HABARI ni hii, 79% ya wanandoa wana uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa..

Ukubwa dawa, na umetibitisha kauli hii.... safi sana

Mie nipo kwenye 79% sijisifii lakini ndio hali halisi, huwezi pona bila kukubali kwanza kwamba unaumwa!!:frusty:

habari yako binafsi bana.....lol...kuna watu wanataka kuassume kuwa wanaishi kwen utopia
 
habari yako binafsi bana.....lol...kuna watu wanataka kuassume kuwa wanaishi kwen utopia
Habari safi sana muzeya... waache waendelee kujaza utopia

Aisee hivi jumatano Dom kunakuaje?? Napanga ruti ya gudtime mkuu
 
hivi hommie, kale kabatan ka thanks wala like naona sikaoni tena manake hii ni very uziful post, hivi hawana ile katiba ya ISC?

Hebu cheki na moderator Teamo. Kale kakitu huwa kananiongezea apetaiti ya kurusha posti bana....
 
Habari safi sana muzeya... waache waendelee kujaza utopia

Aisee hivi jumatano Dom kunakuaje?? Napanga ruti ya gudtime mkuu

Kunakuwaga mswano tu kasoro mnadani ambako ni Jmosi, otherwise clubing kama kawaida (halafu boom limeisha so ujiandae apo si unajua tena)
 
Ukubwa dawa, na umetibitisha kauli hii.... safi sana

Mie nipo kwenye 79% sijisifii lakini ndio hali halisi, huwezi pona bila kukubali kwanza kwamba unaumwa!!:frusty:

Muzeya...hapo kwenye 79% anayepakwepa, ana uhakika wa tiketi ya kwenda mbinguni. Hapo ndipo penye kikwazo kikuu.... BTW hili halitupasi kulijadili wakati red label iko mezani?
 
Malizia hiyo gahawa via Mobile, afu ukuje utuambie kama na wewe ni miongoni mwa waumini wa 79% au laa..........:welcome:
Mimi nipo reception pa ze 79% ninawakaribisha na kuwaaga wanapoingia na kutoka.
 
Dhambi zote ni saws mbele ya Mungu. Na mshahara wa dhambi ni mauti haijalishi ni mzinzi, mwasherati, mwizi, muongo, fisadi, mmbeya, mwenye husuda, chuki, mchoyo etc.
 
pengine takwimu hii ipo sawa, cha msingi kujadili ni sababu zipi zinafanya wanandoa watoke nje?
huu ni mjadala mrefu, na nadhani umeshawahi kujadiliwa hapa JF
.
 
What come first in ur mind utaniuliza SOURCE...!!
Go n search, do simple study ya wanandoa uwajuao, hudhuria semina mbalimbali za HIV/AIDS, etc, so up to 79% ya wana ndoa either both or one of them anauhusiano nje ya ndoa hapa TZ, na mostly married men, ambao ndio hadi 60% wana wenzi nje ya ndoa, je ww uko wapi? Are u safe? Hii ina maana 21% au pungufu ndio waliowatiifu kwa ndoa zao, na chanzo KIKUU, kiunganishi cha mahusiano nje ya ndoa ni SIMU, ukiwacha tabia, simu, simu, kazi kwenu.

Ulilowakilisha ni kweli kabisa Mr President.. Ila hizo takwim haziko juu kidogo kweli?
 
Kale katufe ka LIKE na THANKS hivi kameenda wapi?

Hii siyo posti ya kupita hivi hivi bana.
kweli kabisa...... hii sredi ina vitu admu sana, tatizo vitufe naona vimeenda mei mosi in advance
 
pengine takwimu hii ipo sawa, cha msingi kujadili ni sababu zipi zinafanya wanandoa watoke nje?
huu ni mjadala mrefu, na nadhani umeshawahi kujadiliwa hapa JF
.
we bwana wehh, hii sredi ni ya kutoa takwimu, sasa kwanini tena utupeleke kwenye square root???

We upo pande ipi??
 
kweli kabisa...... hii sredi ina vitu admu sana, tatizo vitufe naona vimeenda mei mosi in advance

Kweli ladha imepotea..yani ukii-feel post unabaki kutafuta thanx&like hola then unapotezea!!..honestly, I miss vile vidude not groan lakini!

Kwenye hii mada napenda kuwauliza, hivi ina maana na sababu kubwa ya ndoa kuvunjika itakuwa kuzini nje ya ndoa?!!
 
Sababu kubwa siyo kuzini nje ya ndoa, ila kufahamika/kufumaniwa kuwa unazini nje ya ndoa.

Ukiwa mwadilifu katika utekelezaji wa sera za ISC ambamo ndimo tulipoangukia hao 79%.....mwenza wako hawezi kujua kama unazini nje ya ndoa, hii inamaanisha ndoa inakuwa salama. Ukikosea stepu ukagundulika, Yes, uzinzi inakuwa chanzo cha kuvunjika ndoa.

Kwakuwa uzinzi ni kama hauepukiki, ili kuzifanya ndoa zisivunjike, nawasihi wazinzi wote wazini kwa uadilifu na uangalifu mkubwa.

Babu anarudi kitandani kuiokoa ndoa yake.
 
Kweli ladha imepotea..yani ukii-feel post unabaki kutafuta thanx&like hola then unapotezea!!..honestly, I miss vile vidude not groan lakini!

Kwenye hii mada napenda kuwauliza, hivi ina maana na sababu kubwa ya ndoa kuvunjika itakuwa kuzini nje ya ndoa?!!

Kuzini sio kuvunja ndoa BJ.....
Ingekua kuzini ni kuvunja ndoa basi hii 79% ya wanandoa isingekuwepo....
BTW: Hii thredi ni lazima mtu ufanye declaration ya interest kwanza? I mean kwamba uko katika 21 au 79?
Huku kwenye 79 nimeshindwa kuchomoka....shame on me!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom