hadi leo maishani mwako una majuto yoyote? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hadi leo maishani mwako una majuto yoyote?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Apr 9, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,972
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  A palliative nurse has recorded the top five regrets of the dying. Photograph: Montgomery Martin/Alamy.

  utashangaa kufahamu ya kuwa watu ambao wanakaribia kufa majuto yao hufanana na wengi wao hujutia kutumia muda wao mwingi kufurahisha wengine badala ya kufurahisha nafsi zao, na kufanyakazi kupita kiasi hata kutoa zaka furaha ya maisha yao. Kwa kifupi kuendesha mambo yao kwa kutanguliza matakwa ya wengine badala yao ndiyo huwa sikitiko lao kubwa kulikoni yote.

  Sasa, hadi hivi sasa ni jambo lipi au yepi ambayo unayajutia kwa kuyafanya au kwa kushindwa kuyafanya mara nyingi kwa minajili ya kufurahishi wengineo badala ya nafsi yako mwenyewe?

  kwa ufafanuzi zaidi jisomee hiimakala nimeikuta kwenye mtandao.........
  Top five regrets of the dying

  A nurse has recorded the most common regrets of the dying, and among the top ones is 'I wish I hadn't worked so hard'. What would your biggest regret be if this was your last day of life?

   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Not looking both ways when that truck was coming lol
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Did it run you over?
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hey not me...
  that is from the dying fellow....
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mmmh, majuto?
  Si wanasema majuto ni mjukuu?

  Mie bado kigori sina hata mtoto.
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,972
  Trophy Points: 280
  afraid you will be tempted by these?

  [​IMG]
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,972
  Trophy Points: 280
  kongosho kuwa wazi majuto yako ni kwamba wewe bado ni kigoro na huna mtoto au?
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,972
  Trophy Points: 280
  The boss we want to hear your own story of regrets not of the others...........majuto yako ni nini?
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  i regret not having kids at tender age....,i can not see happening now.......makes me sad.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hi Jestina
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kila mtu ana regrets...kila siku
  wanajali za 'deathbed regrets' kwa sababu pale mtu ndo anatazama maisha yake yoote...ni kama
  mahesabu jioni....

  sasa mimi sijafika point hiyo bado
  ndo kwanza asubuhi.......
   
 12. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hellow Ngabu.....
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Not having a baby earlier is your only regret? Do you like kids?
   
 14. j

  jasmin abdulrahman Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aisee kwa kweli me najuta kumpatia virginity yangu m2 ambae sikuwa moyoni mwake. kwa kweli niliji2nza na nilivyompata yeye nikaona mwanaume ndo huyu nikamkabidhi moyo wangu wote na mwili wangu kwa kweli yaliyonikuta baada ya hapo ni mazito ambayo yananifanya mpaka leo nijute. aliniendesha alivjojisikiaalidiriki kuongea na madem zake mbele yangu hukun akiwabusu mimi akiniziba mdomo nisiseme chochote.Aisee inaniuma sana hv ninavyosimulia hadi machozi yananitoka na inaniuma zaidi my "virginity" kujitunza nilikoji2nza anakuja kufanikiwa m2 ambae hakunithamini na nimedumu nae mda mchache sana aisee najuta!!
   
 15. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Life is living.. don't have time to start regretting..., the choices I have made are what has made me who I am (both right and wrong choices)... If I could live my life again I would have done the same things
   
 16. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  i dont like them,to be honest,they are such hard work...lol but being raised in africa kids are future investment lol...they help you in your older age......and when i think of this,i get scared a bit....who will take care of me when am old?lol
   
 17. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Usitie shaka ukipata anayekuthamini hatajali kama alikukuta na virginity au hapana atakupenda kama wewe ulivyo, kuendelea kukumbuka yaliyopita ni kujitesa wewe na kutokujitendea haki..., forward ever..., backward never...
   
 18. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  wanawake wachache sana wanawapatia ubikira wanaume wanaowapenda...wengi baada ya kutolewa bikira huwa wanamchukia yule aliyewatoa....hivyo hauko peke yako,lol
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Apr 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  What were you like as a kid? A handful? mellow?
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nikishajuta ntapata nini?
  I have NONE.
   
Loading...