Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,325
- 9,184
Jf ni burudani
yaani kila misemo ipo humu
ilianza na
mwendo kasi
wahenga
maknikia
kuliamsha dude n.k
sasa ipo hii mpya na iliyonifanya nicheke hadi nipost humu
mtu anareply uzi mwishoni
anaandika
sent from my blackberry using jamiiforum appmobl,,,,,
mwingine sent from my tecno w6 using jamii forum
sasa kuna mwingine ndio nimecheka zaidi anasema
sent from my i phon nimenunua mil2 using jamiiforum app,,,
ha ha ha yaani hii miibuko jamani.
saivi kila mtu ana identfy simu yake daaah kweli Jf ni dimbwi kubwa lenye milipuko ya aina mbalimbali.