BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Unalosema ni kweli lakini ndiyo hivyo hakuna chochote kinachofanywa cha kuzuia watu wenye kuipa sifa mbaya mitandao. Sasa imefikia baadhi kuonyesha live mauaji wanayoyafanya live au ujinga ujinga mwingine. 2 or 3 weeks ago kule Pakistan Baba kamuua binti yake live FB, Chicago vijana wanne walimbaka teenager live FB na watu wanaangalia tu. Matukio kama haya ya kusikitisha na kushangaza yatazidi kuongezeka mitandaoni.
Wala mitandao haina shida, sisi ndio tuna shida kubwa saaana na kukosa nidhamu...
Hii mitandao haikuwekwa kwa lengo la sie kujianika huko tena tukiwa watupu hapana!!!!!
Ni ulimbukeni tu wala hamna kingine best..