Gwajima ndani ya studio za Clouds

Tutayamaliza kwenye vikao vya mila ondoeni hofu.
cc. Mtemi Joka lenye makengeza.
 
Wewe ndio akili yako ipo sawa.

Kwanini sasa alianza kuhangaika na kutengeneza skendo ya yule Mama kuwa kazaa na Bishop, akalazimisha kipindi kiruke hewani ili amchafue na mwisho wa siku akaamua asambaze video ya mahojiani kwa kutumia ngivu nyingi.

ulishawai kuona tembo anamuogopa chura????? nadhani akili yako haiko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…