I beg to differ hapo kwenye red. Uzinzi uko kwenye ndoa peke yake. Nje ya ndoa hakuna uzinzi bali kuna uasherati.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mzinzi na muasherati.
Ukiugua hoi bin taabani nani atakusaidia?acha imani potofu wewe au hauna wazazi nini?
ndo maana sitaki kuoa, 82% ya waathirika ni wanandoa.....usiniulize source do a simple research.[/Mi mwenyewe bado niko nje ya uwanja ila nikiangalia walioko uwanjani ctamani kuingia maana mmh! raffu mtindo m1:A S 39:
Mipaka ya uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa inaanzia na kuishia kwenye nini? Kwenye kufanya tendo la ndoa? Kuwasiliana na wapenzi wa zamani? Kuchombezana maneno ya kimapenzi? Manake kuna wengine hawaoni ubaya wowote kuongea na wapenzi wao zamani, tena yale maongezi ambayo wenza wao wakiyasikia hawatafurahia lakini utetezi wao ni kwamba kwa vile hawakazani basi hakuna ubaya wowote.
Hivi karibuni jamaa yangu alikuwa na varangati la kukata na shoka baada ya kugundua namba ya nje ya nchi katika simu ya mkewe na alipodadisi kwa mkewe akagundua ni njemba iliyowahi kuwa na binti miaka ya nyuma. Alimsemea hovyo mkewe na pia kumpigia jamaa na kumtukana sana.
What come first in ur mind utaniuliza SOURCE...!!
Go n search, do simple study ya wanandoa uwajuao, hudhuria semina mbalimbali za HIV/AIDS, etc, so up to 79% ya wana ndoa either both or one of them anauhusiano nje ya ndoa hapa TZ, na mostly married men, ambao ndio hadi 60% wana wenzi nje ya ndoa, je ww uko wapi? Are u safe? Hii ina maana 21% au pungufu ndio waliowatiifu kwa ndoa zao, na chanzo KIKUU, kiunganishi cha mahusiano nje ya ndoa ni SIMU, ukiwacha tabia, simu, simu, kazi kwenu.
Haya mambo bana. Ila mimi sijui nikoje tu. Katika hali kama hiyo wala nisingehangaika kumpigia simu huyo jamaa. Ningedili tu na huyo mwanamke. Lakini kila mtu ana njia zake za kudili na mambo na yeye hivyo ndivyo alivyoona inafaa.
Sioni sababu ya kupiga simu na kuitukana hiyo njemba. Huyo mwanamke kama kweli hataki kuwasiliana na huyo wake wa zamani, then the ball is/was in her court no matter who initiated the communication. Na pengine utetezi wake ulikuwa 'we are just friends', 'you are just insecure, there is nothing going on between us anymore' na upuuzi upuuzi mwingine kama huo.
Mlioko kwenye ndoa poleni sana.
mwanamke mmoja anachosha,ni muhimu kuonja na radha zingine.
Nakubaliana nawe NN, lakini kwenye swala la mapenzi binadamu tunatofautiana sana katika kushughulikia matatizo kama haya. Wengine hawataona sababu ya kumtukana huyo njemba bali kasheshe itakuwa kati yake na mkewe/Girlfriend tu, lakini wengine huweza hata kutaka kupigana na njemba na hata kuwa na dhamira ya kuua.
Mimi ni mmoja wa wale wanao deal na pande zote aisee. maana unaweza sema uongee na wako tu kumbe ni kichwa ngumu. Sasa ukiongea na wa nje pia na kuchimba beat wengi wanaogopa aisee hawarudii tena. Hamna balaa kama mtu akuwakie unasogelea wife au mume wake. Lazima uogope aisee. Kwa hiyo kudeal na huyo jamaa ilikuwa poa kabisa especially kama huyo wife alimwambia hubby wala hajali ni mdhungu tuendelee kuwasiliana tu.
n
Kuna mambo mawili...
Mosi.. Mtoa mada ni HIV + na inawezekana mkewe amekwisha tangulia mbele ya haki (RIP)
Pili .. Ni mume b.w.e.g.e!
Mr. President, hakuna dhambi yenye unafuu. Hata hivyo, siongei sana maana sipo kwenye ndoa. Waliokwenye ndoa watatuambia kwa uhakika kwa nini wanatoka na manati kulenga kuku na njiwa nje wakati kuku wao wapo ndani na hawana usumbufu wowote?
Mkuu kuna element kubwa sana ya facts hapo kwenye post yakoNiweke wazi, among 11 married women, watatu walijilengesha kwangu seeking sexual relationship and misaada, 1 said no when i approached her, 7 agreed for my request to start relationship, i am single, employee & self employed, those 11 si kana kwamba wana shida sana, laa, na ninakiri 4 kati yao wana uwezo kunizidi,
I know they follow my appearance, i slept with no one, ila hali ni mbaya, Ndoa ndoano, tuilinde, mmhhh.....!!!!
both men and women hatuna respect kabisa... where i work, i think 80% of married women do cheat, and it can be proven