Haaaaaaa Kawambwa Unazingua!

Az 89

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
1,658
691
Kitendo cha serikali kubana mkopo kwa wanafunzi wasiochukua education hakivumiliki! Kwa mtazamo wangu ni kwamba vijana wote wa kimaskini waliosoma masomo ya arts wanalazimishwa kusoma education..Ina maana wanataka vijana wote wa kimaskini wawe walimu afu wale wenye uwezo wa kujilipia ada ambao ni matajiri wawe mawakili, wanasheria,watawala na kazi zingine(non-education)...miaka 20 ba'adae amin amin nawaambia! Matabaka mawili yatakua, tabaka la watoto wa kimaskin(walimu), na aristocratic with different professionals...
 
Dogo anakamua Education alafu hana mkopo mbaya zaidi mnasema miasha bora kwa kila Mtanzania!
Watu wanakamua Education ili kupata mkopo uko nako mnabana Nyambafu kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom