Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

Hizi ndio mambo CHADEMA wanafurahia, wakisikia vurugu roho wao kwatu, wakisikia kuna watanzania wamepata matatizo Mtwara huko kwa kuuliwa wao roho kwatu, wakisikia MKIRU wenyekiti wa vijiji wameuliwa wao roho kwatu, huu upambuvu ni kuendelea kuushughulikia bila huruma, Tz inahitaji vyama mbadala ila sio wapinga maendeleo.
 
Msh

Mshahara wa dhambi!
 
Issue ya Lissu ni kitendawili. Shahidi namba moja wa KUTOA maelezo chadema wamemficha. Unataka polisi wafanyeje?
Mbona swali hili la kijinga linarudiwa kuulizwa? Wangekufa wote uchunguzi usingefikiriwa hata kufanywa? Au intelijensia ya ziro na mroto/mambosasa ni ju ya wapinzani tu? Shenzi kabisa!
 
Na yale ma-landcruiser V8 yaliyopakwa rangi ya kijani wakati wa kampeni yamesharudishiwa rangi zake za awali na kurejeshwa serikalini?
 
Kwa sababu maendeleo hayana chama, lakini si sahihi kushikiriki kukuza uchumi wa mwananccm maana faida wanazopata wanaenda kuzitumia kwenye matendo haramu.
Mimi sina sababu ya kwenda Rukwa au Tabora, nawakamua hukuhuku yaani kenge yeyote ninaye mjua halambi hata mia yangu
 
Intelligencia haijabaini hawa waandamanaji wa naoharibu mali za watu?
 
Na bado. Maana peaceful protest si mmekataa.

Wala hawataandamana ila majibu yake fire wajiandae kuchunguza vyanzo vya mioto.
 
Acheni ujinga. Waliofanya huo ujinga watapatikana na kushugulikiwa.
"Waliofanya huo ujinga watapatikana..."

Sijui unao uhakika gani juu ya" kupatikana" wahusika; ila najua watapatikana, hata kama hawakuhusika na jambo hilo. Huo utakuwa mwendelezo tu wa kuwashughulikia hao mnaowadhani ni wahusika.

Ni nyakati zenu hizi, hamna pingamizi la kuumiza mnaowabagua.
 
Akili fupi hizi
 
Mbona swali hili la kijinga linarudiwa kuulizwa? Wangekufa wote uchunguzi usingefikiriwa hata kufanywa? Au intelijensia ya ziro na mroto/mambosasa ni ju ya wapinzani tu? Shenzi kabisa!
Lisu anasiri nzito sana juu ya shambulizi lake. Siasa yahitaji subira. Hakuna ajuae lkn
 
Back
Top Bottom