Hadi Fredwah kasepa RFA

Hadi Fredwah kasepa RFA

huyu kaka namjua sana,ana tabia chafu na anamnyanyasa sana mke wake tena hata kumpiga.licha ya hayo anatabia chafu na kulewa kupita kias pia.mengne ngoja niache nisije pigwa ban.
i wish tabia yake ingekuwa nzur kama kipaj chake
This is personality attack...usually poor minded people discuss personality, great minded people discuss issues

Wewe una tabia nzuri??? hebu tuwekee na zako mbaya kama ulizoweka za huyu....
 
Khaa mbona uncle sam nae
ameacha na mtoto wa mama sabuni yeye ndo alianza kuondoka kabla ya
fredwaa na uncle sam.

nilipopewa hamasa na RFA NA KUKIMBILIA DSM NIKAANZA KUPIGA TEMBO PALE MBAGALA KUU NA KUFUNGUA TUITION CENTRE SABA SABA NA KUPATA HELA YA KUJIUNGA CHUO, THNX R.F.A
 
Khaa mbona uncle sam nae ameacha na mtoto wa mama sabuni yeye ndo alianza kuondoka kabla ya fredwaa na uncle sam.
Mkuu ni kweli ANKO SAM na MTOTO wa MAMA SABUNI naye kahama??? dah mbona RFA ndio imekufa hivyo sasa??
 
katika watu
nilioamini watadumu milele radio free ni fredwah. Nimeshtuka kumsikia
leo akitangaza times fm.

r.f.a kuna kipindi cha sitasahau alikuwepo yule jamaa anaelezea jinsi alivyozamia kwenda south akiwa hana hata senti mfukoni, alipata changamoto njian ambazo zinatisha na kukatisha tamaa mfano kukoswa na wanyama wakali porini, kula majani, kula panya n.k hvyo r.f.a imenifunza mengi kupitia vipindi vyake
 
Khaa mbona uncle sam nae ameacha na mtoto wa mama sabuni yeye ndo alianza kuondoka kabla ya fredwaa na uncle sam.
 
hata kiss fm nayo imedolola ngoja tuamie east afrca radio
 
Mkuu ni kweli ANKO SAM na MTOTO wa MAMA SABUNI naye kahama??? dah mbona RFA ndio imekufa hivyo sasa??
Kweli wameacha ila sijajua sehemu watakazoenda kufanyia kazi,hebu fuatilia kama utawasikia RFA.
 
Kwa hiyo anatangaza kipindi kama kile kile na muda ule ule mkuu?

hamna pale timez anapga kipind cha sa1 had sa3. Ktk kipind hcho wapo w2 watatu kwahyo sidhan kama atapata uhuru wa kuweka mbwembwe zake kama alivokua rfa.
 
hamna pale timez anapga kipind cha sa1 had sa3. Ktk kipind hcho wapo w2 watatu kwahyo sidhan kama atapata uhuru wa kuweka mbwembwe zake kama alivokua rfa.

Ngoja tumpe muda tuone uongozi kama utampa uhuru wa kuonyesha kipaji chake
 
Duh, na mkewe nae kaondoka, kipindi cha searchline alikuwa nakipatia kweli, wanaotafuta sijui itakuwaje

Jamaa inasemekana hakulipwa mshahara wa miezi mi4,kaondoka yeye na mke wake Rahabu fred zaid ya wiki mbili zilizopita

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kumbe radio free africa inasikilizwa sana, diallo zinduka, unapoteza wasikilizaji sasa
 
so sad unapozungumzia redio kongwe Bongo ni pamoja na RFA nikati ya redio zilizowahi kuwa na watangazaji mahiri kabisa,wapi Roy Mlaliki Maganga na kipindi chake cha sintosahau ambacho Clouds fm walikicopy.upande wa Kiss Fm walikuwepo majembe kama Mzambia Toby the splash,John Karani,Lady the Butterfly,Dj Criss nk. now nahis hata jembe langu la Kiss D7 yuko njia moja, nachoskia pale maslah mabovu.
 
Afadhali bwana aachane na utumwa wa masisiem,rfa str tv tupa kule ni uppuzi mtupu wa dialo...Mkuu Fredwah anzisha kipindi cha reggae pale times utatubamba sana na mareggae ya kufa mtu....Yahya mohamed soma alama za nyakati mkuu kipindi cha tuongee asubuhi jpili kimeshahujumiwa hakina mvuto tena...hama baba!!!!
 
Sasa uwenyekiti wa CCM mpaka radioni unafikiri utaacha kimbiwa? wengine ni watu huru hawataki hizo censorship za ki-CCM
 
Fredwah mzee wa Sindano Tano za Moto! Huyu jamaa pale RFA alikua jembe sana!
 
Back
Top Bottom