H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,399
Reaction score
2,601
Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi hawafanyi kazi mpaka wabembelezwe na wanamhujumu Rais Samia waziwazi lakini hawachukuliwi hatua yoyote.
Humphrey Polepole amelinganisha utendaji wa Serikali ya Rais Samia na nyumba isiyokuwa na mwenyewe.
Yani Serikali ya Rais Samia ni goigoi kiasi kwamba kama unafanya kazi kwa bidii na unataka matokeo kwa haraka itakubidi ujihuzuru kwani hutaweza kuendana nao.
 
Elitwege au Etwege katika ubora wako dada yangu
 
Hilo liko wazi kbs, serikali ya mama uwajibikaji ni sifuri...kuanzia yeye mwenyewe!.
Mfano, aliposhika kiti cha urais alipiga marufuku wananchi kumuuliza maswali na kumpa kero zao kwenye ziara zake mikoani...alidai kero za wananchi zipitie kwa wabunge!

Hapo ndio nikajua kama taifa TUMEPIGWA!!.
 
Alafu zikipitia kwa wabunge anamzuia Mpina asiongee kero alizoletewa na wananchi
 
Hii ni ya leo au muendelezo wa makomboraa ya Jana?Maana nasikia kombora la Jana limesambaratisha kikao cha Leo na kumtupa mama mpaka Visiwani
 
Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi hawafanyi kazi mpaka wabembelezwe na wanamhujumu Rais Samia waziwazi lakini hawachukuliwi hatua yoyote.
Humphrey Polepole amelinganisha utendaji wa Serikali ya Rais Samia na nyumba isiyokuwa na mwenyewe.
Yani Serikali ya Rais Samia ni goigoi kiasi kwamba kama unafanya kazi kwa bidii na unataka matokeo kwa haraka itakubidi ujihuzuru kwani hutaweza kuendana nao.
Serkali ya CCM siku Zote imekua hivi awamu zote saioni kwanini aonewe Mama peke yake hi nchi ina miaka 60+ za uhuru ila maji tu kwenye miji mikuu ni kero mpaka leo, system nzima inahitaji overhaul, na watanzania wenyewe walisha ridhika hamna anae lalamika, Lissu iko jela karibia siku 90 sasa ila maisha yanaendelea kawaida tu, ndo maana wengine wanakata tamaa kupigania haki za wote nishida bora kugawana nusu mkate.
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Aliyaongea raisi wa Tanzania
Hilo liko wazi kbs, serikali ya mama uwajibikaji ni sifuri...kuanzia yeye mwenyewe!.
Mfano, aliposhika kiti cha urais alipiga marufuku wananchi kumuuliza maswali na kumpa kero zao kwenye ziara zake mikoani...alidai kero za wananchi zipitie kwa wabunge!

Hapo ndio nikajua kama taifa TUMEPIGWA!!.
 
Ntaftie hiyo clip mkuu nitashukuru sana ntaipost kila kona

Hana uchungu kwa sababu hakuchaguliwa kwa nafasi hiyo.

Ngoja azunguke kipindi hiki nchi nzima, tuone kama kuanzia mwakani na kuendelea ataendelea "kuwavimbia" wapiga kura wake kama alivyofanya kipindi hiki cha "mpito".
NRNE
 
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom