Ili apate sifa mitandaoni
MmmmhSi angeweka tu papuchi yake, manyonyo na wowowo ili apate sifa zaidi. Mitandao ukiwa na akili fupi ni noma sana.
Mmmmh
Wala mitandao haina shida, sisi ndio tuna shida kubwa saaana na kukosa nidhamu...Mitandaoni kuna mambo Best. Mie mara ya kwanza kuona mitandao ya hivi hitimisho langu lilikuwa kwamba ni wala unga walioshindwa na maisha lakini baadaye nikaja kukugundua baadhi ni wasomi wa hali ya juu na wana nafasi za juu sana makazini kwao lakini hili la kujianika hadharani kwa strangers wala haliwapi tabu. Sasa naona linangia nchini mwetu kwa kasi ya kutisha sana. Mitandao ni shida Best.