Habari ya kughadhibisha na kutia simanzi pia

Habari ya kughadhibisha na kutia simanzi pia

Mazoea na watoto Wa kike wadogo uwa sitaki kabisaaa.
Mwanamke ni mwanamke tu hata akiwa mdogo ana kuwa na mvuto.sasa ukiwa na roho nyepesi.ni hatari.
 
Mpe maadili mazuri mtoto mwenyewe ajue mafirauni wamejaa huko mitaani. Kuua mtu kwa mitego uliyofanya mwenyewe ni kosa .
Hakuna anayejua km ilikua set upp maybe.
Usikute wanadaiana jamaa kaamua kumaliza deni kiaina .
Mlee mtoto katika maadili mazuri naye hatayaacha hata atakapokuwa mzee. Marehemu alichokifanya ni cha hovyo, na baba mtoto alichokifanya ni cha hivyo pia.
 
Asante brother Mshana kwa kutufundisha kitu especially kwenye suala la malezi.
 
Hii habari inatia simanzi sana tena sana ila hatuna budi bali kuongelea hali iliyopo. Kwanza nilitaka kujua hili tukio limetokea wapi na kama kweli huyo firauni kauwawa au ni picha tu inatumwa kuwapa watu waliosikia hili tukio faraja walau kidogo. Una uhakika ni yeye mshana jr? Mwenyezi awafanyie wepesi huyu binti na familia yake

Aidha japo sina hakika kama hiki ni kisa cha kweli ila kuna tatizo kubwa kwenye jamii zetu hasa siku hizi ambapo utu, huruma vimepotea ukiongezea na ongezeko la picha chafu kila kona. Wazazi waache tabia za kuwaacha watoto kwa watu baki bila uangalizi wa karibu. Tabia ya watoto kulala na watu wazima ikome, huko ndo watoto wanalawitiwa kila siku. Watoto wavulana na wasichana waache kulala na/au kuoga pamoja hata kama ni tumbo moja, bado hawana utashi, utakua unawajengea mazingira ya watoto hao kujaribu kufanya matusi. This comes naturally hawahitaji kuona au kusikia popote wao kujaribu kujua tofauti zao za kimaubmile so long as mazingira yanaruhusu
 
Hii habari inatia simanzi sana tena sana ila hatuna budi zaidi ya kuongelea hali iliyopo. Kwanza nilitaka kujua hili tukio limetokea wapi na kama kweli huyo firauni kauwawa au ni picha tu inatumwa kuwapa watu waliosikia hili tukio faraja walau kidogo. Una uhakika ni yeye mshana jr? Mwenyezi awafanyie wepesi huyu binti na familia yake

Aidha japo sina hakika kama hiki ni kisa cha kweli ila kuna tatizo sana kwenye jamii zetu hasa siku hizi ambapo utu, huruma vimepotea na ukiongezea ongezeko la picha chafu kila kona. Wazazi waache tabia za kuwaacha watoto kwa watu baki bila uangalizi wa karibu. Tabia ya watoto kulala na watu wazima ikome, huko ndo watoto wanalawitiwa kila siku. Watoto waume kwa wasichana waache kulala na/au kuoga pamoja hata kama ni tumbo moja, bado hawana utashi, utakua unawajengea mazingira ya watoto hao kujaribu kufanya matusi. This comes naturally hawahitaji kuona au kusikia popote wao kujaribu kujua tofauti zao za kimaubmile so long as mazingira yanaruhusu
Sina hakika kwakweli na hili tukio kwakuwa zaidi ya mitandaoni halisikiki pengine popote... Ila nikaamua kuchukua maundui yake kutokana na visa tunavyoviona na kushuhudia
Kwenye video nina mashaka na jinsi ilivyochukuliwa iko very clear na kuna mahali mtoto ni kama anatoa ishara kwa mtu asiyeonekana(maelezo yanasema alikuwa anatoa ishara kwa mamaake aanze kurekodi)
 
Toa bana iyo picha ya mtoto au mzibe sura!!

Cc# moderators
 
Sina hakika kwakweli na hili tukio kwakuwa zaidi ya mitandaoni halisikiki pengine popote... Ila nikaamua kuchukua maundui yake kutokana na visa tunavyoviona na kushuhudia
Kwenye video nina mashaka na jinsi ilivyochukuliwa iko very clear na kuna mahali mtoto ni kama anatoa ishara kwa mtu asiyeonekana(maelezo yanasema alikuwa anatoa ishara kwa mamaake aanze kurekodi)
Halafu nikiangalia hiyo picha mtoto km ananyonya kitu kigumu ukutani,sio mwilini labda jamaa alikua keshafanya yake ila kwenye ushuhuda ndio ilikua km hivyo . Wakarekodi
Nakumbuka zamani nilikua na kahausgeli na x wangu .
X ana mimba, from no where kaanza kuhisi nakatafuna kahausgeli.
Siku narudi job nakuta kamepigwa vibaya mno, kakashikiwa kisu na mmarangu yule kakakiri ndiyo baba kanilala maskin. Kumbe kaliogopa kisu.
Narudi mi naulizwa nikajibu kwa zarau tu aah mi nimlale huyu?sikujua Kumbe yule mtoto alikua kahenyeshwa hasa.
Sasa najibu vile x ananifata na kisu "ntakuua sema ukweli mwenzio kakiri , yule binti ndio kusema 'noo nilikiri uongo baba hajawahi hata kunigusa"
Nilisema uongo sababu ulinishikia kisu.
Hata hivyo x mchumba akahama na mtoto kwa kunituhumu hivyo.
Last nikagundua alipata kimario ndo drama hizo .
Na kale kabinti siku mbeleni huko kakanitunuku tunda nikala na chumvi .
True story
 
Kulikuwa na haja gani kuambatanisha izo picha apa?? Ungeeleza hoja ako given that tayar abari na picha izo zimeshasambaa usingeeleweka?? Au ndio kutafuta sifa za kijinga??

Act your age not your shoe size!! Unapofanya jambo shirikisha ubongo sio kutafuta ujiko kwa matatizo ya watu!! Rubbish
Picha hixi zimetembea sana fb na mitandao mingine
 
Halafu nikiangalia hiyo picha mtoto km ananyonya kitu kigumu ukutani,sio mwilini labda jamaa alikua keshafanya yake ila kwenye ushuhuda ndio ilikua km hivyo . Wakarekodi
Nakumbuka zamani nilikua na kahausgeli na x wangu .
X ana mimba, from no where kaanza kuhisi nakatafuna kahausgeli.
Siku narudi job nakuta kamepigwa vibaya mno, kakashikiwa kisu na mmarangu yule kakakiri ndiyo baba kanilala maskin. Kumbe kaliogopa kisu.
Narudi mi naulizwa nikajibu kwa zarau tu aah mi nimlale huyu?sikujua Kumbe yule mtoto alikua kahenyeshwa hasa.
Sasa najibu vile x ananifata na kisu "ntakuua sema ukweli mwenzio kakiri , yule binti ndio kusema 'noo nilikiri uongo baba hajawahi hata kunigusa"
Nilisema uongo sababu ulinishikia kisu.
Hata hivyo x mchumba akahama na mtoto kwa kunituhumu hivyo.
Last nikagundua alipata kimario ndo drama hizo .
Na kale kabinti siku mbeleni huko kakanitunuku tunda nikala na chumvi .
True story
Safi sana naamini haikuwa na chumvi tu bali na chachandu salo mbilimbi na pilipili.... Sio wote walioko magerezani kwa kesi za kubaka ni walibaka
 
Back
Top Bottom