Habari zenu ndugu wenzangu wa Adamu?

Kozo

Member
Aug 14, 2011
33
2
Mimi ni mshiriki mpya katika jamii kubwa hii ambayo ni darasa kuu la wanajamii ktk kuleta ufahamu kwa njia ya kuhabarishana yaliyo bayana na kweli ili kujenga jamii inayojitambua ilipo na inakoelekea kwa kupembua magugu na ngano katika nyanja zote za kijamii kwani hakuna darasa kubwa limpasalo mwanadam kama ufahamu.
 
Back
Top Bottom