Habari za afya ya Dr. Harrison Mwakyembe

Habari za afya ya Dr. Harrison Mwakyembe

Aibu iliyoje na si kawaida kwa injinia kuwa mzushi.Kwa vile maandiko yako hayana ushahidi wowote isipokuwa kutoelewana kwako na Mwakyembe , basi hayo maneno yanalingana na haiba yako.MZUSHI

Lole,

Wenzako walisema hivyo hivyo huko nyuma nilipoandika mambo ya CCM kupigana ngumi, Mwakyembe kubanwa na CCM- Kyela. Sasa na wewe leo unaniita Mzushi, ni sawa.

Kwa kukushauri tu tafuta simu za viongozi wa wilaya ya Kyela waulizie kuhusu hiyo KDF. Au mwulize Mwakyembe mwenyewe kuhusu hiyo KDF yake.

Pia uliza mtu yeyote Kyela, wakati Mwakyembe anafungua tawi la CCM wiki mbili zilizopita alisema nini?

Mimi nimemaliza kazi yangu ya kutoa habari, kama ni uzushi basi utupe nje.
 
I have been closely following discussions on various issues, and now I am concluding, may be its just wasting of time. Most issues are baseless and lacks analytical tools. can we change this to make our "VENUES MORE MEANINGFUL AND EFFECTIVE?"
 
Lole,

Wenzako walisema hivyo hivyo huko nyuma nilipoandika mambo ya CCM kupigana ngumi, Mwakyembe kubanwa na CCM- Kyela. Sasa na wewe leo unaniita Mzushi, ni sawa.

Kwa kukushauri tu tafuta simu za viongozi wa wilaya ya Kyela waulizie kuhusu hiyo KDF. Au mwulize Mwakyembe mwenyewe kuhusu hiyo KDF yake.

Pia uliza mtu yeyote Kyela, wakati Mwakyembe anafungua tawi la CCM wiki mbili zilizopita alisema nini?

Mimi nimemaliza kazi yangu ya kutoa habari, kama ni uzushi basi utupe nje.

Engineer
Asante kwa analaysis yako, ila ninaomba ushauri , kwa uzoefu wako wa siasa za Kyela una dhani ni nani atafaa zaidi ya Mwakyembe, Kuiwakilisha Kyela. Because is good to start thinking of someone who will have credibility than Mwakyembe and I believe you can help us on that, naomba uje na few names tuwajadili na tuwafanyie vetting .
 
Nakerwa sana na hoja hizi za kipuuzi za kuwashambulia wapiganaji hodari. Natambua kwamba mafisadi wanataka kutumia hili suala la ajali ya Mwakyembe kumtia doa mpiganaji huyu. Hawa ni wale wale ambao wamekuwa wakimuandama Mengi kwa kutumia mamluki wao kwenye vyombo vya dola na vijigazeti vingi walivyovianzisha kwa lengo hilo hilo.
Ili tufikie ukombozi wa kweli wa taifa letu lazima wote tuwaunge mkono walio frontline katika mapambano dhidi ya ufisadi na tusiwakatishe tamaa kwa kuwatungia mambo ya ajabu ajabu kwa lengo la ku-lower credibility yao. Hoja hizo hapo juu ni za kupikwa kwani hazina usahihi wowote. Mambo yaliyo wazi yanapotoshwa makusudi. Kuweni macho, hiyo ndiyo sura halisi ya ufisadi nchini iliyopelekea kwenye 'state capture' kama zilivyoonya zile asasi 50 zisizo za kiserikali.
Kwa wapiganaji walio ndani ya CCM ushauri wangu ni kwamba wajitoe haraka, kama kweli wana uchungu na nchi yao, wakae pamoja na kuanzisha upinzani wa nguvu dhidi ya CCM. Nina uhakika asilimia zaidi ya 60 ya wananchi watawaunga mkono baada ya kufanya kampeni nchi nzima. Hiyo ndio njia pekee ya kuking'oa chama cha mafisadi. Na kama alivyotabiri Nyerere, "Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM yenyewe". Andiko lakaribia kutimia! Sioni sababu kwa nini watu kama Mwakyembe, Zambi, Mpendazoe, na wengine waendelee kubaki CCM.
 
sikubaliani na maoni yako. ninazani ni rahisi kupambana na ccm ukiwa ndani kuliko ukiwa nje. all goes to acces of information.
 
Engineer
Asante kwa analaysis yako, ila ninaomba ushauri , kwa uzoefu wako wa siasa za Kyela una dhani ni nani atafaa zaidi ya Mwakyembe, Kuiwakilisha Kyela. Because is good to start thinking of someone who will have credibility than Mwakyembe and I believe you can help us on that, naomba uje na few names tuwajadili na tuwafanyie vetting .

Leokweli

Mwakyembe bado ni nafuu sana kuliko wengine ninaowajua mimi kwenye hii mihangaiko ya siasa za Kyela. Ni nafuu kuliko Mwakipesile, na ni nafuu kuliko hao jamaa wengi wa Dar bora awe tayari kukubali kwamba amefanya makosa kung'ang'ania migawanyiko ya watu na awe tayari kukutana na makundi yote. Huyo kijana mwingine wanayemsema mimi simfahamu zaidi ya kusikia tu na hata ukiwauliza hao wanaompigia debe au wanaompinga utagundua walio wengi hawamjui zaidi ya kujua miradi yake.

Anachotakiwa kufanya Mwakyembe ni kuwa mkweli, hata pale anaposhindwa akae na kuwaambia wananchi kwanini ameshindwa. Aache kulia lia kwenye kila kitu kusingizia watu wengine. Alianza na Mwakipesile kila siku, akaja na Mwanjala, akaja na Rostam na sasa ni huyo kijana.

Ajenge ngome yake Kyela kwakuwa na watu wa kumsaidia anapokuwa mbali na sio kutegemea hawa wapambe ambao hakuna wanachojua zaidi ya kushinda kwenye vijiwe. Pale ofisini kwake awe na mtu wa kushughulikia matatizo ya watu na yale yanayomshinda ndio yaende kwa mbunge. Katibu wake sasa hata hajui nini kinaendelea.

Ajiepushe na hizi pesa za michango ya wananchi, kazi yake sehemu kubwa iwe kuchangisha na kusimamia utekelezaji wake lakini sio yeye kuwa mbele katika kuzitoa na kuamua zitumike wapi. Ni rahisi sana kujikuta unachafuka shauri ya hizi pesa za watu kama hauko makini.

Muhimu kuliko yote awe mkweli; ni bora useme ukweli hata kama utakupeleka gerezani kuliko kukamatwa ukidanganya. Kwa mfano kuna kuna wakati aliwaambia baadhi ya wajumbe wa kata ya Matema kwamba ameacha pesa kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya shule kwa mfanyabiashara mmoja pale mjini na amempa maelekezo diwani (mama mmoja) akachukue. Kumbe kulikuwa hakuna ukweli wowote; viongozi wa ile kata kidogo wamkabe koo huyo mama wakiamini amechukua pesa na kula. Ukweli ulipojulikana, mbunge akawa amejichafulia kwa hao wajumbe wote.

Pia aache kuwa na wapambe wale wa Dar ambao kila mtu anajua ni mafisadi. Wewe unapigana na ufisadi huku unashinda na akina Kifukwe ambaye hata wananchi wa kawaida vijijini wanajua ni fisadi. Lingine ni dharau ya elimu, ukiongoza wananchi wasio na elimu inabidi dharau kuhusu elimu uzifiche kabisa. Ukimtukana mmoja kwamba huna elimu, wale wengine wanajiangalia na wao na kuona pia hawana elimu.

Hivi unategemea CCM kuna msafi mle? Tofauti tu kuna wengine ni nafuu kidogo kuliko wenzao.

Lengo langu si kuwachagulia wana Kyela mbunge ila kutoa taarifa juu ya haya yanayotokea huku. Kama nitaendelea kuwepo, hata akija mwingine itakuwa hivyo hivyo.

Ni mwendo mdundo mpaka kileweke!
 
Leokweli

Pia (Mwakyembe)aache kuwa na wapambe wale wa Dar ambao kila mtu anajua ni mafisadi. Wewe unapigana na ufisadi huku unashinda na akina Kifukwe ambaye hata wananchi wa kawaida vijijini wanajua ni fisadi.

Engineer ninachopinga juu ya mawazo yako ni hizi sweeping statements ambozo mtu ambaye hayuko informed anatafikiri kuwa kuna ukweli ndani yake.Hivi unaweza kutueleza ufisadi wa Kifukwe?
 
Engineer ninachopinga juu ya mawazo yako ni hizi sweeping statements ambozo mtu ambaye hayuko informed anatafikiri kuwa kuna ukweli ndani yake.Hivi unaweza kutueleza ufisadi wa Kifukwe?

Lole,

Inaelekea hujui lolote na afadhali ukae kimya tu. Kama unataka ufisadi wa Kifukwe wala hutakiwi kwenda mbali, hapa JF kwa juu kuna search button, weka jina la Kifukwe na utajionea mwenyewe. Unajua ameondokaje Norconsult?

Ukishindwa tuambie na tutakutafunia kabisa, JF tuko mbele, ukipata jibu usisahau kuja kutuambia.
 
Engineer ninachopinga juu ya mawazo yako ni hizi sweeping statements ambozo mtu ambaye hayuko informed anatafikiri kuwa kuna ukweli ndani yake.Hivi unaweza kutueleza ufisadi wa Kifukwe?
Mkuu Lole,

Hili la Kifukwe mbona tumejadili sana hapa JF? Labda ulikuwa hujajiunga bado.

Habari nyingi za Kyela anazoandika Engineer zina ukweli ila tu na yeye huzidisha (hutia chumvi mno). Nikilinganisha na habari nilizo nazo mimi naweza kusema kunakuwa na ukweli wa zaidi ya 50% na nyingine ndio huongezea za kwake.

Kyela ni mji mdogo sana na kama una watu wawili au watatu ambao wako kwenye uongozi au siasa za wilaya, utajua yote yanayotokea.
 
Lole,

Inaelekea hujui lolote na afadhali ukae kimya tu. Kama unataka ufisadi wa Kifukwe wala hutakiwi kwenda mbali, hapa JF kwa juu kuna search button, weka jina la Kifukwe na utajionea mwenyewe. Unajua ameondokaje Norconsult?

Ukishindwa tuambie na tutakutafunia kabisa, JF tuko mbele, ukipata jibu usisahau kuja kutuambia.
Engineer,
Kama Kifukwe ni fisadi, jambo ambalo wala si kweli, unataka hata ndugu zake wamkimbie wasiongee wala kuwa karibu naye kwa kuwa wewe na wengine mnaamini kuwa ni fisadi? Unaweza kuulinganisha huo unaoitwa 'ufisadi' wa Kifukwe na ufisadi wa EPA?

Kifukwe ninayemfahamu mie ni mtu aliyesaidia sana wananchi wenziwe kwa hali na mali tofauti na mafisadi wanaojilimbikizia mali kwa kuwanyonya wananchi na kiukamua nchi kwa faida yao bila kujali wananchi wenzao.

Mtake msitake, Mwakyembe ni mpiganaji anayestahili pongezi za wananchi wote wapenda haki. Watanzania tuache 'wivu' wa kuwashupalia wenzetu wanaojitolea na kuhatarisha maisha yao kwa kujaribu kutetea maslahi ya wananchi na taifa letu kwa ujumla.
 
Next Level uko makini, maana inaonekana kuna nguvu moja kubwa sana inahangaika kumwangusha Dk Mwakyembe nina mashaka hata JK huenda nae yumo! Lakini wanakosea wanafanya haraka mno kumuandama ilitakiwa wasubiri tena wawe kimyaa kabisa labda hata baada ya miaka 5 hivi ndiyo wafanye huo uovu wao.

Lakini sasa hivi tunashtuka,....bado hakuna kosa lolote alilonalo Mwakyembe ukilinganisha na makosa ya mafisadi kama Rostam linaloweza kumfanya apungue credibility yake.

Ni kweli mafisadi wako smart kwenye kushughulikia maadui zao kwani pia huwa shirikisha UWT, lakini wanafanya makosa ya wazi kwenye plan zao ovu, wenye uwezo wa kufikiri tunawashtukia mapema tu.

Mzzi (Boramaisha),
Naona wewe ni mgeni. Ukienda kurasa za nyuma, huko tumeandika vya kutosha. Na kwa taarifa yako, Mafisadi bado hawajaanza kumshambulia Mkwanyembe. Jamaa siku wataanza, basi utasikia Mwakyembe akianza kumumunya maneno.
Humu wengi tunaoandika ni wale tunamtakia mema kwa kujua uwezo wake na kwamba kama akijirekebisha, anauwezo wa kufanya maajabu na hata kuwa mfano wa kuigwa. Tulisema hapa zamani sana (soma nyuma) kuwa anagawa watu, na watu kibao wakasema tunamajungu. Juzujuzi kaambiwa live na akaambiwa aache kugawa watu. Kwa nini hakusikiliza maelezo yetu na kubadili hiyo tabia hadi anakuja kuumbulika? Kasababisha hadi mwenzake katandikwa masumbwi.
Karibu sana ukumbini na jitahidi usome hii makala kuanzia mwanzo hadi hapa ndipo uanze utowe maoni yako maana vinginevyo, unaongea/kuuliza kile ambacho huko nyuma tumekieleza.
 
Engineer,

Kifukwe ninayemfahamu mie ni mtu aliyesaidia sana wananchi wenziwe kwa hali na mali tofauti na mafisadi wanaojilimbikizia mali kwa kuwanyonya wananchi na kiukamua nchi kwa faida yao bila kujali wananchi wenzao.

Hata Chenge na Rostam wamesaidia watu wengi, je hilo linawaondolea kuwa mafisadi? Wanasaidia mpaka makanisani ili mungu awasamehe.

Hayo ya Norconsult vipi kasingiziwa?

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu!

Kuna watu wengi tu hapa walishaandika RA wanayemfahamu si fisadi na kasaidia watu wengi. Unataka tuwaamini watu kama hao?
 
Engineer,
Kama Kifukwe ni fisadi, jambo ambalo wala si kweli, unataka hata ndugu zake wamkimbie wasiongee wala kuwa karibu naye kwa kuwa wewe na wengine mnaamini kuwa ni fisadi? Unaweza kuulinganisha huo unaoitwa 'ufisadi' wa Kifukwe na ufisadi wa EPA?

Kifukwe ninayemfahamu mie ni mtu aliyesaidia sana wananchi wenziwe kwa hali na mali tofauti na mafisadi wanaojilimbikizia mali kwa kuwanyonya wananchi na kiukamua nchi kwa faida yao bila kujali wananchi wenzao.

Mtake msitake, Mwakyembe ni mpiganaji anayestahili pongezi za wananchi wote wapenda haki. Watanzania tuache 'wivu' wa kuwashupalia wenzetu wanaojitolea na kuhatarisha maisha yao kwa kujaribu kutetea maslahi ya wananchi na taifa letu kwa ujumla.

Mkuu
Boramaisha.
Kweli wewe naona ndiyo kwanza unaingia,
Uliona wapi fisadi anakimbiwa na ndugu zake?Tangu mwanzo tuliwahi kusema humu kwenye JF.Kuwa, mwakyembe alisaidiwa sana kwenye kampeni zake na Fisadi Kifukwe.
 
Mzzi (Boramaisha),
Naona wewe ni mgeni. Ukienda kurasa za nyuma, huko tumeandika vya kutosha. Na kwa taarifa yako, Mafisadi bado hawajaanza kumshambulia Mkwanyembe. Jamaa siku wataanza, basi utasikia Mwakyembe akianza kumumunya maneno.
Humu wengi tunaoandika ni wale tunamtakia mema kwa kujua uwezo wake na kwamba kama akijirekebisha, anauwezo wa kufanya maajabu na hata kuwa mfano wa kuigwa. Tulisema hapa zamani sana (soma nyuma) kuwa anagawa watu, na watu kibao wakasema tunamajungu. Juzujuzi kaambiwa live na akaambiwa aache kugawa watu. Kwa nini hakusikiliza maelezo yetu na kubadili hiyo tabia hadi anakuja kuumbulika? Kasababisha hadi mwenzake katandikwa masumbwi.
Karibu sana ukumbini na jitahidi usome hii makala kuanzia mwanzo hadi hapa ndipo uanze utowe maoni yako maana vinginevyo, unaongea/kuuliza kile ambacho huko nyuma tumekieleza.

- Mkulu Sikonge, saafi sana mimi ninamuheshimia sana DK, lakini recently ameanza kunipa wasi wasi sana, naomba tu aambiwe kwamba wengi hapa tunamfagilia isipokuwa kuna marekebisho machache anatakwia kuyafanya moving forward, otherwise anaonekana kutojiamini kutokana na mengi anayoyafanya huko ninayoyasikia kutoka huko Kyela,

- Kiongozi wa calliber yake hahitaji kuwa na wasi wasi, bali ni kusimama kidete tu na kusema record yake.

Respect.

FMEs!
 
Dilunga,
Achana na Lowassa. He conveniently disappeared alipopewa taarifa ya kuhojiwa na leo anajidai kuwa victim. Hapana. Kama ni victim, mbona alijiuzulu? Angetumia muda wake bungeni kujibu shutuma lakini alikacha? Achana naye!

Jasusi,

Sawa tuachane na Lowassa, lakini vipi wale vijana wa kule Kyela waliofukuzwa kwenye chama bila kufuata sheria, je kwao hizo principles of natural justice hazifanyi kazi?

Vipi hao vijana wengine wa Kyela ambao yeye anapita mitaani kuwaambia watu kwamba wamehongwa milioni 400, bila hata kuwauliza, kutoa hata chembe ya ushahidi, huku anajua hawapo na hawawezi kujitetea; je wao hawahitaji hizo principles of natural justice?

Mtu akiwa na double standards na unafiki, JF tutaendelea kumuumbua tu. Mimi nilitegemea msomi aliyebobea kwenye sheria angelikuwa wa kwanza kuongoza kwa kufuata sheria.
 
Mkuu Shalom,
"Mtu wa watu" kwi kwi kwi!! nimeipenda hii na nitaiweka kwenye manifesto yangu ya kugombea ubalozi wa mtaa hapa kijijini kwangu.

Mwenye wivu si ni yule anayekwamisha vijana wa Kyela wasiendelee? Mtu akiona vijana wanafanya kweli kiroho kinaanza kumpanda? Utamwonea wivu mtu anayeshindwa ku deliver ili iweje?

Mkuu nimekwambia tafuta sababu nyingine lakini huko kwenye majivuno au wivu hutanikuta. Kama Wanyika mmejaaa majivuno huku mnashindwa kufanya la maana kule kwenu mtakuwa wajinga kweli kweli.

Elimu ya kweli ni ile inayokusaidia kutatua matatizo yanayokuzunguka, sio ile ya kutamba mitaani na kutundika vyeti ofisini.

Elimu nzuri ni kama Dr. aliyoitumia kule kwenye Richmond, wala hakuhitaji kutamba, ile report ilikuwa inajiuza yenyewe.

Hujanijibu wewe mwenye wivu na yeye mwenye majivuno yupi afadhari jibu hilo mzee. Na nani aliyekwambia maendeleo yanaletwa kwa kugawa misaada fulani. Ni lazima awachukie nyie mlioikimbia kyela halafu mnakuja na vijizawadi eti mnaita ni kuendeleza kyela nani amesema anataka dezo?. Watu wengi kwa kweli tuanwachukia sana nyie mnaotaka kuonekana eti mna huruma kwa kugawa vijizawadi hii hata mimi ningekuwa Dr ningechukia tu!

Kuna jamaa mmoja nilikutana naye jina lake linaanzia na G yuko UK anamalizia Phd yake akaniambia kuwa akimaliza tu shule anakwenda kyela kufanya kazi hataki ulaya (mama yake ni mzungu) wala DSM anakwenda kyela. Huyu jamaa ni zawadi tosha kwa wana kyela sio watu wanaotoa vijizawadi vya muda mfupi na kujiona ndiyo kuleta maendeleo. kwa sisi tunaojua kuwa hakuna bure tunajua tu kuna siku ya kuvilipa. ikiwemo kugombea ubunge yes! kugombea ubunge.

samahani kwa language kama imekuwa kali ila mawazo yako, siyo wewe yananikwaza sana port!
 
Shalom,

Si nimekujibu? Utamwonea wivu mtu anayeshindwa ku deliver? Nilifikiri watu wanaonea wivu wengine kwa mafanikio, kumbe wanaonea wivu kwa failures?

Wewe umekatazwa nini kugawa vijizawadi? Toa hata hizo zawadi za muda mfupi maana wanaohitaji ni wengi.

Mtazua mengi kweli mwaka huu na yote yatawashinda. Utaweza vipi kumzulia mtu ambaye hata humjui? Endelea kuchanganya watu.

Kama ni kugombea ubunge kila mtu anayetaka ana haki hiyo. Wala huhitaji kutoa zawadi ili ugombee ubunge. Wananchi ndio waamuzi. Mwaka 2005 walisema Mwakyembe, kama wataona atawafaa tena 2010 watampa tu, kama watamnyima ni kwasababu wataona hawafai tena.

Unapoteza muda wako bure kunifuata fuata mimi. Jimbo la Kyela hakuna mwenye hati miliki nalo.

Mmezua ya kupewa milioni 400, sasa mnaanza kuzua ya zawadi za muda mfupi? Wewe tuambie uliyetoa zawadi za muda mrefu ziko wapi? Mnachojua ni kukwamisha vijana wa Kyela wanaotaka kuendeleza kwao. Uzuri tumewajua na mtashindwa tu, hata mtukane vipi, mtashindwa tu.

Huyo kijana unayemsema si sema tu kwamba mtoto wenu. Namwombea tu afanikiwe na atimize ahadi zake maana ndio vijana wanaotakiwa. Tunamwombea tu asiige mawazo ya wazazi ya kufisadi Norconsult. Lengo liwe kutumia elimu yako kuendeleza kwenu na sio kufisadi kwenu.

Kama hoja zangu zinakukwaza, wewe zijibu tu wala sitajenga uadui kwasababu una mawazo tofauti na mimi. Ila haya matusi na majungu yasiyo na ukweli wowote inabidi muachane nayo.
 
Ogah,

Ndio maana nchi inaenda hovyo; kazi za maana zimeshikwa na wababaishaji wengi. Ukiwa mchapa kazi au kama unauliza maswali magumu magumu, huwezi kupanda vyeo.

Wana JF nendeni mkaokoe jahazi, wabaishaji wengi mno kwenye system. Tatizo ni chini mpaka juu.

Asante kwa kugundua kuwa kumbe kugawa vizawadi siyo deal bali kuenda front ndiyo suluhisho karibu! Mwenzio kesho tunaenda kyela kuangalia jinsi ya kuivest huko ikiwamo Mbeya mjini.

Nakuhakikishia sitatoa msaada wa bure kwa yoyote hasa kwa vijana wa kyela ambao ni wavivu sana kufanya kazi kazi kupenda kuwa smart tu. Mungu anasema asiyefanya kazi na kula asile halafu watu wanataka kupinda kanunu ya mungu.

kama baba yake aliiba sawa tu lakini hatuwezi kumbebesha huyu kijana haya mambo kama ambavyo hatuwezi kukupa wewe mambo ya baba yako. Au mzee niyaweke hewani?
 
Unanichekesha maana mara unapinga baadaye unageuka. Kama unaenda kuwekeza Kyela karibu sana na utakuwa umefanya jambo muhimu sana. Wengine tulianza zamani na tumekumbana na kila aina ya matatizo. Kama utakwama jambo nitakuwa tayari kukupa tips namna ya ku survive kwenye jungles za Kyela. Sitakuonea wivu mkuu! kwi kwi kwi!!!

Hakuna anayetoa vizawadi kuwapa watu, ndio majungu ya Kyela hayo. Kama wengine tumewahi kutoa misaada basi ni kwenye mashule na afya na wala sio kwa mtu mmoja mmoja, of course ukiachia ndugu. Pia mimi ni mjamaa, sikubaliani na mawazo yako hayo ya kwamba asiyefanya kazi na asile. Kuna watu wanatakiwa kusaidiwa kwasababu mbalimbali. Pia kuna misaada mingine inaweza kumsukuma mhusika ili aweze kujitegemea. Kwa mfano ukiweza kumsaidia kijana akimbie Dar kujaza forms na kushughulikia loan ili aende mlimani, huo ni msaada endelevu, vinginevyo angeweza kukosa nafasi shauri ya vijisenti kidogo tu.

Huyo kijana nimeandika bora asiige ya wazazi. Kila mtu na msalaba wake, huwezi kumtwisha mtoto msalaba wa babake. Nilitaka tu kukuonyesha kwamba ninaelewa unamsema nani.

Mimi mtoto wa wakulima, babangu asingeweza kumwibia mtu yeyote. kama baba yangu alifanya makosa, basi JF ni kumkoma nyani giladi, wewe weka tu. Ila kwa jinsi nilivyoona unaandika hapa, najua hujui kitu na mambo ya Kyela; you are not well informed. Ukijisahau sana Dar au USA kweli huwezi kuyaelewa ya huko kwenu vijijini.
 
Back
Top Bottom