Ukubwa dawa, na umetibitisha kauli hii.... safi sana
Mie nipo kwenye 79% sijisifii lakini ndio hali halisi, huwezi pona bila kukubali kwanza kwamba unaumwa!!:frusty:
MTM like this :A S thumbs_up:hivi hommie, kale kabatan ka thanks wala like naona sikaoni tena manake hii ni very uziful post, hivi hawana ile katiba ya ISC?
Habari safi sana muzeya... waache waendelee kujaza utopiahabari yako binafsi bana.....lol...kuna watu wanataka kuassume kuwa wanaishi kwen utopia
we ngoja apate kichomi ndio ataelewa faida ya ndoaUkiugua hoi bin taabani nani atakusaidia?acha imani potofu wewe au hauna wazazi nini?
hivi hommie, kale kabatan ka thanks wala like naona sikaoni tena manake hii ni very uziful post, hivi hawana ile katiba ya ISC?
Habari safi sana muzeya... waache waendelee kujaza utopia
Aisee hivi jumatano Dom kunakuaje?? Napanga ruti ya gudtime mkuu
Hebu cheki na moderator Teamo. Kale kakitu huwa kananiongezea apetaiti ya kurusha posti bana....
Ukubwa dawa, na umetibitisha kauli hii.... safi sana
Mie nipo kwenye 79% sijisifii lakini ndio hali halisi, huwezi pona bila kukubali kwanza kwamba unaumwa!!:frusty:
Hapa pana jambo!
Ngoja nimalize hii gahawa kwanza.
Mimi nipo reception pa ze 79% ninawakaribisha na kuwaaga wanapoingia na kutoka.Malizia hiyo gahawa via Mobile, afu ukuje utuambie kama na wewe ni miongoni mwa waumini wa 79% au laa..........:welcome:
Mimi nipo reception pa ze 79% ninawakaribisha na kuwaaga wanapoingia na kutoka.
What come first in ur mind utaniuliza SOURCE...!!
Go n search, do simple study ya wanandoa uwajuao, hudhuria semina mbalimbali za HIV/AIDS, etc, so up to 79% ya wana ndoa either both or one of them anauhusiano nje ya ndoa hapa TZ, na mostly married men, ambao ndio hadi 60% wana wenzi nje ya ndoa, je ww uko wapi? Are u safe? Hii ina maana 21% au pungufu ndio waliowatiifu kwa ndoa zao, na chanzo KIKUU, kiunganishi cha mahusiano nje ya ndoa ni SIMU, ukiwacha tabia, simu, simu, kazi kwenu.
kweli kabisa...... hii sredi ina vitu admu sana, tatizo vitufe naona vimeenda mei mosi in advanceKale katufe ka LIKE na THANKS hivi kameenda wapi?
Hii siyo posti ya kupita hivi hivi bana.
we bwana wehh, hii sredi ni ya kutoa takwimu, sasa kwanini tena utupeleke kwenye square root???pengine takwimu hii ipo sawa, cha msingi kujadili ni sababu zipi zinafanya wanandoa watoke nje?
huu ni mjadala mrefu, na nadhani umeshawahi kujadiliwa hapa JF.
kweli kabisa...... hii sredi ina vitu admu sana, tatizo vitufe naona vimeenda mei mosi in advance
Kweli ladha imepotea..yani ukii-feel post unabaki kutafuta thanx&like hola then unapotezea!!..honestly, I miss vile vidude not groan lakini!
Kwenye hii mada napenda kuwauliza, hivi ina maana na sababu kubwa ya ndoa kuvunjika itakuwa kuzini nje ya ndoa?!!
Kweli ladha imepotea..yani ukii-feel post unabaki kutafuta thanx&like hola then unapotezea!!..honestly, I miss vile vidude not groan lakini!
Kwenye hii mada napenda kuwauliza, hivi ina maana na sababu kubwa ya ndoa kuvunjika itakuwa kuzini nje ya ndoa?!!