laptop...baada ya mateso na kusubiri kama tunaosubiria uhai hatimaye imefikia tamati. Ombi langu kwako Mwandishi Usiandike Nyingine mpaka pale utakapo hakikisha umenunua LAPTOP otherwise bora utuachr
nafuta humu we weka kiporo tu...nimeanza shukrani ila naiweka kiporo inibembeleze ucku
ahahaaaaaaa utanionea mkuunafuta humu we weka kiporo tu...
Kiguu na Njia ntakifuata mwenyewesio kwamba sina laptop...
Muda wangu ni mchache sana. Nitaweza kuingia humu kwa simu lakini si kwa laptop...
na sasa umenichokoza, nashusha KIGUU NA NJIA leo usiku hahahahaaaa natania tu