HABARI ni hii, 79% ya wanandoa wana uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa..

Ntawakoromea wote bila kuchoka hata kama waifika mia, kwani ni kazi yangu kumlinda nimpendae. Na siku nikichoka kukoroma basi ajue its over between us. As long as we are together I will keep on fighting!

Vipi kama mzizi wa tatizo ni huyo mtu wako? Maana leo utamkoromea yeye na huyo mwenzake...kesho huyo mtu wako atakuwa na mwingine tena maana yule wa jana tayari ushamchimbia biti na yeye huenda kaamua kutafuta ustaarabu mwingine. Mwisho wa siku utakoromea wangapi? Huoni kwamba hapo tatizo kuu unalo mikononi mwako?

Wengine tunapenda kudili na tatizo kuliko by-product ya tatizo.

mtoa mada ungesema watu wengi wanacheat ningekuelewa,ila hio figure umeongeza na kachumvi kama sio kandimu inoge!:A S 39:

Ntawakoromea wote bila kuchoka hata kama waifika mia, kwani ni kazi yangu kumlinda nimpendae. Na siku nikichoka kukoroma basi ajue its over between us. As long as we are together I will keep on fighting!

Do you remember a couple of weeks ago I asked you if you have a clone?

I bow down to your passion and I am for real. Do they make your kind anymore? Coz I love me a woman who fights for hers with a passion.

Way to go sista. Your man is among the luckiest in the whole wide world.

What kind of work? Nasikia (sina uhakika) bankers ni watulivu compared na watu wengine kwa kuwa wako extra budy. Kukaa bila kazi kunachangia tabia za kizinzi.

Mmmhhh na wataalamu wa IT je? Tabia haina kazi, kabila, urefu nk

Halafu watu wanaona kawaid kabisa ningekuwa sina Mume nisingeolewa kuumiza roho tu kha!...
desi, kumbe weye ilo olewa siyo, hahahaaaaaaaaaa.... surely you must be part of statistics:bored:

desi, kumbe weye ilo olewa siyo, hahahaaaaaaaaaa.... surely you must be part of statistics

We acha tu ikifika hapa kwenye kucheat napandisha mori si unajua tena mambo ya home?

mie siolewi na nikiolewa nitahakikisha mume wangu ni hao 21% ya watu faithful lol

kama mwanamke:

1.jiweke smart/nadhifu wakati wote-uwe unavutia

2.hakikisha ratiba ya tendo la ndoa haipungui kwa vile sijui umezaa watoto majukumu yameongezeka,hakikisha kila anapotaka you are 'ready'...hii inaenda sambamba na kuwa mbunifu kitandani-hudhuria kitchen party,soma vijarida tofauti,browse net 'kuongeza maujuzi'

3.mwanamke jiko,hakikisha ni safi akirudi,pia jitahidi kupika mapishi mbali mbali-ongeza maujuzi humu kny net lol

4.nyama ya ulimi-mpokee mumeo kwa tabasamu na upole,mpe pole akiwa amechoka,mkaribishe chakula kwa maneno mazuri na tabasamu....

5.hudhuria ibada,na katika maombi yako iweke familia yako na mumeo katika maombi-wengine wanawateka waume zetu kwa nguvu za giza,washindweeeeeeeeeeeeeee! lol

****fanya haya yote kwa furaha,sababu ni wajibu wako mwanamke,usiwe na gubu wala ushindani mumeo hatotoka nje kamwe!:smile-big:

Ningekutafutia mdogo wangu, Nyani ila am last but one, na mdogo wangu kesha olewa 5 years a go.

Do you remember a couple of weeks ago I asked you if you have a clone?

I bow down to your passion and I am for real. Do they make your kind anymore? Coz I love me a woman who fights for hers with a passion.

Way to go sista. Your man is among the luckiest in the whole wide world.

Kwa kuwa umesema haujaolewa. Ushauri wako naomba uweke kwanza alafu ukiolewa baada ya miaka sita ya ndoa, njoo nao tena JF.

mie siolewi na nikiolewa nitahakikisha mume wangu ni hao 21% ya watu faithful lol

kama mwanamke:

1.jiweke smart/nadhifu wakati wote-uwe unavutia

2.hakikisha ratiba ya tendo la ndoa haipungui kwa vile sijui umezaa watoto majukumu yameongezeka,hakikisha kila anapotaka you are 'ready'...hii inaenda sambamba na kuwa mbunifu kitandani-hudhuria kitchen party,soma vijarida tofauti,browse net 'kuongeza maujuzi'

3.mwanamke jiko,hakikisha ni safi akirudi,pia jitahidi kupika mapishi mbali mbali-ongeza maujuzi humu kny net lol

4.nyama ya ulimi-mpokee mumeo kwa tabasamu na upole,mpe pole akiwa amechoka,mkaribishe chakula kwa maneno mazuri na tabasamu....

5.hudhuria ibada,na katika maombi yako iweke familia yako na mumeo katika maombi-wengine wanawateka waume zetu kwa nguvu za giza,washindweeeeeeeeeeeeeee! lol

****fanya haya yote kwa furaha,sababu ni wajibu wako mwanamke,usiwe na gubu wala ushindani mumeo hatotoka nje kamwe!:smile-big:

Ildeness inachangia dear. Maana wazinzi wengi wanafanya madudu yao makazini. Sasa kazi za Bank mimi nazijua kwani was my first job after graduating, ni mchakamchaka mbaya hamna wa kumwangalia mwenzie usoni.

Mmmhhh na wataalamu wa IT je? Tabia haina kazi, kabila, urefu nk

mie siolewi na nikiolewa nitahakikisha mume wangu ni hao 21% ya watu faithful lol

kama mwanamke:

1.jiweke smart/nadhifu wakati wote-uwe unavutia

2.hakikisha ratiba ya tendo la ndoa haipungui kwa vile sijui umezaa watoto majukumu yameongezeka,hakikisha kila anapotaka you are 'ready'...hii inaenda sambamba na kuwa mbunifu kitandani-hudhuria kitchen party,soma vijarida tofauti,browse net 'kuongeza maujuzi'

3.mwanamke jiko,hakikisha ni safi akirudi,pia jitahidi kupika mapishi mbali mbali-ongeza maujuzi humu kny net lol

4.nyama ya ulimi-mpokee mumeo kwa tabasamu na upole,mpe pole akiwa amechoka,mkaribishe chakula kwa maneno mazuri na tabasamu....

5.hudhuria ibada,na katika maombi yako iweke familia yako na mumeo katika maombi-wengine wanawateka waume zetu kwa nguvu za giza,washindweeeeeeeeeeeeeee! lol

****fanya haya yote kwa furaha,sababu ni wajibu wako mwanamke,usiwe na gubu wala ushindani mumeo hatotoka nje kamwe!:smile-big:

I envy how naive you are...

Mtu mwenyewe hajaonja wala hayuko katika ndoa would never understand. Wewe ni mwanamke tafadhali hata kama hujaolewa observe maisha ya wanawake waloolewa. Hizo kauli ulizoongea ndo wale wanaofikiri they are so exceptional kua yeye mwanaume akimpata kwake anakua amefika; akifikiri kua ukifanya hayo mambo ulotaja basi everything will be OK - which is kujidanganya.

Afu wanaume mnapenda kupiganiwa! My hubby also seems to like it when I fight for him.

Do you remember a couple of weeks ago I asked you if you have a clone?

I bow down to your passion and I am for real. Do they make your kind anymore? Coz I love me a woman who fights for hers with a passion.

Way to go sista. Your man is among the luckiest in the whole wide world.

ni kweli wanandoa wengi wana uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa, lakini kubwa ni ndoa nyingi zinakuwa kama fashion, mtuanaoa au kuolewa ili jamii ione ameoa au kaolewa. simu ni accelerator tu au inarahisisha mchakato

Back
Top Bottom