Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,903
- 172,764
kila nikiona chumvi natamani kuilamba
ha ha ha utakuwa una upungufu wa madini flani wewe.....
haya njoo ulambe!!!!!
kila nikiona chumvi natamani kuilamba
Shukrani za motomoto au za vuguvugu?Nitafutie basi, nitakuhonga