unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,869
Hakuna anayebisha Tanzania kwenye Madini na Mafuta hatujaibiwa, Ila hatukuibiwa kwa Kulazimishwa! Tuliibiwa kwa Usaliti wa Viongozi wetu Kuanzia Marais na Mawaziri, Wanasheria na Wabunge wa CCM, akiwepo huyu Magufuli, kwa Uzembe na usaliti wa ajabu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na Nasema ni kuwa Misguided Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli, kwenye hili swala la Madini anayeshabikia ni kwamba yuko Misguided kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni kuwa yuko Misguided!
Kuna msemo Usemao asiyejifunza kwa historia Mbaya, Itamrudia. Ni kweli Madini ni Yetu, Mafuta ni Yetu lakini Tumeingia Mikataba ya Kupunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini Kusimania Nchi yetu!
Sasa Kuna aliyesema ati hatuwezi Kuacha Madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya Kakaratasi. That is None sense, mkataba ni zaidi ya Makaratasi na zina Wadau wengi, Kuna Mikopo ya Mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za Campuni na Assets za Campuni ni pamoja na Zabuni na Contracts! Kukiwa na Dosari au Malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara Kubwa ni Negotiations sio Kutishana wala Uhuni.
1)Kuna Mifano Mingi ya Kujifunza, Uchumi wa Kenya leo Ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu Mwalimu Nyerere alitaifisha Mali za Wageni
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua Kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa Mwalimu Nyerere aligoma Kulipa Madeni na Pia aliingia Mgogoro na World Bank na IMF!
3)Vnezuela leo Kuna Shida kubwa ya Uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha Visima vya Mafuta
Vya Wazungu kwa Vile tu aliamini Mafuta ni ya Venezuela. Sasa Venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua Ardhi which was Ok, lakini kwa Zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala Maelewano.
5) Iraq Saddam Leo ni Hayati lakini kisa hasa ni Mafuta alitaifisha Visima vya Wazungu na Miaka yote ugomvi wote waliyataka!
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa Kuwa sera yake ilikuwa ni Kutaifisha Mali Biafra!
7) Qaddafi Vivyo hivyo
8) Salvador Ayende wa Chile walimreplace kwa kumuua na Kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana Na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 Na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea Ubepari.
CCM ilifanya Usaliti sana Kuiuza Nchi kwenye Kikapu kwa Hili swala la Madini. Ila Magufuli wa CCM anayetaka sifa za Kisiasa anafanya Kosa Kubwa zaidi kwa Kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama Mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya Miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni Hekima?
Hata wenzio walipitisha mikataba kishabiki kama wewe unavyoshabikia na Leo imeligharimu taifa kua mzalendo ipende nchi yako.Ha ha ha haaaaaaaaaa
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeeeeeeee
Wanataka watanzania tunufaike na rasilimali zetu.Haya makampuni ya madini yaliisaidia sana ccm ktk fedha za kampeni uchaguz uliopita leo ccm wanataka kutuambia wameshasahau fadhila walizopewa miaka 2 miwil tu iliyopita?
Tunaongea mkono kwa lipi? Wenyewe wanadamu hawajatoa. Let them come forward and confess. Lakini pia mikataba ni mikataba suluhu ni kuwa renegotiate tu km alivyonegotiate prof sossy tunaangalia kulipwa 4% badala ya 3% za mwanzo and yet anatumia nje kama mbwa. Are we really serious?Jamani Ndugu zangu wa ukawa naomba tuweke Silaha chini tumuunge mkono mh. Raisi katika hili, hata kama kuna makosa yalifanywa na ccm siku zilizopita lakini sasa wanayarekebisha hilo ni jambo jema kwa nchi yetu, nchi kwanza siasa baadaye, wazungu wanasema hata kama umetembea umbali gani ukigundua umepotea geuka urudi ulikotoka ili ufuate njia sahihi
Amefunga!Umeandika kwa kutumia Nguvu sana Mkuu afu hujatoa Solution ya Tatizo...
Naamini Ukinywa Maji na ukavuta pumzi utakuja na solution nzuri tu.m
Haha. Nilikuwa nafafanua tu ili mjadala ukae vizuri.
Suala LA kukaa kimya halitusaidii na halitamsaidia. Aitishe kikao hata cha mwezi mzima cha wanasheria nguli ikibidi hata wastaafu akae nao na kuisoma na kuichambua mikataba yote ya madini na nishati kutafuta kadosari ambako wakikang'ang'ania kitaweza kuifuta na kuiandika upya kwa maslahi ya wengi.kwa hiyo unatakaje tukae kimya?? mhhh!!
Ehee endelea embu kidogo.. Interested!Ni sawa kusema lori limekwama kwenye tope halafu tunaemtegemea kulinasua ameamua kufungua kifaa kimoja kimoja, kashatoa tairi zote na milango kwenye tope sasa anafungua siti.
Hakuna anayebisha Tanzania kwenye Madini na Mafuta hatujaibiwa, Ila hatukuibiwa kwa Kulazimishwa! Tuliibiwa kwa Usaliti wa Viongozi wetu Kuanzia Marais na Mawaziri, Wanasheria na Wabunge wa CCM, akiwepo huyu Magufuli, kwa Uzembe na usaliti wa ajabu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na Nasema ni kuwa Misguided Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli, kwenye hili swala la Madini anayeshabikia ni kwamba yuko Misguided kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni kuwa yuko Misguided!
Kuna msemo Usemao asiyejifunza kwa historia Mbaya, Itamrudia. Ni kweli Madini ni Yetu, Mafuta ni Yetu lakini Tumeingia Mikataba ya Kupunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini Kusimania Nchi yetu!
Sasa Kuna aliyesema ati hatuwezi Kuacha Madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya Kakaratasi. That is None sense, mkataba ni zaidi ya Makaratasi na zina Wadau wengi, Kuna Mikopo ya Mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za Campuni na Assets za Campuni ni pamoja na Zabuni na Contracts! Kukiwa na Dosari au Malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara Kubwa ni Negotiations sio Kutishana wala Uhuni.
1)Kuna Mifano Mingi ya Kujifunza, Uchumi wa Kenya leo Ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu Mwalimu Nyerere alitaifisha Mali za Wageni
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua Kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa Mwalimu Nyerere aligoma Kulipa Madeni na Pia aliingia Mgogoro na World Bank na IMF!
3)Vnezuela leo Kuna Shida kubwa ya Uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha Visima vya Mafuta
Vya Wazungu kwa Vile tu aliamini Mafuta ni ya Venezuela. Sasa Venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua Ardhi which was Ok, lakini kwa Zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala Maelewano.
5) Iraq Saddam Leo ni Hayati lakini kisa hasa ni Mafuta alitaifisha Visima vya Wazungu na Miaka yote ugomvi wote waliyataka!
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa Kuwa sera yake ilikuwa ni Kutaifisha Mali Biafra!
7) Qaddafi Vivyo hivyo
8) Salvador Ayende wa Chile walimreplace kwa kumuua na Kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana Na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 Na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea Ubepari.
CCM ilifanya Usaliti sana Kuiuza Nchi kwenye Kikapu kwa Hili swala la Madini. Ila Magufuli wa CCM anayetaka sifa za Kisiasa anafanya Kosa Kubwa zaidi kwa Kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama Mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya Miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni Hekima?
Uko sawa kabisa na hatuna ubishi juu ya hiyo mikataba mibovu iliyosainiwa na hawa viongozi wetu wasaliti, hoja ni ktk kiwango cha madini kinachobaki ktk mchanga unaosafirishwa kama makapi baada ya kuchekechwa dhahabu, kwa miaka mingi kumekuwa.na tuhuma toka kwa wadau mbalimbali kuwa mchanga huo unatumika kama mwanya wa kutoroshea dhahabu yenyewe na hata madini mengine jambo ambalo limethibitishwa na tume ya uchunguzi, sasa hatua ya Mh Magufuri kutekeleza mapendekezo ya tume ili Kuzuia wizi huo ina ubaya gani? na endapo huo mkataba unawaruhusu kuchukua hayo madini wanavyotaka wao sasa hao residence officers wanaoiwakilisha serikali kupitia TMA wanaowahonga usiku na mchana ili kuandika ripoti feki wa kazi gani huko migodini? Ni kweli kabisa ktk suala hili wawakilishi wote wa upande wa serikali zilizotangulia walikuwa corruptive isipokuwa Mh Magufuri anathubutu angalau kuwaonyesha wezi hawa wazoefu kuwa sasa rasilimali hii muhimu ina wenyewe. Umetoa mica no mizuri yenye kutahadharisha Taifa kupitia Hugo Chavez, Fidel Castro, Mugabe na hata Mwl Nyerere lakini kumbuka kuwa hawa wote ktk utekelezaji wa sera zao dhidi ya wawekezaji walikwenda mbali zaidi hata kufikia kiwango cha kuvunja mikataba, kutaifisha mali za wawekezaji na hata kuwafukuza, Mh Magufuri huko hajafika isipokuwa tunataka hivi sasa kuzuia exploitation hii ya ki wizi.Hakuna anayebisha Tanzania kwenye Madini na Mafuta hatujaibiwa, Ila hatukuibiwa kwa Kulazimishwa! Tuliibiwa kwa Usaliti wa Viongozi wetu Kuanzia Marais na Mawaziri, Wanasheria na Wabunge wa CCM, akiwepo huyu Magufuli, kwa Uzembe na usaliti wa ajabu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na Nasema ni kuwa Misguided Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli, kwenye hili swala la Madini anayeshabikia ni kwamba yuko Misguided kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni kuwa yuko Misguided!
Kuna msemo Usemao asiyejifunza kwa historia Mbaya, Itamrudia. Ni kweli Madini ni Yetu, Mafuta ni Yetu lakini Tumeingia Mikataba ya Kupunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini Kusimania Nchi yetu!
Sasa Kuna aliyesema ati hatuwezi Kuacha Madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya Kakaratasi. That is None sense, mkataba ni zaidi ya Makaratasi na zina Wadau wengi, Kuna Mikopo ya Mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za Campuni na Assets za Campuni ni pamoja na Zabuni na Contracts! Kukiwa na Dosari au Malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara Kubwa ni Negotiations sio Kutishana wala Uhuni.
1)Kuna Mifano Mingi ya Kujifunza, Uchumi wa Kenya leo Ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu Mwalimu Nyerere alitaifisha Mali za Wageni
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua Kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa Mwalimu Nyerere aligoma Kulipa Madeni na Pia aliingia Mgogoro na World Bank na IMF!
3)Vnezuela leo Kuna Shida kubwa ya Uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha Visima vya Mafuta
Vya Wazungu kwa Vile tu aliamini Mafuta ni ya Venezuela. Sasa Venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua Ardhi which was Ok, lakini kwa Zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala Maelewano.
5) Iraq Saddam Leo ni Hayati lakini kisa hasa ni Mafuta alitaifisha Visima vya Wazungu na Miaka yote ugomvi wote waliyataka!
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa Kuwa sera yake ilikuwa ni Kutaifisha Mali Biafra!
7) Qaddafi Vivyo hivyo
8) Salvador Ayende wa Chile walimreplace kwa kumuua na Kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana Na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 Na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea Ubepari.
CCM ilifanya Usaliti sana Kuiuza Nchi kwenye Kikapu kwa Hili swala la Madini. Ila Magufuli wa CCM anayetaka sifa za Kisiasa anafanya Kosa Kubwa zaidi kwa Kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama Mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya Miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni Hekima?
Hello nice.....!suluhisho ni bunge liombe mikataba yote ipitiwe upya. pia bunge likatae kupitisha mambo bungeni kwa mtindo wa dharura. wabunge wetu wamsaidie rais kwa kubadilisha sheria na sio vigelegele....
Usisahau Kiwanda cha Tanganyika Packers cha Kawe kilitaifishwa miaka ya 70. Hadi Leo tumeshindwa kufanya kazi iliyokuwa inafanywa ya kuzalisha nyama ya kopo na kuuza nje. As a result eti eneo la kiwanda limeuziwa NHC akope ajenge nyumba za bei mbaya!. Ni sahihi matumizi haya badala ya kuendeleza kazi ya Kiwanda?Ha ha ha haaaaaaaaaa
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeeeeeeee
Kujadili hili ni upuuzi Mkapa na Karamagi ndio chanzo cha matatizo yote na majibu wanayo wao pia huu upuuzi kama ungetokea China muda huu wangekuwa wameshanyonga mtu.
Hapa sio facebook mkuu!Nimetafuta neno Gwajima kwenye post ya kwanza ya uzi huu bila mafanikio!
Well saidKujadili hili ni upuuzi Mkapa na Karamagi ndio chanzo cha matatizo yote na majibu wanayo wao pia huu upuuzi kama ungetokea China muda huu wangekuwa wameshanyonga mtu.