Kama wewe ni mweupe kichwani si lazima uchangie hapa,chadema hawakulazimisha kuandamana,walitumia haki yao yakidemokrasia kufanya yale maandamano wakiwa na kibali cha kufanya hiyo demo kutoka kwa rpc waKuwa mvumilivu, ndio siasa. unataka kila mtu afikiri sawa na wewe?
hata mimi nadhani kuna ukweli kiasi ktk hayo, chadema wasingelazimisha kuandamana kungetokea mauaji?
arusha na baadaye bila maandishi igp anaongea uhuni kwa xcuse ya inteligensia kusifanyike maandamano.fuatlia kwa makini sana utagundua cdm hawakurupuki wanapoamua kufanya jambo lolote.