Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
niliiba mikoba ya mizambwa mara moja
Asante sana mrembo japo hujaniita.
niliiba mikoba ya mizambwa mara moja
hahahahah takrima at work
Asante sana mrembo japo hujaniita.
Sio takrima kweli tena njoo umuone shemeji wako anaumwa
Hebu msichakachue uzi wa watu. Hamchagui hata sehemu ya kuleta kisirani loh
mpe pole nitakuja ni palepale au mmehama
Kisirani ni popote....hasa kinapochokozwa...kwa heshima ya hadithi nanyamaza
Mzima tu mdogo Wangu....habari za home kwako?Shem hajambo?
Mie mzima kabisa mumie.Shem wako alikuwa anaumwa umwa njoo umsalimie
Wapendwa;
Nipo hai. Mambo ya sikukuu ndio yalinifanya nipotee. Bila shaka nanyi sikukuu ilikuwa salama.
baadaye tutaendelea.
poleni sana.