Habari marafiki

Mm ni mgeni umu napenda kuwajua na kushilikiana ktk madaa na vitu mblmbl Asante
Sasa kama wee ni mgeni humu mbona picha yako hujaweka!!sisi zetu wakati tumajiunga tuliziweka na tayari zinajulikana tunaomba picha pliz!!
 
Mgeni njoo Niulize swali lolote kuhusu humu nitakujibu ila mshahara ni LIKE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom