mahakama ya kazi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 1,520
- 245
simba na yanga ni siasa.ukiona mtu anakuwa kiongozi wa izi timu ujue anataka kugombea ubunge ccmAzam wanaangalia mbali tofauti na Simba na Yanga wao wanachoangalia ni kufangana wao kwa wao tu. Utashangaa Simba pamoja na kusua sua kwake ikifika muda wa kucheza na Yanga inacheza kwa juhudi na kushinda. Simba kwanini mnanitesa lakini?