Habari njema kwa bloggers

Habari njema kwa bloggers

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,585
Reaction score
3,182
Baada ya kilio cha muda mrefu hatimaye jana adsense Wamenitumia email ya kuapprove Site yangu kuweka matangazo yao (Nacheka kwa furaha).content zangu natumia kiswahili 100% sasa kinachonisumbua ni kwamba matangazo nashindwa kuyaseti ili yaonekane kwenye page....msaada tafadhali.
 
Adsense na kiswahili subiri kula ban tu
 
aisee sasa hivi google wanatuma bots tu peke yake kuverify site wakupe ads ila kuna mda jamaa wataingia kwenye site yako manualy sasa ngoja waone kiswahili.
 
wenyewe si ndo wameamua kunipa....sijawalazimisha.
 
Nikweli waweza kuwa umekua approved na adsense katika site ya kiswahili ila swala la matangazo kuonekana litakuwa shida kutokana na uhafifu wa keyword kwenye site yako zinazo drive matangazo kutoka katika server za adsense.
Vile vile hiyo account itafungiwa na adsense muda si mrefu kwa kuvunja sheria zao.
Ama swala la payment laweza kuwa historia kwako.
 
zipo site kibao tu za kiswahili na wana ads..
Chunguza na kuuliza vitu kabla ya kutoa conclusion.......asilimi 80 ya blog zinazo tumia kiswahili hazi tumii adsense ads(matangazo yao haya toki direct from adsense server) hata jamii forum vilevile hawatumii adsense maana najua utawaweka kama mfano.
 
wenyewe si ndo wameamua kunipa....sijawalazimisha.
We jamaa mwehu kweli kwenye thread unasema *baada ya kilio cha muda mrefu* hapa unasema hujawalazimisha.... Sasa hicho kilio ulikuwa unalia kiaje aje yaan?
 
mwehu mama ako
 
Nikweli waweza kuwa umekua approved na adsense katika site ya kiswahili ila swala la matangazo kuonekana litakuwa shida kutokana na uhafifu wa keyword kwenye site yako zinazo drive matangazo kutoka katika server za adsense.
Vile vile hiyo account itafungiwa na adsense muda si mrefu kwa kuvunja sheria zao.
Ama swala la payment laweza kuwa historia kwako.
Kwa content za kiswahili. Unatumia ipi ambayo ni nzuri tofauti na google adsense na propeller?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom