Usimpe kichwa huyu Neutral Figure(that hiyo ni profession yake) hana lolote....Hapo hapo kwenye taaluma yako: Diagnosis hufanywa kwa mambo kadhaa: history, physical examination and lab investigations(to say just few). umefanya lipi kati ya haya mpaka ukapata hiyo conclusion yako?