HABARI ni hii, 79% ya wanandoa wana uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa..

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,830
16,668
What come first in ur mind utaniuliza SOURCE...!!
Go n search, do simple study ya wanandoa uwajuao, hudhuria semina mbalimbali za HIV/AIDS, etc, so up to 79% ya wana ndoa either both or one of them anauhusiano nje ya ndoa hapa TZ, na mostly married men, ambao ndio hadi 60% wana wenzi nje ya ndoa, je ww uko wapi? Are u safe? Hii ina maana 21% au pungufu ndio waliowatiifu kwa ndoa zao, na chanzo KIKUU, kiunganishi cha mahusiano nje ya ndoa ni SIMU, ukiwacha tabia, simu, simu, kazi kwenu.
 
Uzinzi haupo kwa wenye ndoa tuu, ni kwa wote. Ungetoa takwimu kuwa kwa idadi ya watu Tanzania, ni asilima ngapi ni wana ndoa na wangapi hawapo kwenye ndoa. Kwa mtizamo rahisi idadi ya waliokwenye ndoa ni kubwa zaidi.
Simu siyo kiunganishi cha uzinzi na mahusiano, ni nguvu ya mvutano kati ya mwanaume na mwanamke. Unataka kunambia kabla simu hazijawa nyingi Tanzania wanandoa walikuwa hawatoki nje?
 
ndo maana sitaki kuoa, 82% ya waathirika ni wanandoa.....usiniulize source do a simple research.
 
Sina cha kupinga kwa kuwa nami nipo katika hiyo 79%:banplease::banplease:
 
Uzinzi haupo kwa wenye ndoa tuu, ni kwa wote. Ungetoa takwimu kuwa kwa idadi ya watu Tanzania, ni asilima ngapi ni wana ndoa na wangapi hawapo kwenye ndoa. Kwa mtizamo rahisi idadi ya waliokwenye ndoa ni kubwa zaidi.
Simu siyo kiunganishi cha uzinzi na mahusiano, ni nguvu ya mvutano kati ya mwanaume na mwanamke. Unataka kunambia kabla simu hazijawa nyingi Tanzania wanandoa walikuwa hawatoki nje?

I beg to differ hapo kwenye red. Uzinzi uko kwenye ndoa peke yake. Nje ya ndoa hakuna uzinzi bali kuna uasherati.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mzinzi na muasherati.
 
kidude cha like wamekitoa....safi sana paracetamol.
 
Kwani kwa wanandoa kukutana kimwili ni dhambi? Si wameruhusiwa? Na Uzinzi si dhambi? Kuzini ni nje ya ndoa na ni dhambi!
 
ndugu, uzinzi ni kitendo cha aliyeoa/aliyeolewa kufanya mapenz nje ya ndoa....
na uasherati ni kitendo cha asiyeoa/asiyeolewa kufanya tendo la ndoa.
 
Sio mbaya sana ukiwa mzinzi if ur not married, ila ndoa ndio kipimo cha uaminifu mlio uapa kwa Mungu tena publicly, na ninaposema simu ndio kichochezi kikuu why unapinga sana, kabla simu kuwa nyingi ni ukweli uhusiano haukuwa mkubwa kama sasa, almost simu accelerated sexual relationship by 70% na mbaya zaidi hata hao wana ndoa wengi wana wenzi zaidi ya moja nje ya ndoa, i repeat do uzinzi the way u like kama hujaoa/ kuolewa, ndoa don't joke with it,
Ukitaka kujua hata wanandoa wengi simu zao hakuna anayegusa ya mwingine, in silent mode full time wawapo wawili, tena wanafichiana simu, nowadays kwa wanandoa simu = sumu, kazi ipo, ila most of all Tabia. Ciao
 
Mr. President, hakuna dhambi yenye unafuu. Hata hivyo, siongei sana maana sipo kwenye ndoa. Waliokwenye ndoa watatuambia kwa uhakika kwa nini wanatoka na manati kulenga kuku na njiwa nje wakati kuku wao wapo ndani na hawana usumbufu wowote?
 
jamani topic kama hizi
tumezijadili mara mia mia humu ndani
tuwaache wanandoa wapumzike kidogo
khaaaaa
 
jamani topic kama hizi
tumezijadili mara mia mia humu ndani
tuwaache wanandoa wapumzike kidogo
khaaaaa

Pole mdogo wangu AD,

Tuendelee tu kujadili...Kwangu mimi nafurahia sana takwimu kama hizi kwani ni vizuri kujua kuliko kujikalia tu kama vipofu.

Niwemo kati ya hao 79% au la, jambo la msingi ni kuhakikisha kuwa I am responsible and caring to partner! Natimiza wajibu wangu 100%.
 
kidude cha like wamekitoa....safi sana paracetamol.
Thanks!

Kwani kwa wanandoa kukutana kimwili ni dhambi? Si wameruhusiwa? Na Uzinzi si dhambi? Kuzini ni nje ya ndoa na ni dhambi!
Eish!

ndugu, uzinzi ni kitendo cha aliyeoa/aliyeolewa kufanya mapenz nje ya ndoa....
na uasherati ni kitendo cha asiyeoa/asiyeolewa kufanya tendo la ndoa.
Thanks....nadhani atakuwa amekuelewa sasa....swala la muda tu, na vituisheni vidogovidogo

hahaha,ODM mi nakupenda bure,,lol:smile-big:
Thanks Darlie....karibu kwenye 79%!:welcome:
 
Sina cha kupinga kwa kuwa nami nipo katika hiyo 79%:banplease::banplease:

hivi hommie, kale kabatan ka thanks wala like naona sikaoni tena manake hii ni very uziful post, hivi hawana ile katiba ya ISC?
 
Mr. President, hakuna dhambi yenye unafuu. Hata hivyo, siongei sana maana sipo kwenye ndoa. Waliokwenye ndoa watatuambia kwa uhakika kwa nini wanatoka na manati kulenga kuku na njiwa nje wakati kuku wao wapo ndani na hawana usumbufu wowote?

unajua raha ya ndege anayekusumbua kumuwinda?
 
I beg to differ hapo kwenye red. Uzinzi uko kwenye ndoa peke yake. Nje ya ndoa hakuna uzinzi bali kuna uasherati.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mzinzi na muasherati.
Ukubwa dawa, na umetibitisha kauli hii.... safi sana

Mie nipo kwenye 79% sijisifii lakini ndio hali halisi, huwezi pona bila kukubali kwanza kwamba unaumwa!!:frusty:
 
Back
Top Bottom