Habari kubwa leo 1:8:2013

Habari kubwa leo 1:8:2013

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
habari za asubuhi wana jf wote?! nchini kenya imeripotiwa mama mmoja ameichoma moto nyumba aliyokuwa akiishi akiwa na watoto wake ndani kwa sababu ya kuachwa na mume wake,mama amesema aliamua hivyo baada ya maisha kuwa magumu since waachane na mme wake vp kulikuwa kuna ulazima wa kufanya maamuzi hayo?!!!!!!!!!!
 
Hasira hasara. Moto utakapozima kabisaaaaa na kuliona gofu lililobakia ndo ataelewa mziki halisia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Alikosa msaada wa mtu wa karibu wa kumshauri,
Chezea kuachwa weye, uliza Mamndenyi akupe utamu wake.
 
Last edited by a moderator:
dah! pole yake! Watu tuko tofauti sana kwa kweli, kila mtu ana namna anavyochukulia mambo na ndo maana kunakuwa na maamuzi tofauti! huyu alikosa msaada wa...mawazo naweza kusema, kumpa moyo, nk.
 
bahati yako Mr Rocky na wewe bangalo lako masaki lingechomwa

Mamndenyi hivi Mr Rocky mlivyoachana kwa nini hukumchomea nyumba?

Kaachwa na Vin Diesel, Mr Rocky, The Boss,...... List ni ndefu ntarudi kukutajia wengine Kaizer.....ngoja ninywe chai kwanza.... Mamndenyi akiamua kuandika hapa atajaza kaunta buku la kwaya foo teh teh

Hahahahah sweetlady ina maana Mamndenyi ana record humu JF ya kuachwa inabidi akaogee maji ya bahari
Hahahahha....ndio mana siku hizi umejaza mikeka tu lol
sweetlady wacha tuu wageni wakija nawaambia hii ni maisha yangu mapya nimeamua kukaa chini kwenye mikeka na kulala chini kwenye godoro
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom