Gwajima

Gwajima

Kuna thread humu inasema hayo ni maelekezo ya Pinda. Halafu inaonesha serikali yetu kuna mambo inatakiwa kufanya haifanyi mpaka wanapopingwa. Mfano, The East African. Pia ina maana waalifu wanaoiunga mkono serikali hii hawachukuliwi hatua.

Umeshasahau ya Makonda, Nape, Lowasa na wengine! Likiwa linamanufaa kwa serikali yao wanalipigia saluti!
 
Kwanini hujiulizi kuwa kama hizo mali alizipata kihalali kwanini apate cardiac arrest?
Unajua maana ya Cardiac Arrest?
Kuhusu mali zake inawahusu nini?...za Lowassa mnajua alipataje?ashawahi kuitwa polisi kuhojiwa?..mzee wa vijisenti je?
Labda uniambie kuna mtu kalalamika that katapeliwa/kaibiwa nk,otherwise kuna mchezo mchafu hapa!!!!
 
Huna haja ya kujiuliza au kuuliza kwa nini polisi wamhoji tofauti na walichomuitia,kumbuka mwanasheria wake alikuwepo tena ni nguli kwenye sheria.Angeweza kuzuia kwa maswali ambayo angeona hastahili Gwajima kuulizwa.By the way unaharisha nini kama ulichohojiwa ulikipata kihalali?
 
Cha ajabu nini hapo. We mbulula kweli? Kwa nini ukienda hospitali unalalamika kuumwa kichwa dokta anakucheck damu, mapigo ya moyo nk? Na mwisho unakutwa na Malaria, Typhoid, Pressure nk.? Kosa moja hutoa kiashiria cha uhalifu wako mwingine. Kamatwa na bangi mfukoni uone kama hawakusachi nyumba nzima!!
 
Serikali inamfahamu Gwajima kuliko wewe.!
 
Dah! Wakimuhoji na Lowasa nitaona wana akili sana hawa Polisi ambo kwenye kada yao hakuna mwenye ufaulu kwa kupata division one (1) hata mmoja, wasimsahau na rizimoko kwenye mahojiano.

Njia imeshafunguliwa Gwajima kawa wa kwanza wanafuata wengine hata kama ni kwa kuchelewa.
 
Ninachojua mimi huwezi ukahojiwa kwa swala ambalo halijaripotiwa polisi? kwani summons ya kumuita ilimuhitaji kwa kosa gani? aidha iweje ahojiwe kwa swala la mali zake ili kosa lililompeleka pale ni tofauti ? Siku zote tujue Gwajima alikuwa na haki kisheria kukataa kabisa kuhojiwa na jeshi la polisi alikuwa na haki hiyo na kuwaambia hasemi chochota mpaka atapofikishwa mahakamani. Sasa kama unahojiwa kwa swala la kutumia lugha ya matusi iweje uhojiwe kuhusiana na mali kwa ni mali zinauhusiano na kumtukana Pengo ? kwani mali zake ndiyo chimbuko la kumtukana Pengo?

Wewe hujui kwanini watu hukamatwa mbiombio lakini mahakamani hawapelekwi au upelelezi haukamiliki? ni ili watu wapate kitega uchumi; bila kuhoji mali watamtishaje akate mpunga?
 
Unajua maana ya Cardiac Arrest?
Kuhusu mali zake inawahusu nini?...za Lowassa mnajua alipataje?ashawahi kuitwa polisi kuhojiwa?..mzee wa vijisenti je?
Labda uniambie kuna mtu kalalamika that katapeliwa/kaibiwa nk,otherwise kuna mchezo mchafu hapa!!!!

Unaniuliza kama najua maana ya cardiac arrest unadhani mi naweza kukurupuka tu? Unafahamu taaluma yangu? Kuwa makini
 
Vijana na wazee popote mlipo tuhimizane kujiandikisha mara hawa nec wakikufikia iki tuitie ada.bu ccm
 
Cha ajabu nini hapo. We mbulula kweli? Kwa nini ukienda hospitali unalalamika kuumwa kichwa dokta anakucheck damu, mapigo ya moyo nk? Na mwisho unakutwa na Malaria, Typhoid, Pressure nk.? Kosa moja hutoa kiashiria cha uhalifu wako mwingine. Kamatwa na bangi mfukoni uone kama hawakusachi nyumba nzima!!

Mifano yako ipo nje ya context!!
 
Tulisikia na kuona kwamba Mchungaji Gwajima aliitwa central police kuhojiwa kuhusiana na MATAMSHI aliyoyatoa dhidi ya Askofu Pengo, Aliitikia wito na alikuwa na Mwanasheria wake, sasa nataka kujua haya
1. Ni kwa vipi police walihoji mali za mchungaji
2. Mwanasheria wake alikua na msaada gani wakati wa mahojiano
3. Mbona hatujawahi kusikia mtu yeyote akiitwa kuhojiwa juu ya mali zake
Sasa jeshi la police kazi zenu zinanichanganya iweje mtu amtollee matamshi mtu mwingine alafu mahojiano na police yawe kuhusu mali?

WAUNGWANA TUMEFIKA PABAYA

Abbyssus abbyssum invocat

Safari moja huanzisha nyingine ukikamatwa na manyoya watataka kujua na mkia uko wapi
 
..nimemsikiliza Gwajima hapa you tube kwa kweli amenfurahisha kwa kauli yake kwa askofu Pengo....Hakika hata kama Pengo amemsamehe lakini ujumbe mzio umefika...maana hakika Pengo aliwaangusha sana maaskofu wenzake huko TEC kwa kutoa kauli tata sana ya kupingana na tamko a wenzake....Gwajima amemsuta uzuri Pengo...na ujumbe huu hata maaskofu watauunga mkono (moyoni)...

You tube source: https://www.youtube.com/watch?v=TiEqzHvHJIw
 
Unaniuliza kama najua maana ya cardiac arrest unadhani mi naweza kukurupuka tu? Unafahamu taaluma yangu? Kuwa makini

Hapo hapo kwenye taaluma yako: Diagnosis hufanywa kwa mambo kadhaa: history, physical examination and lab investigations(to say just few). umefanya lipi kati ya haya mpaka ukapata hiyo conclusion yako?
 
Wengi wa wachangiaji humu huongozwa na ushabiki badala ya reality!
1.Kwani kuitwa kuhojiwa police ni tatizo kama huna kosa??
2. Kuulizwa kuhusu Mali zako kwanini upate shida kama zimepatika kwa njia halali na vielelezo vyote vipo??
 
kamueleza kweli:

[video]https://youtu.be/TiEqzHvHJIw[/video]

Mheshimiwa Idd Amini alisema " Freedom of expression is guaranteed but afterward I am not sure if it is guaranteed" ama kitu kama hicho. Ukitumia uhuru wako vibaya kuna "consequences" na ndicho anachopitia sasa huyu Gwajima, Uwezi kumwambia mtu mzima kuwa " Wewe Pengo usiye na akili", "Mpuuzi mmoja, Mjinga mmoja aitwaye Pengo" na mengine ya kuudhi ya aina hiyo halafu eti uachwe tu!
 
Back
Top Bottom