Hadi Fredwah kasepa RFA

Hadi Fredwah kasepa RFA

Kila la heri Fred,Ila chapa kazi na acha pombe kupita kiasi,Diallo alikubeba sana Jombaaa ,Na Sahara naona kama pamekutoa kiaina,Kampuni kupata financial crisis ni normal soon watakuwa stable,Usizuzuke na vitu vidogo Ukaruka Mko,..jo Ukayakanyaga M...viTuuuu u.RUDI TU UENDELEE KUWA POTENTIAL HAPO RFA.
 
Jamaa nilikuwa namkubali kwenye "Je huu ni ungwana?" bora kama kahama na kipindi chake.
 
maslahi ndo yanawaweka watu mjini. hv sky walker na roy mlaliki maganga walitimukia wapi
 
eeba nae,sasa inakuwaje tena manake yule ndiye kinara wa RFA
sasa kuna yule mkongo zuberi ndiye wanamtumia kwa kila kitu
hawezi kukataa kwa sababu akifukuzwa inabidi arudi kwao kongo

Zuberi Msabaha 4*4 6000Volts siyo mkongoman mkuu, ni Mbongo ila amekulia Congo Kinshasa.

RFA hawana ubunifu na hawajui kulea vipaji.
 
Msikien sahv ndan ya timez fm, afu kasepa na baadh ya segment kama chakula cha akil, ongeza maarifa
 

Nadhani huyu ni Fredwah anataka aone popularity yake iko kwa kiasi gani. Kama wewe siye basi huna haja ya kutupotezea muda mpigie simu umjulishe unashangaa hayuko RFA.

jf bwana,pengine mwenzio ana nia nzuri tu wewe unaanza kumbeza.
 
huyu kaka namjua sana,ana tabia chafu na anamnyanyasa sana mke wake tena hata kumpiga.licha ya hayo anatabia chafu na kulewa kupita kias pia.mengne ngoja niache nisije pigwa ban.
i wish tabia yake ingekuwa nzur kama kipaj chake
 
Katika radio station zote Tanzania RFA waliongoza kwa muda mrefu,kama kawaida ya mwafrica lazima iporomoke na kurudi nyuma,yaani hatuwezi ku maintain hali iliyopo
 
Mwaka jana July
nilitembelea na nilimkuta Fredwaa akiwa ktk kipindi asubuhi, na
akanirusha hewani kimtindo.
Am sure tatizo pia linaanzia kwa HR wao Raphael Shiratu, yasemekana
hafai kwenye post hiyo.

RFA imezalisha watangazaji wengi sana kwa mfano Mkamiti Juma Kibayesi
(VOA-Swahili), Godwin Gondwe, Isaac Gamba, Paul James Sweya (Clouds),
Baruan Muhuza, Hamisi Dambaya (Mlimani radio n TV), Gabriel Zacaharia,
Roy Maganga,Alex Ngusa (Metro fm), Joan Itanisa, Kid bwoy, Anselim
Ngaiza, etc.
Na sasa inawapika vijana wengi wakiongozwa na akina Yahya Mohamed,
Gabriel Yotum a.k.a computer, Tom Chilala, mzee Samadu Hassan, Mukhsin
Mambo, Paul Mabuga etc.

My take: Chairman Diallo amka na UBADILIKE

dah mkuu umenikumbusha list yangu pendwa, nilikuwa sikosi kipindi cha mahaba cha dr. maganga usiku na sitasahau jumapili, fredwaa katika maisha yangu nimepanga mungu anipe maisha nimuone live..kama anapitia uzi huu nipe pm bro nikuone coz nakukubali hakunaga na kuna ck umenitoa machoz kwa vichekesho vyako yan nilicheka hadi kulia.
 
Kuna anko Sam, mtoto wa mama sabuni, kidbway, skai woka, fredwa, n.k, wote wamesepa!! Kuna tatizo hapa, wasipojirekebisha hii kampuni itakosa vichwa vya maana!!
 
Maslahi baba, ndio kila kitu.

hizi radio zina faida sana kwenye maisha ye2, nakumbuka 2007 nikiwa nimehitim kdato cha 6 nipo nipo tu nyumban, kuna ck usingizi ulikata saa 11 asbh nikaamua kutune Gudmorning africa, walikuwa na tabia ya kutoa ushauri wa maisha, mtangazaj alisema "ndg msikilizaj kumekucha amka utafute mkate wa ck, na katika maisha tafuta bila kuchoka," hapo hapo nikavuta begi nikatia nguo na kuondoka hom kwenda kutafuta maisha dar.
 
dah mkuu umenikumbusha list yangu pendwa, nilikuwa sikosi kipindi cha mahaba cha dr. maganga usiku na sitasahau jumapili, fredwaa katika maisha yangu nimepanga mungu anipe maisha nimuone live..kama anapitia uzi huu nipe pm bro nikuone coz nakukubali hakunaga na kuna ck umenitoa machoz kwa vichekesho vyako yan nilicheka hadi kulia.

umewahi mfaidi kwenye Je huu ni ungwana? jamaa noma i see, mi nimewahi bahatika kusafiri nae kwenye bus la Hood toka Tunduma-Dar
 
Dah kwa hiyo kabaki nani sasa RFA maana majembe yoote yameondoka

Siku akiondoka mtoto wa MAMA SABUNI na ANKO SAM baaasi....sisikilizi tena hiyo radio....
 
Khaa mbona uncle sam nae ameacha na mtoto wa mama sabuni yeye ndo alianza kuondoka kabla ya fredwaa na uncle sam.
 
Ila RFA ni kisima cha kuwapika watangazaji! Na kwa upande wa Feedwaa! Tutamumic sana jamaa!, ila nahic uongozi kutoka Kwa CEO DIALO ndo mbovu! !
 
Khaa mbona uncle sam nae ameacha na mtoto wa mama sabuni yeye ndo alianza kuondoka kabla ya fredwaa na uncle sam.
 
Back
Top Bottom