cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,079
- 10,111
Uzalendo bila ajiraHii ndo TZ, wakati North Korea wataalamu wao wanafikilia kuidukua SK,US na baadhi ya makampuni UK, wataalamu wetu wanaanza kuidukua nchi yao ha ha haaa!! uzalendo wako uko wapi kwa nchi yako!!!!
sasa ukishadukia tasisi za serikali ndo watakupa ajira!!!!Uzalendo bila ajira
Avator yako nimeipenda
watapewaje ajira wakati hawajulikani? pia huwezi kusomesha watu halafgu wote wakaajiriwa hapo hapo UDSM wajiongeze hao ajira hamna kila kona TZ na ulimwenguni kwa ujumla na si kwa IT tu ni kwa kada zote. Siku hizi mpk mhasibu mwenye CPA au mwanasheria aliyehitimu Law School bado wanasota kitaaniuwezo wanao iyo imedhrisha watu wa I.T wa udsm wana uwezo mdogo hadi website yao imehackiwa cha umuhimu hao vijana wapewe ajira haraka
Kama walishindwa kudukua website ya jf mpaka wakawapeleka mahakaman unadhan wataweza kuwafwata hao??Hatari sana, kama selikari inawataalamu iwatumie na wenyewe wadukue taarifa za wadukuaji, hahaaa twende kazi sasa ni wakati Wa technology. Hapo ni Black hat hacker vs Wight hat hacker
Umeona eeeAvator yako nimeipenda