Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
- Thread starter
- #21
dah,muda huu nipo sitaki tena mapenzi kwa hivi sasa
dah! ngumu sana wengi wamejaribu wameshwindwa sema unauguza majeraha thats it!!
dah,muda huu nipo sitaki tena mapenzi kwa hivi sasa
nipo serious wangu sitaki mapenzi kwa sasa maana girls hawasomeki unawahandle yaani unaonekana zuzu sitaaaaki mashosti kwa sasa!dah! ngumu sana wengi wamejaribu wameshwindwa sema unauguza majeraha thats it!!
Nibora kuachwa porini au kuachwa jeshini kuliko kuachwa penzini
ukisikia maamuzi magumu ndo hayo...habari za asubuhi wana jf wote?! nchini kenya imeripotiwa mama mmoja ameichoma moto nyumba aliyokuwa akiishi akiwa na watoto wake ndani kwa sababu ya kuachwa na mume wake,mama amesema aliamua hivyo baada ya maisha kuwa magumu since waachane na mme wake vp kulikuwa kuna ulazima wa kufanya maamuzi hayo?!!!!!!!!!!
ukisikia maamuzi magumu ndo hayo...
Ha ha haaa ndo umekuja kihivyo.
Itabidi Mamndenyi aundiwe tume aise tujue sababu za kuachwa
Swahiba Vin Diesel umerudi habari za utokako kwema kabisasweetlady.....u hali gani tanita....