Gwajima na kisa cha kuwaita binadamu 'mbwa'

Gwajima na kisa cha kuwaita binadamu 'mbwa'

..binafsi nilishangaa kwanini nafasi ya kuzungumza baada ya Raisi hawakupewa wabunge wazoefu.

..huenda Spika alikua na nia njema ya kumpa nafasi Gwajima aonyeshe kipaji chake, lakini kwa bahati mbaya Gwajima akaharibu.

..maneno aliyatumia Gwajima, pamoja na kwamba amenukuu toka kwa Winston Churchill, sidhani kama yalikuwa yanafaa kwa mazingira ya sasa ya siasa zetu. Mzungumzaji mzoefu na mtu mahiri ktk siasa hawezi kutoa kauli ya namna ile baada ya uchaguzi mkuu.

Baada ya miaka mitano nadhani wana uzoefu wa kutosha kuelewa what ‘tickles the president fancy’, he is smitten by people like Kabudi when they speak of him.

Sababu kubwa ya raisi kutaka kuona Gwajima anakuwa mmbunge, apate mtu mwingine wa kumsifia. Ndio vigezo ivyo ivyo speaker alivyotumia kumteua Gwajima to present the tribute speech. Si ulimuona ata raisi mwenyewe alivyofurahishwa.
 
Huyu Gwajima. Jehanamu yake ni nzito yenye mateso makali. Period.
 
Gwaji boy ni msaka tonge kama walivyo wasaka tonge wengine... hamna NENO humo ni utapeli mwanzo mwisho.
 
Kinachomtesa mtoa maada si ukada. Bali fikra hasi(negative mind). Alafu hawapend vingozi wa dini, wivu unamsumbua sana huyu jamaa, Gwajima, kuwa mbunge.mtoa maana anapata taabu sana
 
CHADEMA inaungwa mkono na watu wengi wenye upeo mdogo sana na ni negative minds pia hawajisomei vitabu! Sasa huo msemo wa Winston Churchill aliotumia Askofu Gwajima imeshakuwa eti kawaita Mbwa! Ficheni upumbavu wenu!
Na wewe msoma vitabu na mkariri maandiko ya wengine utuambie Kama msemo huo wa Churchill ulifaa kutumika hapa Tanzania kwa wakati huu? Tupe na sababu ya kwanini utumike Sasa na sio awamu nyinginezo!
 
Neno mbwa ni fasihi. Hata bible imeita watu mbwa. Mbwa ni watu wasiofaa
 
Attachments

  • Screenshot_20201114_174113.jpg
    Screenshot_20201114_174113.jpg
    79.9 KB · Views: 5
Acheni umbumbumbu . Kama hata fasihi hamzijui ndio mnataka nchi.!!! Tumechoka na uwehu wenu. MNALETA VITHREAD VYA KUTIA HURUMA ILI IWEJE?
Kuna Falsafa gani hapo, kaita wafuasi wa vyama vya upinzani mbwa, kasahau kuwa huo mshahara wake wapinzani wanatoa kodi. Nina wasiwasi kama kama kuna mfuasi wa upinzani anaesali kwa Gwajima
 
Binafsi nilishangaa kwanini nafasi ya kuzungumza baada ya Raisi hawakupewa wabunge wazoefu.

Huenda Spika alikua na nia njema ya kumpa nafasi Gwajima aonyeshe kipaji chake, lakini kwa bahati mbaya Gwajima akaharibu.

Maneno aliyatumia Gwajima, pamoja na kwamba amenukuu toka kwa Winston Churchill, sidhani kama yalikuwa yanafaa kwa mazingira ya sasa ya siasa zetu. Mzungumzaji mzoefu na mtu mahiri ktk siasa hawezi kutoa kauli ya namna ile baada ya uchaguzi mkuu.
Hakika umenena....shida wanapenda kumfurahisha mfalme hadi uharibu unapatikana
 
Mdee tulia.nenda bungeni kwa viti maalum au kimbilia ubalozini,kama vyote uwezi basi kuwa bar medi uwasambazie mabaharia mvinyo angalau uwe na kazi ya kufanya.
 
Baada ya miaka mitano nadhani wana uzoefu wa kutosha kuelewa what ‘tickles the president fancy’, he is smitten by people like Kabudi when they speak of him.

Sababu kubwa ya raisi kutaka kuona Gwajima anakuwa mmbunge, apate mtu mwingine wa kumsifia. Ndio vigezo ivyo ivyo speaker alivyotumia kumteua Gwajima to present the tribute speech. Si ulimuona ata raisi mwenyewe alivyofurahishwa.

Duh!!

Kwa kweli ngoja tuone hiyo "mitano tena" itakuwaje, haswa upande wa kusifia kila kitu.
 
Na wewe msoma vitabu na mkariri maandiko ya wengine utuambie Kama msemo huo wa Churchill ulifaa kutumika hapa Tanzania kwa wakati huu? Tupe na sababu ya kwanini utumike Sasa na sio awamu nyinginezo!
Yesu alifananisha watu na mbwa sembuse Gwajima!!acheni nongwa za kitoto.
 
Kuna Falsafa gani hapo, kaita wafuasi wa vyama vya upinzani mbwa, kasahau kuwa huo mshahara wake wapinzani wanatoa kodi. Nina wasiwasi kama kama kuna mfuasi wa upinzani anaesali kwa Gwajima
Wapinzani wamebaki wawili tu bungeni wengine waliobakia wameonekana hawana umuhimu mbele ya wapiga kura.

Wapinzani kwa sasa ni sawa na kina sisi wa humu jukwaani.

Yesu Kristo alitumia mfano wa mbwa tena mbele ya mwanamke asiyekuwa myahudi sembuse askofu Gwajima!.
 
Acheni umbumbumbu . Kama hata fasihi hamzijui ndio mnataka nchi.!!! Tumechoka na uwehu wenu. MNALETA VITHREAD VYA KUTIA HURUMA ILI IWEJE?
Fasihi haina umbo hata uzi huu pia umejibiwa kifasihi pia povu la nini sasa

Kwani hata sisi tulioitwa mbwa no mbwa kweli lakini tumekubali jina la mbwa na haswa sisi CDM na wapinzani wengine ni Mbwa kifasihi sawa

Nandio maana mwandishi amejibu kifasihi sawa yeye ni mbwa ila ametohoa kwamba Gwajima yeye ndie mbwa zaidi maana kafupiwa fupa lanyama kasahau utume ... au si ni fasihi tu
 
Ati Askofu... Hahahaaaaaaaa...
YAWEZEKANA WEWE NDIYO JIBWA LINALOBWEKA NYUMA YA KIBODI. ASKOFU HAJA SEMA WANANCHI, SIDHANI ITAKUWA NDIYO IWAPO WEWE NIMIONGONI MWA WALIOPANGA KUINGIA BARABARANI NA KUCHOMA MATAILI NA VISIMA VYA MAFUTA, WATU WENYE NIA OVU YA KUHATARISHA MAISHA NA KUJITANGAZIA KUWA AMETISHIWA KUTEKWA NADHANI LABDA NAYEYE AWEKWE KWENYE KUNDI LA JIBWA. Maendeleo hayana vyama...
 
Fasihi haina umbo hata uzi huu pia umejibiwa kifasihi pia povu la nini sasa

Kwani hata sisi tulioitwa mbwa no mbwa kweli lakini tumekubali jina la mbwa na haswa sisi CDM na wapinzani wengine ni Mbwa kifasihi sawa

Nandio maana mwandishi amejibu kifasihi sawa yeye ni mbwa ila ametohoa kwamba Gwajima yeye ndie mbwa zaidi maana kafupiwa fupa lanyama kasahau utume ... au si ni fasihi tu
Wewe sio saizi yangu. Nimekupuuza
 
Kwako GWAJIMA

Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu

Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa kuteuliwa

Napenda kukwambia wananchi walio dhulumiwa uchaguzi kuumizwa kufungwa kuuwawa sio mbwa

Mbwa ni mtu aliye kuwa mtetezi wa watu lakini baada ya kutupiwa nyama na kusahau alicho kuwa ana hubiri

Mbwa ni yule aliye acha kuwa mtumishi wa kiroho na kuwa mtumishi wa chama na serikali

Kwa sasa unasema tuna bweka maana tayari una roho iliyo kuvaa Uzinzi /Madaraka/uongo

Askofu DESMOND TUTU alisha wahi kusema dini ni kama kisu unaweza kukatia mkate au kuumiza watu

Yawezekana kabisa unawaona waumini wako ni mbwa au mbuzi pale unapokaa madhabahuni kwa dini iziizi zimekuwa mlango wa kupumbaza na kuhalalisha mateso kwa wa Tanzania kama walivyo fanya enzi za wakoloni

Gwajima ao mbwa wanao bweka ndo walio shinda uchaguzi ngazi zote ila ukapewa wewe ubunge haramu kwa nguvu ya dola
ukaenda kuapa kwa Bible ileile inayo unayo tumia madhabahuni kuubiria haki

Ao mbwa ndo wanao kuletea sadaka hatimaye umekuwa tajiri wala uwaoni ni watu tena

Ao mbwa ndo wanao lipa kodi mishahara inalipwa apo bungeni ndo maana ukujali ukaapa kuingia kwa jasho damu na dhulma

Gwajima sisi mbwa tunakuuliza kuna mahusiano gani kati ya shetani na icho chama unacho kitumikia sasa?

Gwajima sisi ma mbwa tunakuuliza umeyaona haya yakitokea mauaji mateso kwa wapinzani uka kaa kimya kumbe ulikuwa unaona ni ma mbwa wana teseka?

Ivi nani mbwa kati ya yule aliye wekwa ndani kwa tuhuma za madawa ya kulevya baadae kidogo baada ya kuwekewa tonge mdomoni ndo anawalamba miguu?

Sisi mbwa atuta choka kupiga kelele ndo kazi yetu maana sisi ni bora kuliko mbwa aliye pewa mnofu atulie kimya.
Daah, mkuu umeandika ukweli mtupu.wahuni tu hawa.
 
Yesu alifananisha watu na mbwa sembuse Gwajima!!acheni nongwa za kitoto.
Mjinga ujingani! U Nani hasa Hadi uwafananishe binadamu wenzako na wanyama? Usisahau kuwa hii nchi no ya wote na Kama wananchi ni mbwa, hao viongozi wao watajitofautishaje maana wametokana na wananchi!
Unashadadia upumbavu badala ya kuukemea! Hii sio sawa! Tumieni mitano mwingine isiyoudhi!
 
Umri wako tafadhali!!, Sio mbaya ukieeka na elimu y'all, maana yawezekana sio kosa lako, kipi ambacho hujaelewa alichosema askofu gwajima?? DONT CAUSE A STORM IN A TEA CUP, yaani hotuba nzima umeona Hilo tuu?? Maneno hayo yalikuepo tangu hapo, uliwahi sikia waingereza wakimlaum kiongozi wao KWA kuyasema hayo. Tanua ubongo.

NB: KUWA MZALENDO NA NCHI YAKO.
 
Back
Top Bottom