Had i know!!!!

Kiingereza ni lugha ya kigeni ile kaka,hebu nitafsirie kichwa cha huu uzi japo nitie neno.

Kabla sijaondoka hapa nikupe kongole kwa kuwa umetongoza
 
why msichana unamfuata na kumweleza yote ya moyoni na kutaka awe wife to be!!! lakini anazingua, baada ya kuona hana mpango na wewe ukaamua kupotezea,God akakujalia ukampata unayempenda anayekupenda, ghafla yule dame anakujia tena na kuanza kukusumbua!! wakati wewe upo na manzi wako na anakuambia alijuaga unatania

UTAMJIBUJE HUYO MANZI!!!?


ujinga huo ndo vijna wa kisasa mwaufanya.........

na ni kweli kabisa .... hamko serious,,,,,, mtadharauliwa sana hadi pale mtakapo amua shirikisha ubongo ktk mapenzi.,,..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom