hadi leo maishani mwako una majuto yoyote?

Nikishajuta ntapata nini?
I have NONE.

hutakiwi kujuta ila kukumbuka majuto yako, Lizzy.......na utakachopata ni pamoja na kuutua mzigo wa majuto kwa kuongelea bila zengwe...............pili ni nafasi ya kujifunza ili usirudie makosa yaleyale..........na tatu ni unyenyekevu kuwa mwanadamu siy mkamilifu sote huwa tunateleza...............ila unaposema huna majuto basi siyo mkweli kwa sababu hakuna mwanadamu ambaye ni mkamilifu................
 
Sasa ntakumbukaje majuto ambayo sikuwahi kuwa nayo?

Unashangaza kweli kunilazimisha kuwa na majuto wakati sinayo. . . wewe kama unayo hongera (iwapo yanasaidia)/pole (iwapo yanaongeza tu msongo wa mawazo). Swala la kuwa au kutokua mkamilifu huwezi nipimia kwa vipimo vyako hivyo mimi kama mimi najiona nimekamilika. .mimi niko vile Mungu alivyokusudia niwe hivyo sina cha kujutia.
 
Najuta kuolewa na mwanaume muhuniiiiiiiiiiiiiiiii,
mwisho wa siku nimebaki nalea watoto pekee yangu,
ni mwaka wa kumi na mbili sasa niko alone, kabisa,
mtoto wa mwisho niliondoka naye akiwa mdogo sasa ndo anaingia fomu five, My God, uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Kudos,

Lakini nadhani badala ya kujuta inabidi ujipongeze kwa ujasiri na kuwa strong na kufanya jambo peke yako ambalo wengine hata wawili wanashindwa.., nadhani hapa badala ya kujuta ni kufurahia uvumilivu na ujasiri wako.

Success should be measured not so much by the position than one has reached in life, but obstacles which he/she has overcomed to reach that position.

To me your a hero
 
living comes after earning your credentials through learning the hardway..............but being willing to repeat the same errors once again if given another second chance is a sign of madness beyond belief.................we have to learn to swallow our bloated ego and change our ways for the better....................they say there is no better teacher than experience............

I said if I were to live my life again I would have done the same things, you know the mistakes we make are what makes us who we are.., therefore without those mistakes how would I become who I am today.., I would not miss that learning curve, so indeed if I were to live my life again I would have done the same mistakes again because those are the ones which makes me stronger and better. You see good things has occurred through those bad mistakes..,

(You see some people believe even a flap of a butterfly can cause hurricanes), therefore good things might happen through mistakes which otherwise would not have happened.
 
Asante, thank you.

Kudos,

Lakini nadhani badala ya kujuta inabidi ujipongeze kwa ujasiri na kuwa strong na kufanya jambo peke yako ambalo wengine hata wawili wanashindwa.., nadhani hapa badala ya kujuta ni kufurahia uvumilivu na ujasiri wako.

Success should be measured not so much by the position than one has reached in life, but obstacles which he/she has overcomed to reach that position.

To me your a hero
 
Najuta kuolewa na mwanaume muhuniiiiiiiiiiiiiiiii,
mwisho wa siku nimebaki nalea watoto pekee yangu,
ni mwaka wa kumi na mbili sasa niko alone, kabisa,
mtoto wa mwisho niliondoka naye akiwa mdogo sasa ndo anaingia fomu five, My God, uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

kweli unastahili pongezi hongera dada,ww ni mwanamke shupavu,Mungu awajalie wanao wafike mbali zaidi ya form five na six.
 
Salute!

Najuta kuolewa na mwanaume muhuniiiiiiiiiiiiiiiii,
mwisho wa siku nimebaki nalea watoto pekee yangu,
ni mwaka wa kumi na mbili sasa niko alone, kabisa,
mtoto wa mwisho niliondoka naye akiwa mdogo sasa ndo anaingia fomu five, My God, uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
najuta kunenepa.
zamani nilikua mwembamba sana,nikawa natamani kunenepa,unene ulipoanza kuja nikawa nafurahia hips na wowowo zinavyoongezeka nikajiachia tu lakini Sasa hivi kila nguo ninayovaa naonekana kama natega watu lakini zamani nguo hazikuleta tabu.
sasa hivi natamani kurudia wembamba lkn naogopa nikirudia ule wembamba wataanza kudai naumwa.
 
Asante sana kwa hilo.

anayeingia form five ndo wa mwisho,
wa kwanza ameshamaliza chuo kikuu,
wa pili yeye hakupata elimu nzuri sana ila anafanya shughuli ndogo ndogo,
wa tatu yuko cbe.

woow,kwa kweli dada utakua unamkufuru Mungu ukisema unajuta.
Huwezi jua labda ungeendelea na baba yao wanao wasingefika huko walipofika.
Kwa kweli kuanzia leo nitakua nakuheshimu sana,nimekupenda,umenivutia,Mungu anisaidie niwe kama wewe sbb duniani kuna mengi,japo mim bado ndo kwanza natarajia kuwa mama kwa mara ya kwanza na niko na mwenzangu lakini huwezi kujua,hata asiponiacha anaweza akafariki na kuniacha na watoto,hapo ndio nitakapohitaji kubarikiwa ujasiri uliobarikiwa wewe.Asante kwa kutuhadithia,imenivutia sana.
 
kunywa maji ya kutosha, fanya mazoezi na jitahidi kupunguza kula ili mwili usiwe tepe tepe,
si unaona wamama wengi miili inavyoharibika, jitahidi usiende huko.
huwa napenda kumshauri hata binti yangu afanye hivyo.

najuta kunenepa.
zamani nilikua mwembamba sana,nikawa natamani kunenepa,unene ulipoanza kuja nikawa nafurahia hips na wowowo zinavyoongezeka nikajiachia tu lakini Sasa hivi kila nguo ninayovaa naonekana kama natega watu lakini zamani nguo hazikuleta tabu.
sasa hivi natamani kurudia wembamba lkn naogopa nikirudia ule wembamba wataanza kudai naumwa.
 
asante kwa kunitia moyo,
sipendi itokee siku uwe pekee yako,
Mungu awatunze tu wote kwenye ndoa yenu,
nawapenda wote.

woow,kwa kweli dada utakua unamkufuru Mungu ukisema unajuta.
Huwezi jua labda ungeendelea na baba yao wanao wasingefika huko walipofika.
Kwa kweli kuanzia leo nitakua nakuheshimu sana,nimekupenda,umenivutia,Mungu anisaidie niwe kama wewe sbb duniani kuna mengi,japo mim bado ndo kwanza natarajia kuwa mama kwa mara ya kwanza na niko na mwenzangu lakini huwezi kujua,hata asiponiacha anaweza akafariki na kuniacha na watoto,hapo ndio nitakapohitaji kubarikiwa ujasiri uliobarikiwa wewe.Asante kwa kutuhadithia,imenivutia sana.
 
Lakini ujue baada ya ndoa kwisha ilibidi niache pombe na
mambo mengine yote, nikiofiya nitawahi kuondoka niwaache
watoto, ndo nimeona Mungu akinivusha
hatua moja kwenda nyingine.

woow,kwa kweli dada utakua unamkufuru Mungu ukisema unajuta.
Huwezi jua labda ungeendelea na baba yao wanao wasingefika huko walipofika.
Kwa kweli kuanzia leo nitakua nakuheshimu sana,nimekupenda,umenivutia,Mungu anisaidie niwe kama wewe sbb duniani kuna mengi,japo mim bado ndo kwanza natarajia kuwa mama kwa mara ya kwanza na niko na mwenzangu lakini huwezi kujua,hata asiponiacha anaweza akafariki na kuniacha na watoto,hapo ndio nitakapohitaji kubarikiwa ujasiri uliobarikiwa wewe.Asante kwa kutuhadithia,imenivutia sana.
 
Najuta kuolewa na mwanaume muhuniiiiiiiiiiiiiiiii,
mwisho wa siku nimebaki nalea watoto pekee yangu,
ni mwaka wa kumi na mbili sasa niko alone, kabisa,
mtoto wa mwisho niliondoka naye akiwa mdogo sasa ndo anaingia fomu five, My God, uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

ulimpendea nini na kwa nini alikuacha? Hivi sasa yuko mpweke naye?
 
Sasa ntakumbukaje majuto ambayo sikuwahi kuwa nayo?

Unashangaza kweli kunilazimisha kuwa na majuto wakati sinayo. . . wewe kama unayo hongera (iwapo yanasaidia)/pole (iwapo yanaongeza tu msongo wa mawazo). Swala la kuwa au kutokua mkamilifu huwezi nipimia kwa vipimo vyako hivyo mimi kama mimi najiona nimekamilika. .mimi niko vile Mungu alivyokusudia niwe hivyo sina cha kujutia.

How I wish you were less belligerent
.................that aside, then you are delusional..........we all have our regrets even God regretted creating a man when He sifted through man's evil thoughts..............Kama Mungu hujuta wewe ni nani usiwe na majuto..............unachoweza kusema ni kuwa labda huyakumbuki kwa maana umeyachimbia kaburi lakini vinginevyo wajidanganya........
 
Kudos,

Lakini nadhani badala ya kujuta inabidi ujipongeze kwa ujasiri na kuwa strong na kufanya jambo peke yako ambalo wengine hata wawili wanashindwa.., nadhani hapa badala ya kujuta ni kufurahia uvumilivu na ujasiri wako.

Success should be measured not so much by the position than one has reached in life, but obstacles which he/she has overcomed to reach that position.

To me your a hero

Yaani umegusa mzizi wa fitina....................mara nyingi tunapima watu kwa pale walipo bila ya kuangalia ni vikwazo gani wamekutana navyo na kuvikabili kuvitatua................BIG POINT
 
Lakini ujue baada ya ndoa kwisha ilibidi niache pombe na
mambo mengine yote, nikiofiya nitawahi kuondoka niwaache
watoto, ndo nimeona Mungu akinivusha
hatua moja kwenda nyingine.

Waona sasa mara nyingi mtihani unapokuja utakuta mambo mengi unaachana nayo ambayo kama usingejaribiwa ungeliyaendelea nayo..................I believe with all my heart God is talking to you and the good news is that you have been listening His voice of reason..................all my prayers goes to you and family and may the LORD bless you, increase your territory, His mighty hand be with you wherever you go all the days of your life, He continues to keep you away from evil and that He restrains you from inflicting pain to others............

by the way have you forgiven him...................that is an important step in both physical and spiritual healing.
 
Back
Top Bottom