Kwa content za kiswahili. Unatumia ipi ambayo ni nzuri tofauti na google adsense na propeller?Hahaha eti habari njema kwa bloggers. Heading na contents vitu viwili tofauti mkuu unanipa mashaka na hiyo blog yako isije ikawa chai tu
Kama una traffic ya kutosha jiunge na za hapa bongoKwa content za kiswahili. Unatumia ipi ambayo ni nzuri tofauti na google adsense na propeller?
Shukurani mr. Sorry kati ya hizo ipi ni nzuri kwa malipo yaan haisumbui kwenye malipo?Kama una traffic ya kutosha jiunge na za hapa bongo
1]KWANZA
2]PINPOINT AFRICA
3]SEEBAIT
Unatumia kampun ipi ya matangazo propeller au ? Muda si mrefu nitakuwa kwenye tasnia ya blogUkipata hata dola 100 kwa mwezi kwa contents za Kiswahili najinyonga
Tumia za hapa TZKwa content za kiswahili. Unatumia ipi ambayo ni nzuri tofauti na google adsense na propeller?
1 NA 2Shukurani mr. Sorry kati ya hizo ipi ni nzuri kwa malipo yaan haisumbui kwenye malipo?
Shukurani sana mr. Km blog (blogspot) haionekani kwenye search engine ya google ninafanyaje?1 NA 2
Shukurani sana mr. Km blog (blogspot) haionekani kwenye search engine ya google ninafanyaje?
Thanks in advance
Nashukuru sana mr. Ubarikiwe sana1]Jiunge na search console na u submit url ya blog yako kwa ajili ya crawl
2]Uwe una ping kila baada ya kuweka machapisho mapya ya siku
3]Uwe unasubmit url kwa google search engine manually kwa kila post unayo taka iyende kwenye search engine kwa haraka zaidi {chini ya lisaa 1}
hapa niko sawa kweliKama una traffic ya kutosha jiunge na za hapa bongo
1]KWANZA
2]PINPOINT AFRICA
3]SEEBAIT
mkuu namebahatika kukaa meza moja na wanaoendesha jamiiforums(jf), wanatumia google adsense yenye priorities kubwa.. na walikua approved kutokana na traffic kubwa na contents, hawatumii normal adsense kama hizi za kawaida...angalia picha hapa chini try to right click(kwenye hiyo alama x ambayo hutambulisha matangazo ya google.) utaona google adsense...Chunguza na kuuliza vitu kabla ya kutoa conclusion.......asilimi 80 ya blog zinazo tumia kiswahili hazi tumii adsense ads(matangazo yao haya toki direct from adsense server) hata jamii forum vilevile hawatumii adsense maana najua utawaweka kama mfano.
Angalia picha hapa chini... Ads zinatoka direct kwenye server za googleChunguza na kuuliza vitu kabla ya kutoa conclusion.......asilimi 80 ya blog zinazo tumia kiswahili hazi tumii adsense ads(matangazo yao haya toki direct from adsense server) hata jamii forum vilevile hawatumii adsense maana najua utawaweka kama mfano.