Poa!Pakua hii torrent ukajaribu.
mkuu hiki ni nini mbona ni kama kimeo??Pakua hii torrent ukajaribu.
Ni Torrent file, unalifungua na torrent client kama transmission au utorrent au bitorrent.
Kabla hujaanzia mbali, angalia kwanza kama mashine yako ina sifa za kufanya unachotaka kufanya usijeshusha mizigo kumbe computer yako haikidhi vigezo.Tunaanzia mbali kidogo ni mgeni kabisaaa,baada ya ku download hako ka zip file unakafanyaje???
Samahani kwa usumbufu.
Kabla hujaanza mbali, angalia kwanza kama mashine yako ina sifa za kufanya unachotaka kufanya usijeshusha mizigo kumbe computer yako haikidhi vigezo.
Nitajaribu hii kesho
Jaribu tu.
Sijui hata mnaongea nini wazee..
Hebu naombeni key za ku activate window 10 yangu naona muda umeisha inanipa warning kila siku...
Extract kisha fungua hilo file na utorrent.
Asante mkuu ngoja nigoogle chap.Mimi nili activate kwa maelekezo ya youtube tu nikafanikiwa,tulia uangalie video kwa umakini utafanya.
Extract kisha fungua hilo file na utorrent.
Unatakiwa uwe na bando la kutosha kudownload hiyo osx kama 5.2GB