Habib Mchange: ACT-Wazalendo tutaidhibiti vikali CHADEMA

Habib Mchange: ACT-Wazalendo tutaidhibiti vikali CHADEMA

Ninyi si mlisema Eddo anakizamini chama cha ACT wazalendo?? daa ukiwa mtumwa wa mawazo ni hatar sana. bora uwe fukara wa pesa lakini tajir wa akili, watu wanapelekwa pelekwa kama makasuku, tunahitaji muda mwingi sana kuikomboa Tanzania kama % kubwa ya watanzania tuna caliber ya ukasuku.

Kaka umemaliza yote sina comment. wahenga walisema, ukiwa mwongo, usiwe mwepesi wa kusahau. kila kukicha bavicha hawahawa walituaminisha kuwa ACT ni ccm b na mdhamini wake mkubwa ni LOWASA coz anatengeneza plan B ya kutokea ikitokea akakatwa, leo amekataliwa na wazalendo kwani masharti yao ya kuanika kila unachokimiliki na mchanganuo wa namna alivyo vipata vyote kama hakuna harufu ya kifisadi au la. kama safi unapokelewa. hlo sharti limemshinda ameamua kwenda kwa mafisadi wenzake wanaojimilikisha ruzuku za chama zote bila kujali majimbon na matawin watatumia nn hata ofisi imeshndikana kujengwa. leo wamegeuka tena kwa MEMBE!!! Walibadilishana na kukabidhiana lini tawi hilo
 
mkuu,moja ya taasisi za vijana za hovyo kabisa ni bavicha,na hilo utalijua ukiangalia wafuasi wake mpaka viongoz wao wakuu.
Kama umewahi msikiliza mwenyekiti wao huyu wa sasa,basi hautaweza kushangaa misukule ya chini kabisa.
 
Katibu wa mipango na mikakati wa ACT-Wazalendo Habib Mchange amekionya CHADEMA kwamba huenda kikafutika katika historia endapo kama wataendelea kuifuatafuata ACT-Wazalendo.

Akizungumza na wanahabari makao makuu DSM Mchange amesema CHADEMA wamekuwa wakikodi watu kwenda kuwazomea kila wanakopita na akaonya chama hicho kikiendelea atawafanyia kitu kibaya sana ambacho hawatasahau katika maisha yao.

Mchange amesema Jumamosi kutakuwa na mkutano mkubwa wa Hadhara Mwembeyanga utakaoongozwa na Kiongozi Mkuu Zitto Kabwe na kuwaonya CHADEMA wakae mbali na mkutano huo.

Pia Mchange amesema katika kuonyesha CHADEMA inawafuatafuata baada wao kuitisha mkutano Mwembeyanga CHADEMA nao wameitisha mkutano Kawe ili kuikomoa ACT-Wazalendo.
Mkwara tu huo Mchange, huna ubavu wa kufanya chochote. PM-7 ilishashindwa ikafa ikazikwa.
 
Last edited by a moderator:
Kama Kwenye ueledi wa Mchange juu ya Mipango na Mikakati ndivyo alivyofundishwa basi ni shida!!
 
Kwa fikra hizi tutabaki na Siasa Uchwara kwa muda mrefu sana.Vyama vya upinzani vinatakiwa kua na dhamira moja ya kuhakikisha kukiwajibisha Chama Tawala ili kiisimamie Serikali yake vizuri na si Kurumbana wao kwa wao.

Haya marumbano ya ACT na Chadema hayana tija na kama vyama vyetu vitaendelea namna hii nadhani hakuna haja ya kua na vyama vya upinzani. Kwakeli inakatisha tamaa sana na wananchi wataona bora kua na CCM Chama Kimoja kuliko kua na vyama uchwara vya upinzani. INASIKITISHA SANA.
 
Nyinyi kweli ni CCM B baadala ya kupambana na Chama kilichoko madarakani ili uingie unapambana na mpinzani mwanzako, Ndorobooooo wtz hawachagui Kamwe!!
 
Katibu wa mipango na mikakati wa ACT-Wazalendo Habib Mchange amekionya CHADEMA kwamba huenda kikafutika katika historia endapo kama wataendelea kuifuatafuata ACT-Wazalendo.

Akizungumza na wanahabari makao makuu DSM Mchange amesema CHADEMA wamekuwa wakikodi watu kwenda kuwazomea kila wanakopita na akaonya chama hicho kikiendelea atawafanyia kitu kibaya sana ambacho hawatasahau katika maisha yao.

Mchange amesema Jumamosi kutakuwa na mkutano mkubwa wa Hadhara Mwembeyanga utakaoongozwa na Kiongozi Mkuu Zitto Kabwe na kuwaonya CHADEMA wakae mbali na mkutano huo.

Pia Mchange amesema katika kuonyesha CHADEMA inawafuatafuata baada wao kuitisha mkutano Mwembeyanga CHADEMA nao wameitisha mkutano Kawe ili kuikomoa ACT-Wazalendo.

ACT NA CHADEMA wote ni mamluki wa CCM mmeanzishwa ili kuwapotosha wananchi hamna jipya. Ndoroboooo nyieee .......!
 
MTU mwenye Akili timamu hawezi kujadili hoja za Mchange. Nampuuza tu kwani haiwezekani cdm yenye wanachama million 8 ihangaike na vikundi vya ngoma za kienyeji kama act
 
Siasa za Tanzania ni rahisi sana aisee. Hivi hata Mchange naye ni mwanasiasa tegemezi ndani ya ACT-Wazalendo?? Huyu dogo aliongopa kuwa amezaliwa Kibaha Vijijini na akafurushwa. Akagombea Kibaha Mjini na akafanya mambo ya ajabu sana wakati ule akiwa CHADEMA. Yuko njiani kugombea tena Kibaha Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo. Karibu Kibaha Mchange ukumbushwe usaliti wako wa 2010

Hayo niyako
 
Last edited by a moderator:
Sio siasa tu ata uanasheria pia, maana mtu hawezi kuamini kama comment kama hii ni ya mwanasheria.Nchi ya maigizo sana hii kila nyanja zote zimejaa maigizo tu.

Ndio umejua leo
 
CCM wamewatuma. Wamewawezesha kwa pesa! Wamewapa mikakati ya kufanya ili kuvuruga Chadema hasa kuelekea Uchaguzi mkuu! Hatushangai kwa matamshi hayo. Ila Watanzania wa leo hatudanganyiki. Asiye pamoja nasi katika kuingoa CCM ni adui yetu! Tutaonana uwanjani!

Ukijidanganya hivyo hausumbui
 
hiki kikundi cha mamluki wa ccm kimeshindwa kazi bila kutaja chadema hakuna anakitambua kikundi cha maiti wa kisiasa , mchange naye eti mtu hata wa kusema na kumuanzishia thread mawe

Wacha kujidanganya wewe fuata upepo
 
Sasa kwanini waidhibiti chadema na sio ccm? Kwani chadema ina dola. Au mabwana zao ccm ndo wamewapa maelekezo hayo
 
Katumia maneno makali nadhani mamlaka husika NEC, TCRA, MOAT watachukua hatua stahiki.
 
Huyo nimemtoa thamani,Kuwaongelea vibaya watu wanaoumwa,sasa Hospital zimejengwa za nini ,kwani ugonjwa mtu anajitakia si mpango Wa Mungu.Kama huumwi wewe ataumwa Dada ,babu yako,shangazi n.k
 
Back
Top Bottom