Mwaka jana same number walidisco. ndio coet hiyo. pia kuna civil kadhaa 3rd yr wamedisco sijajua idadi naomba unipe hiyo data. lakini kunakitu kinatakiwa kufanyika hapo.

Kazeni buti; hamsomi halafu mnataka muonewe huruma. Je mngekuwa mnasoma kwa term kama sisi? Pigeni kitabu acheni kulalama

Hello jf!!wanafunzi 27 wa mwaka wa pili ktk college ya uhandisi{udsm} wanaochukua bsc in civil engineering wamedisco,na wengne wengi wanaochuka uhandisi wa fani nyingne nao wamedisco!!swali,ni masomo magum,wanafunzi hawaji2mi au unoko wa profs?

Hiyo ndo CoET mwana,Hakuna Kulala mwanzo mwenga,Ndo inabidi ujitume ili tusipate wakandarasi wanaodondosha maghorofa!!! Poleni mlio-Disco,Msife moyo kufeli chuo sio kufeli maisha,Karibuni uraiani tujumuike wote...G.P.A 2.0 kumbe kubwa eh eh eh eh eh eh.

Mi nitaanzia nyuma kidogo, inashangaza mwanafunzi anafika chuo kikuu lakini hajui hesabu kama za complex number, MAGAZIJUTO, intregral ndo usiseme kabisa. I was there at COET, intake za siku hizi zinatia aibu sana!! wanafunzi wengi wako chini sana kiviwango!!

I once asked my young brother studying at COET, "How come you finish your PCM in high school bila kujua complex number, integral, Newton Raphson Method etc? He just repplied, " Mwalimu mwenyewe aliyekuwa anatufundisha alikuwa hajui vizuri, kwa hiyo hata kufika chuo nimejitahidi". Nikasema, kumbe ni janga la kitaifa.

If you are teacher/lecturer, you will most of the time speak alone (nikimaanisha no challenges from the students) tofauti na enzi zetu, mwalimu akija shallow aibu atakayoipata hawezi kuja darasani bila kujiandaa. Siku hizi ndo aina ya wanafunzi wengi tulionao vyuo vikuu. Hakuna mategemeo makubwa sana kwani hajawa trained well tokea huko chini.

COET pale wanategemea madesa, mwalimu akiamua kutunga kama sasa walimu wengi ni wageni, basi utegemee hali kama hii!! vitabu vipo library wanafunzi wanasema hawana muda wa kusoma vitabu, so how can someone call himself/herself ni mwanafunzi chuo bila kugenerate ideas kutoka kwenye vitabu? Ndo maana wengi wakishamaliza, hawana hamu ya kuendelea kusoma hizo professionals.

Toka enzi zetu civil engineering(structural, water and transpotation) walikua wanachukua so many student kama 154 na ambao wanafanikiwa ku graduate ni just below 52, mi nadhani wangechukua wanafunzi wachache wenye ufaulu mzuri ili kupunguza hili tatizo, telecommunication eng wanachukuliwa so many na wanafanikiwa kugraduate hiyo ni kutokana na ufaulu wao bora toka lower level,yanahitajika mabadiliko makubwa sana.

wanadai vijana wenye ufaulu mzuri huwa hawaiombi hyo coz kutokana na ugumu wake..hvo huwa wanachukua wanafunz wenye ufaulu wa kawaida 2.