Habib Mchange: ACT-Wazalendo tutaidhibiti vikali CHADEMA

Hivi vyama vya upinzani ccm na ACT naona mnafanya mazoezi na kushikamana kusumbua UKAWA. Nyie jipangeni tu lakini tutawatandika wote na ruzuku tutawapimia kwa kibaba.
 
Sikujua huyu jamaa ni lofa namna hiyo! Adui yao mkubwa ni chadema!! Mpaka anamkashifu lowassa kwa ugonjwa! Mi nimeshangaa zitto kwa sababu gani amemuombea msamaha wakati yeye ndo alimtuma kutukana!
 
Back
Top Bottom