Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

hamna lolote maagizo tu hayo , huu ni mpango wa chama cha magaidi ccm hapo wanalenga kuwabambikia wapinzani kesi , wanatumia tiss kuchoma , wabambikwe wapinzani . Kazi za vipenyo hizo baada ya kufanya kwa ufanisi makafala ya kuchoma shule za kiislamu .
 
Hizi ndio mambo CHADEMA wanafurahia, wakisikia vurugu roho wao kwatu, wakisikia kuna watanzania wamepata matatizo Mtwara huko kwa kuuliwa wao roho kwatu, wakisikia MKIRU wenyekiti wa vijiji wameuliwa wao roho kwatu, huu upambuvu ni kuendelea kuushughulikia bila huruma, Tz inahitaji vyama mbadala ila sio wapinga maendeleo.
Mchuma janga hula na wakwao.
 
Ajali aichagui wewe ni chama gani.
Mbowe alivunjika mguu kwasababu ya kuzidisha Konyagi.
Zito aliteuka mkono kwa ajali ya gari.
Ajali nyengine hii haikuchagua chama

Hizi ndio mambo CHADEMA wanafurahia, wakisikia vurugu roho wao kwatu, wakisikia kuna watanzania wamepata matatizo Mtwara huko kwa kuuliwa wao roho kwatu, wakisikia MKIRU wenyekiti wa vijiji wameuliwa wao roho kwatu, huu upambuvu ni kuendelea kuushughulikia bila huruma, Tz inahitaji vyama mbadala ila sio wapinga maendeleo.
Umetoa issues za upande mmoja tu. Kumbuka Chadema nao wana issues zao. Act wazalendo pia. Fikiria mauaji ya Zanzibar.
Amani na haki ni lazima iwe bothways.

Sijui unaelewa maana ya bothways maana top boss wako sidhani km anaelewa. Haya ni mawazo yangu from neutral perspective.
 
Back
Top Bottom