Jamani Ndugu zangu wa ukawa naomba tuweke Silaha chini tumuunge mkono mh. Raisi katika hili, hata kama kuna makosa yalifanywa na ccm siku zilizopita lakini sasa wanayarekebisha hilo ni jambo jema kwa nchi yetu, nchi kwanza siasa baadaye, wazungu wanasema hata kama umetembea umbali gani ukigundua umepotea geuka urudi ulikotoka ili ufuate njia sahihi

Mnapinga jambo gani? upumbavu uliokithili umewajaa, tume haijamaliza kazi yake na wala haijawasilisha chochote kwa Rais ajabu kila uchao mijitu inabwabwaja utumbo tu humu, hivi nikikuuliza Magufuli kufanya nini au kachukua uamuzi gani kuhusu hili saga usouunga mkono utanijibu nini?wewe sasa ndio unatupotosha!
Raisi anakosea unataka tumuunge mkono, kwani kuna ubaya gani kufuata utaratibu!
anasema tumeibiwa kwa kiasi hicho, jamaa wa ACACIA wameomba uchunguzi ufanyike tena and we know kuwa taarifa zetu ni sahihi kwanini asisubiri? lakini pia jambo hili lina madhara kwa taifa, kama raisi anataka kuungwa mkono na wananchi haiwezi ikawa hapa JF aende kuwauliza wawakilishi wetu, so apeleke jambo hili bungeni, wale jamaa wakimuunga mkono then ana Baraka zetu, hata wakiwa ccm watupu lkn ndio utakuwa uwakilishi wenyewe huo!
akikaa nalo chumbani tu na kututegemea kumuunga mkono huo ni usaliti and we will never support him.
By the way wanaopinga jambo hili sio UKAWA tu, hata sisi "watanzania huru" tunalikataa kwa nguvu zote....
Hapana. Usikae kimya. Mshauri Magufuli atumie akili zaidi na majadiliano na wazungu wawekezaji. Wazungu walishatuweka mtegoni. Hatuhitaji nguvu nyingi na kisirani kujinasua.Ni busara na mijadala. Tukilazimisha mambo yapinduke wakati kuna mikataba tunaigeuka tutaumia sisi.kwa hiyo unatakaje tukae kimya?? mhhh!!
Marandu tapeli kama Gwajima achana nazo! Usijibizane na mtu kama hizo. matapeli wa roho za masikini. Watu waliokosa matumaini ya kuzaa, mahanisi and the like anawadanganya kuwa atamaliza shida zao kwa kuwatapeli. achana kumjibu tapeli wa dini!Hakuna anayebisha Tanzania kwenye Madini na Mafuta hatujaibiwa, Ila hatukuibiwa kwa Kulazimishwa! Tuliibiwa kwa Usaliti wa Viongozi wetu Kuanzia Marais na Mawaziri, Wanasheria na Wabunge wa CCM, akiwepo huyu Magufuli, kwa Upumbavu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na Nasema Kwa Upumbavu sana Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli, kwenye hili swala la Madini anayeshabikia ni Mpumbavu kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni Mpumbavu!
Kuna msemo Usemao asiyejifunza kwa historia Mbaya, Itamrudia. Ni kweli Madini ni Yetu, Mafuta ni Yetu lakini Tumeingia Mikataba ya Kulunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini Kusimania Nchi yetu!
Sasa Kuna aliyesema ati hatuwezi Kuacha Madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya Kakaratasi. That is None sense, mkataba ni zaidi ya Makaratasi na zina Wadau wengi, Kuna Mikopo ya Mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za Campuni na Assets za Campuni ni pamoja na Zabuni na Contracts! Kukiwa na Dosari au Malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara Kubwa ni Negotiations sio Kutishana wala Uhuni.
1)Kuna Mifano Mingi ya Kujifunza, Uchumi wa Kenya leo Ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu Mwalimu Nyerere alitaifisha Mali za Wageni
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua Kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa Mwalimu Nyerere aligoma Kulipa Madeni na Pia aliingia Mgogoro na World Bank na IFM!
3)Vnezuela leo Kuna Shida kubwa ya Uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha Visima vya Mafuta
Vya Wazungu kwa Vile tu aliamini Mafuta ni ya Venezuela. Sasa Venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua Ardhi which was Ok, lakini kwa Zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala Maelewano.
5) Iraq Saddam Leo ni Hayati lakini kisa hasa ni Mafuta alitaifisha Visima vya Wazungu na Miaka yote ugomvi wote waliyataka!
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa Kuwa sera yake ilikuwa ni Kutaifisha Mali Biafra!
7) Qaddafi Vivyo hivyo
8) Salvador Ayende wa Chile walimreplace kwa kumuua na Kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana Na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 Na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea Ubepari.
CCM ilifanya Usaliti sana Kuiuza Nchi kwenye Kikapu kwa Hili swala la Madini. Ila Magufuli wa CCM anayetaka sifa za Kisiasa anafanya Kosa Kubwa zaidi kwa Kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama Mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya Miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni Hekima?
Hakuna anayebisha Tanzania kwenye Madini na Mafuta hatujaibiwa, Ila hatukuibiwa kwa Kulazimishwa! Tuliibiwa kwa Usaliti wa Viongozi wetu Kuanzia Marais na Mawaziri, Wanasheria na Wabunge wa CCM, akiwepo huyu Magufuli, kwa Upumbavu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na Nasema Kwa Upumbavu sana Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli, kwenye hili swala la Madini anayeshabikia ni Mpumbavu kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni Mpumbavu!
Kuna msemo Usemao asiyejifunza kwa historia Mbaya, Itamrudia. Ni kweli Madini ni Yetu, Mafuta ni Yetu lakini Tumeingia Mikataba ya Kulunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini Kusimania Nchi yetu!
Sasa Kuna aliyesema ati hatuwezi Kuacha Madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya Kakaratasi. That is None sense, mkataba ni zaidi ya Makaratasi na zina Wadau wengi, Kuna Mikopo ya Mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za Campuni na Assets za Campuni ni pamoja na Zabuni na Contracts! Kukiwa na Dosari au Malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara Kubwa ni Negotiations sio Kutishana wala Uhuni.
1)Kuna Mifano Mingi ya Kujifunza, Uchumi wa Kenya leo Ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu Mwalimu Nyerere alitaifisha Mali za Wageni
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua Kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa Mwalimu Nyerere aligoma Kulipa Madeni na Pia aliingia Mgogoro na World Bank na IMF!
3)Vnezuela leo Kuna Shida kubwa ya Uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha Visima vya Mafuta
Vya Wazungu kwa Vile tu aliamini Mafuta ni ya Venezuela. Sasa Venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua Ardhi which was Ok, lakini kwa Zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala Maelewano.
5) Iraq Saddam Leo ni Hayati lakini kisa hasa ni Mafuta alitaifisha Visima vya Wazungu na Miaka yote ugomvi wote waliyataka!
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa Kuwa sera yake ilikuwa ni Kutaifisha Mali Biafra!
7) Qaddafi Vivyo hivyo
8) Salvador Ayende wa Chile walimreplace kwa kumuua na Kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana Na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 Na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea Ubepari.
CCM ilifanya Usaliti sana Kuiuza Nchi kwenye Kikapu kwa Hili swala la Madini. Ila Magufuli wa CCM anayetaka sifa za Kisiasa anafanya Kosa Kubwa zaidi kwa Kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama Mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya Miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni Hekima?
Marekebisho
2) ni IMF sio IFM
5) Chanzo cha Matatizo ya Iraq na Saadam kwa Ujumla yalianzia 1990 kwa kuivamia Quwait sio hayo uliyoeleza
Hakuna asiyejua kuwa tulikosea zamani, lakini hiyo siyo sababu ya kutokurekebisha tulipokosea!.
Halafu hii tabia ya kuogopaogopa Westerners uache, maana hizo nchi zote ambazo Mabepari walizishambulia, walitumia wachumia tumbo, wasaliti wa ndani ambao fikra zao zimekuwa westernized, au wale waliokuwa brainwashed na slogan za Democracy, na wengine wakiwa ni opportunists wanaonyemelea serikali ziangushwe wao ndo wakamate dola!
Hebu Muunge mkono JPM kwanza ili kutuma meseji kwa hao wawekezaji kuwa tuko kitu kimoja kama nchi, halafu ukweli mchungu tutaelezana ndani kwa ndani kwenye vikao.
Nimenyoosha Asante! I am a little Weak in that area!Mkuu TL unapoandika, what matters most sio the motive behind ya ulikusudia nini bali the perceived meaning ya maana atakayoipata mtu anayesoma andiko lako. Japo humu jf tuna members wengi wenye uwezo wa to read in between the lines hivyo hao ndio wataoweza kubaini ulimaanisha nini ndani ya mawazo yako, lakini members wengi zaidi ni watu wa kawaida tuu wasio na uwezo huo.
Nakuunga mkono hutakiwi kumuogopa binadamu au kiumbe chochote ila kama mwana jf una wajibu wa kuheshimu watu, wakiwemo viongozi wetu.
P.
PoaNimenyoosha Asante! I am a little Weak in that area!
Kosa ni Kuwafanyia Wamarekani na Wakanada Uhuni kama Anavyowafanyia Chadema na CUF, kwa vile tu tunapunjwa Huwezi kujifanya Unakiuka Mikataba na Sheria Kichwa Kichwa. In short Ningekuwa namnilia Mabaya, If I really wanted him to fail akifanya Makosa kama haya ningempa high Five. Kwa Kuwa naju mwisho wake sio mzuri.Dhambi ya Rais iko wapi katika kujisahisha.. Mbona kichwani tumejaza upumbavu(maana ya upumbavu inajulikana)
Kipindi cha kampeni mlisema JPM hawezi kuibadili Nchi, tatizo mfumo, yote kaweza, mlisema atazuiwa na CCM, mlivyokosa haya.. Kaibadili CCM sasa (CCM mpya, Tanzania mpya)
Yaani ukizaliwa ukawa na akili kama yako LEMUTUZ ni hasara sana, sasa unachekelea nini?/akili yako muda wote kuwaza tumbo tuu. Unashida sana wee