Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

Unafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.
Mkuu umesahau kuwa "akupigae ngumi ya jicho na wewe mpige ya sikio akikuliza unajionaje na wewe mulize unajisikiaje..."
 
Kwani si aweke vyeti adharani..mambo yaishee..tujue muongo nani?!
 
Sasa mnasema alipata division 0 halafu mnasema mshenga Gwajima ana cheti kakitoa wapi?
Ninyi vijana wa Chadema mbona mnakuwa kama vichwa vyenu havina ubongo!
Alaaa kumbe hili la vyeti nilachadema sio la Tanzania nzima?? Kuumbe sasa naelewa
 
nimekusikia mkuu nipo hapa kesho naanda press conference na bado ibadani tampa vidonge vyake saiz nina adi vyeti vya baba na mama yake ko usijari lazima akaeee
 
Lakini leo kawa mpole hajaongelea vyeti ameamua kuishi na ukuu wa mkoa kwa kujificha nyuma ya vyeti fake
 
huyo ni mshenzi tu anajitafutia umaarufu kwa kutukana wakubwa, mara agombane na pengo mara makonda, ila simlaumu hayo nimatokeo ya kuugua muda mrefu.
Wakubwa ndo nini? Acha upumbavu wewe mkubwa nj mwananchi we shenzi nini
 
Gwajima alishakuwa maarufu kabula ya Bashite. Kama kweli Bashite ana vyeti halisi sa avitoe na ndiyo Gwajima ataonekana mshenzi vinginevyo. Nyie ndiyo mnatetea ushenzi. Acheni maneno mwambieni bosi wenu atoe vyeti.
unataka vyeti kwani wewe ni nesi? nenda Amana kuna wajawazito wako na vyeti, mijitu mingine mipumbavu kweli!
 
Anasema watu wanajitolea kumletea habari za baashite mpaka anawaambia basi lakini bado hawasikii
 
Akutukanae hakuchagulii tusi sasa nakushangaa sijui unasibiri nini kutoa vyeti vya huyo unaemtuhumu maana kwa anayoyafanya ni wazi anakupuuza na si ajabu ipo siku atakubwatukia.

Cha kufanya kwa sasa ni wewe kuita waandishi wa habari kisha ukawakibidhi hivyo vyeti na usihangaike tena kusifiasifia wale walioamua kukaa kimya juu ya jambo hili.

Na kwasababu umeshataja hadharani majina ya waliosoma na Bashite, itakuwa vizuri pia kama kwenye hiyo press conference utaambatananao uliowataja ili nao wawaeleze waandishi wanachokijua kuhusu Bashite.

Mchungaji do the needful.

Enough is enough.
Unataka yamkute ya MANJI na LEMA?
 
Unafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.
Daudi Albert Bashite Std 4 o Form 4 0 unataka nini? Gwajima angekuwa muuza/mla Unga si angekuwa Jela au Mahabusu. Mudsling Mtumishi wa Mungu ndio iliibua Fake Id. Watu wanaomuamini Mtumishi wao walichukizwa wakaamua waseme walikuwa wamemsitiri Daudi Albert Bashite. Ajitokeze akatae hili jina basi
 
Akutukanae hakuchagulii tusi sasa nakushangaa sijui unasibiri nini kutoa vyeti vya huyo unaemtuhumu maana kwa anayoyafanya ni wazi anakupuuza na si ajabu ipo siku atakubwatukia.

Cha kufanya kwa sasa ni wewe kuita waandishi wa habari kisha ukawakibidhi hivyo vyeti na usihangaike tena kusifiasifia wale walioamua kukaa kimya juu ya jambo hili.

Na kwasababu umeshataja hadharani majina ya waliosoma na Bashite, itakuwa vizuri pia kama kwenye hiyo press conference utaambatananao uliowataja ili nao wawaeleze waandishi wanachokijua kuhusu Bashite.

Mchungaji do the needful.

Enough is enough.

WATU KWA UCHONGANISHI!!!!?
Yaani wewe umenikumbusha wale jamaa walikuwa wanachora mstari kati ya mahasimu wawili ili atakayevuka awe kamtukana hasimu wake na hivyo kuanzisha pambano!
 
Mwenye vyeti ndiye anatakiwa kumuumbua Gwajima kama ni muongo kwa kutoa vyeti vyake halisi lakini haya maneno yenu, kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anayaona hayana mashiko ni ya kipuuzi. Mwenye vyeti ndiye anatakiwa kulimaliza hili na wala siyo nyie wapambe. 100% Bashite hana vyeti angekuwa navyo angeshavitoa.
unalazimisha mambo.Huyo Gwajima si amedai anacho cheti cha division 0?mwambie akitoe basi
Uongo ulioje toka lini division 0 wakapewa vyeti
 
Unafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.
Hana cheti wala chochote cha maana lakini alisababisha watu kuombewa dua Ijumaa na J2 kulia kanisani, J3 asubuhi kukimbilia South Afrika.
 
Hahahahaha.... Makonda anawapa watu hasira. Mbona mtakojoa dagaa mwaka huu
 
unalazimisha mambo.Huyo Gwajima si amedai anacho cheti cha division 0?mwambie akitoe basi
Uongo ulioje toka lini division 0 wakapewa vyeti
Tumujuavyo huyo mtu wenu kwa tabia yake ya kupenda sifa angekuwa anavyo vyeti halisi. Gwajima angekiona cha moto, so kukaa kimya , kukimbilia kwenye nyumba za ibaada na afrika kusini kunathibitisha hana vyeti. Maji aliyavulia nguo mwenyewe ngoja aogeshwe.
 
Back
Top Bottom