Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,492
ACT ya Membe.......Zana Za Kilimo ni kama kifutia matako tu hapo..!!
Si mlisema Lowasa?
ACT ya Membe.......Zana Za Kilimo ni kama kifutia matako tu hapo..!!
ACT ya Membe.......Zana Za Kilimo ni kama kifutia matako tu hapo..!!
Labda mamako mdogo ndio alisema, mimi sikusema. nimesema sasa kwamba ACT ni cama cha Membe....hutaki kalambe ndimu.Si mlisema Lowasa?
Je, wewe umeonaje wameweza?
Jana nimesikia kwenye vyombo vya habari wakisema walikatwa ccm hawaitajiki ACT kwa sababu hawataki matapishi. Ila ni baada ya EDDO kuonesha wazi hawezi kuhamia ACT coz hakijiwezi na hakina mtajii wa watu. Kipo hoi na tegemeo lao kubwa ilikua wanaohama ccm! kwa hiyo ACT sio tatizo kwa CDM ni kama kulinganisha kifo na usingizi
Katibu wa mipango na mikakati wa ACT-Wazalendo Habib Mchange amekionya CHADEMA kwamba huenda kikafutika katika historia endapo kama wataendelea kuifuatafuata ACT-Wazalendo.
Akizungumza na wanahabari makao makuu DSM Mchange amesema CHADEMA wamekuwa wakikodi watu kwenda kuwazomea kila wanakopita na akaonya chama hicho kikiendelea atawafanyia kitu kibaya sana ambacho hawatasahau katika maisha yao.
Mchange amesema Jumamosi kutakuwa na mkutano mkubwa wa Hadhara Mwembeyanga utakaoongozwa na Kiongozi Mkuu Zitto Kabwe na kuwaonya CHADEMA wakae mbali na mkutano huo.
Pia Mchange amesema katika kuonyesha CHADEMA inawafuatafuata baada wao kuitisha mkutano Mwembeyanga CHADEMA nao wameitisha mkutano Kawe ili kuikomoa ACT-Wazalendo.
Sio siasa tu ata uanasheria pia, maana mtu hawezi kuamini kama comment kama hii ni ya mwanasheria.Nchi ya maigizo sana hii kila nyanja zote zimejaa maigizo tu.
Kama CHADEMA kiliundwa kukipoteza chama tawala CCM kwani ajabu gani kwa ACT kukipoteza CHADEMA? Ikumbukwe wazi kuwa CDM ni wale wote waliofukuzwa au kuhama CCM baada ya kwenda kinyume na chama,pia ikumbukwe ACT ni wengi wao waliofukuzwa au kutoka CHADEMA,hakuna cha ajabu kwa kila mmoja kukipiga vita chama alichotoka,Sasa mnanuna nini CHADEMA mkifanyiwa na ACT??au mtenda akitendewa??
chadema wanatuma mamluki kwenye mikutano ya act???too low for them....
hiki kikundi cha mamluki wa ccm kimeshindwa kazi bila kutaja chadema hakuna anakitambua kikundi cha maiti wa kisiasa , mchange naye eti mtu hata wa kusema na kumuanzishia thread mawe
WAZALENDO Kamwe hawanampango wa kibomoa chama chochote, chama kitajibomoa chenyewe na si kuihusisha ACT, karne ya sasa ukiendekeza siasa za MUNGU MTU jua ipo siku utakibomoa chama usitafute mchawi nani wakati chama uhai wake ni UZEZETA WA WAFUASI. TEAM WAZALENDO[/QU
Hilo halina Akili badala ya kuitoa CCM Linazungumzia Chadema. Litalaaniwa Vibaya sana maana halina Akili Limejitumbukiza kwenye siasa bila kujua Linafanya nini . Au no Zee sana Au Litoto sana Linakwenda bila kufikiri.Katibu wa mipango na mikakati wa ACT-Wazalendo Habib Mchange amekionya CHADEMA kwamba huenda kikafutika katika historia endapo kama wataendelea kuifuatafuata ACT-Wazalendo.
Akizungumza na wanahabari makao makuu DSM Mchange amesema CHADEMA wamekuwa wakikodi watu kwenda kuwazomea kila wanakopita na akaonya chama hicho kikiendelea atawafanyia kitu kibaya sana ambacho hawatasahau katika maisha yao.
Mchange amesema Jumamosi kutakuwa na mkutano mkubwa wa Hadhara Mwembeyanga utakaoongozwa na Kiongozi Mkuu Zitto Kabwe na kuwaonya CHADEMA wakae mbali na mkutano huo.
Pia Mchange amesema katika kuonyesha CHADEMA inawafuatafuata baada wao kuitisha mkutano Mwembeyanga CHADEMA nao wameitisha mkutano Kawe ili kuikomoa ACT-Wazalendo.
Limbukeni Act hakuna kitu cha maana zaidi ya Usaliti WA kutaka kuuwa Upinzani ili wao waingie ccmAnayeikosoa ACT hana maono,hivi leo hii ukawa mmemjumuisha emmanuel makaidi na NLD yake ambayo haina lolote imeshiriki tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995 haina mbunge ht mmoja hilo hamlizungumzii lkn ACT imeanza juzi tu inatikisa nchi na itazoa viti vingi tu vya ubunge uchaguzi ujao
Ninyi si mlisema Eddo anakizamini chama cha ACT wazalendo?? daa ukiwa mtumwa wa mawazo ni hatar sana. bora uwe fukara wa pesa lakini tajir wa akili, watu wanapelekwa pelekwa kama makasuku, tunahitaji muda mwingi sana kuikomboa Tanzania kama % kubwa ya watanzania tuna caliber ya ukasuku.