Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

Nauliza tu hiyo nyumba iliyoungua huko Eeatu mkoani Simiyu ni mali ya binafsi ya mkurugenzi au ni nyumba ya serikali?

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nimeshuhudia Kijiji kimoja mkoani Rukwa watu wamegawana soko dogo pale Kijijini. Kulia wànauza na kununua CCM peke yao, Kushoto CHADEMA na ACT.

Naungana na wewe kuwaomba Polisi kwa kutumia falsafa yao ya polisi jamii warejeshe umoja na utangamano miongoni mwa Watanzania maana wengine wanajali madaraka tu.
Wow! That's interesting
 
Mods mbona Uzi huu hamuunganishi na Uzi husika? Huu ni upendeleo wa wazi kwani wengine mnawaunganisha wakati kilichomo kwenye Uzi ni tofauti.
 
Akili fupi hata kuandika hujui

Akili yako fupi kuliko maelezo. Ndiyo maana hata huwezi kutofautisha typo wala kiherehere cha Android kutofahamu kuna lugha inaitwa kiswahili.

Lugha ambayo bila hiyo jiwe angekuwa anaongea kisukuma peke yake.

Uzuri ni kuwa cha moto lazima kiwahusu!
IMG_20201115_063240_691.jpg

Na hiyo ndiyo habari yenyewe. Kwani Ousama alitengenezwa je?
 
Hii ni mada tofauti bwashee japo tukio ni lile lile, usinune.

Nakutakia Dominica yenye baraka!
Hii si mada hili ni swali, unaandika kisha haujui ulichoandika? What a great thinker are you!
Mods ondoeni naona analazimisha mjadala kwenye swali alilouliza.
 
T
Nimeshuhudia Kijiji kimoja mkoani Rukwa watu wamegawana soko dogo pale Kijijini. Kulia wànauza na kununua CCM peke yao, Kushoto CHADEMA na ACT.

Naungana na wewe kuwaomba Polisi kwa kutumia falsafa yao ya polisi jamii warejeshe umoja na utangamano miongoni mwa Watanzania maana wengine wanajali madaraka tu.
Tunakoelekea ni kubaya sana
 
Back
Top Bottom