Gwajima na kisa cha kuwaita binadamu 'mbwa'

CHADEMA inaungwa mkono na watu wengi wenye upeo mdogo sana na ni negative minds pia hawajisomei vitabu! Sasa huo msemo wa Winston Churchill aliotumia Askofu Gwajima imeshakuwa eti kawaita Mbwa! Ficheni upumbavu wenu!
Mbona hata Marehemu Nyerere alisema I can't keep quite seeing my country thrown to the dogs kwani alimaanisha mbwa?
 
Kwako GWAJIMA

Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu

Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa kuteuliwa

Napenda kukwambia wananchi walio dhulumiwa uchaguzi kuumizwa kufungwa kuuwawa sio mbwa

Mbwa ni mtu aliye kuwa mtetezi wa watu lakini baada ya kutupiwa nyama na kusahau alicho kuwa ana hubiri

Mbwa ni yule aliye acha kuwa mtumishi wa kiroho na kuwa mtumishi wa chama na serikali

Kwa sasa unasema tuna bweka maana tayari una roho iliyo kuvaa Uzinzi /Madaraka/uongo

Askofu DESMOND TUTU alisha wahi kusema dini ni kama kisu unaweza kukatia mkate au kuumiza watu

Yawezekana kabisa unawaona waumini wako ni mbwa au mbuzi pale unapokaa madhabahuni kwa dini iziizi zimekuwa mlango wa kupumbaza na kuhalalisha mateso kwa wa Tanzania kama walivyo fanya enzi za wakoloni

Gwajima ao mbwa wanao bweka ndo walio shinda uchaguzi ngazi zote ila ukapewa wewe ubunge haramu kwa nguvu ya dola
ukaenda kuapa kwa Bible ileile inayo unayo tumia madhabahuni kuubiria haki

Ao mbwa ndo wanao kuletea sadaka hatimaye umekuwa tajiri wala uwaoni ni watu tena

Ao mbwa ndo wanao lipa kodi mishahara inalipwa apo bungeni ndo maana ukujali ukaapa kuingia kwa jasho damu na dhulma

Gwajima sisi mbwa tunakuuliza kuna mahusiano gani kati ya shetani na icho chama unacho kitumikia sasa?

Gwajima sisi ma mbwa tunakuuliza umeyaona haya yakitokea mauaji mateso kwa wapinzani uka kaa kimya kumbe ulikuwa unaona ni ma mbwa wana teseka?

Ivi nani mbwa kati ya yule aliye wekwa ndani kwa tuhuma za madawa ya kulevya baadae kidogo baada ya kuwekewa tonge mdomoni ndo anawalamba miguu?

Sisi mbwa atuta choka kupiga kelele ndo kazi yetu maana sisi ni bora kuliko mbwa aliye pewa mnofu atulie kimya.
Mkuu naona lugha imekupita kushoto,hata Kiswahili kina misemo ,ina nahau,mafumbo na haya maneno yanaelezea tabia na si mtu ndio maana hata Nyerere aliwahi kusema siwezi kuwaachia mbwa watawale nchi yangu wakati wa Mkapa Vs Mrema na watu wakapiga kelele kumbe ni neno kuonyesha tabia na sio kwamba alimtukana Mrema, hata pia wengi husema siwezi nikaongea na mbwa nitaongea na mwenye mbwa.
 
Mbwa wanaobweka haahaaaaaa
Kwako GWAJIMA

Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu

Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa kuteuliwa

Napenda kukwambia wananchi walio dhulumiwa uchaguzi kuumizwa kufungwa kuuwawa sio mbwa

Mbwa ni mtu aliye kuwa mtetezi wa watu lakini baada ya kutupiwa nyama na kusahau alicho kuwa ana hubiri

Mbwa ni yule aliye acha kuwa mtumishi wa kiroho na kuwa mtumishi wa chama na serikali

Kwa sasa unasema tuna bweka maana tayari una roho iliyo kuvaa Uzinzi /Madaraka/uongo

Askofu DESMOND TUTU alisha wahi kusema dini ni kama kisu unaweza kukatia mkate au kuumiza watu

Yawezekana kabisa unawaona waumini wako ni mbwa au mbuzi pale unapokaa madhabahuni kwa dini iziizi zimekuwa mlango wa kupumbaza na kuhalalisha mateso kwa wa Tanzania kama walivyo fanya enzi za wakoloni

Gwajima ao mbwa wanao bweka ndo walio shinda uchaguzi ngazi zote ila ukapewa wewe ubunge haramu kwa nguvu ya dola
ukaenda kuapa kwa Bible ileile inayo unayo tumia madhabahuni kuubiria haki

Ao mbwa ndo wanao kuletea sadaka hatimaye umekuwa tajiri wala uwaoni ni watu tena

Ao mbwa ndo wanao lipa kodi mishahara inalipwa apo bungeni ndo maana ukujali ukaapa kuingia kwa jasho damu na dhulma

Gwajima sisi mbwa tunakuuliza kuna mahusiano gani kati ya shetani na icho chama unacho kitumikia sasa?

Gwajima sisi ma mbwa tunakuuliza umeyaona haya yakitokea mauaji mateso kwa wapinzani uka kaa kimya kumbe ulikuwa unaona ni ma mbwa wana teseka?

Ivi nani mbwa kati ya yule aliye wekwa ndani kwa tuhuma za madawa ya kulevya baadae kidogo baada ya kuwekewa tonge mdomoni ndo anawalamba miguu?

Sisi mbwa atuta choka kupiga kelele ndo kazi yetu maana sisi ni bora kuliko mbwa aliye pewa mnofu atulie kimya.
 
Wanajifariji baada ya kipigo na rais wao wa kwenye mitandao keshawakimbia yuko ulaya magharibi anakula nchi.
Acheni umbumbumbu . Kama hata fasihi hamzijui ndio mnataka nchi.!!! Tumechoka na uwehu wenu. MNALETA VITHREAD VYA KUTIA HURUMA ILI IWEJE?
 
Mama Rwakatare (RIP) alikuwa mchungaji na mbunge pia sijawahi sikia skendo za ajabu kwake mpaka mauti yanamkuta.

Hawa wengine naona hawaelewi hata nini wanafanya, maana wanatumia Madhabau kwa maslahi yao binafsi.
Acha hizo kwani hukumuona akipiga meza zito auwawe.
 
Mjinga ujingani! U Nani hasa Hadi uwafananishe binadamu wenzako na wanyama? Usisahau kuwa hii nchi no ya wote na Kama wananchi ni mbwa, hao viongozi wao watajitofautishaje maana wametokana na wananchi!
Unashadadia upumbavu badala ya kuukemea! Hii sio sawa! Tumieni mitano mwingine isiyoudhi!
Upumbavu ni wa kwako usioelewa maana ya misemo.

Usimlaumu Gwajima nenda kamlaumu Churchill kaburi lake lipo Uingereza kwani amenukuliwa tu.
 
YAWEZEKANA WEWE NDIYO JIBWA LINALOBWEKA NYUMA YA KIBODI. ASKOFU HAJA SEMA WANANCHI, SIDHANI ITAKUWA NDIYO IWAPO WEWE NIMIONGONI MWA WALIOPANGA KUINGIA BARABARANI NA KUCHOMA MATAILI NA VISIMA VYA MAFUTA, WATU WENYE NIA OVU YA KUHATARISHA MAISHA NA KUJITANGAZIA KUWA AMETISHIWA KUTEKWA NADHANI LABDA NAYEYE AWEKWE KWENYE KUNDI LA JIBWA. Maendeleo hayana vyama...
Hata akili ya mbuzi kuvukia barabara huna toa ushahidi wa waliotaka kuchoma visima vya mafuta kina nani ? Visima vipi ? Saa ngapi , kwa kutumia nini? Will you prove beyond reasonable doubt ? Au ndio akili za Mambosasa std 3 .
 
Kwako GWAJIMA

Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu

Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa kuteuliwa

Napenda kukwambia wananchi walio dhulumiwa uchaguzi kuumizwa kufungwa kuuwawa sio mbwa

Mbwa ni mtu aliye kuwa mtetezi wa watu lakini baada ya kutupiwa nyama na kusahau alicho kuwa ana hubiri

Mbwa ni yule aliye acha kuwa mtumishi wa kiroho na kuwa mtumishi wa chama na serikali

Kwa sasa unasema tuna bweka maana tayari una roho iliyo kuvaa Uzinzi /Madaraka/uongo

Askofu DESMOND TUTU alisha wahi kusema dini ni kama kisu unaweza kukatia mkate au kuumiza watu

Yawezekana kabisa unawaona waumini wako ni mbwa au mbuzi pale unapokaa madhabahuni kwa dini iziizi zimekuwa mlango wa kupumbaza na kuhalalisha mateso kwa wa Tanzania kama walivyo fanya enzi za wakoloni

Gwajima ao mbwa wanao bweka ndo walio shinda uchaguzi ngazi zote ila ukapewa wewe ubunge haramu kwa nguvu ya dola
ukaenda kuapa kwa Bible ileile inayo unayo tumia madhabahuni kuubiria haki

Ao mbwa ndo wanao kuletea sadaka hatimaye umekuwa tajiri wala uwaoni ni watu tena

Ao mbwa ndo wanao lipa kodi mishahara inalipwa apo bungeni ndo maana ukujali ukaapa kuingia kwa jasho damu na dhulma

Gwajima sisi mbwa tunakuuliza kuna mahusiano gani kati ya shetani na icho chama unacho kitumikia sasa?

Gwajima sisi ma mbwa tunakuuliza umeyaona haya yakitokea mauaji mateso kwa wapinzani uka kaa kimya kumbe ulikuwa unaona ni ma mbwa wana teseka?

Ivi nani mbwa kati ya yule aliye wekwa ndani kwa tuhuma za madawa ya kulevya baadae kidogo baada ya kuwekewa tonge mdomoni ndo anawalamba miguu?

Sisi mbwa atuta choka kupiga kelele ndo kazi yetu maana sisi ni bora kuliko mbwa aliye pewa mnofu atulie kimya.
Unajihangaisha tu yeyote aliyeshinda wewe una faida naye gani zaidi? Acha ale maisha buana
 
Wengi wanaokubali upuuzi wa gwajima humu ni wanaosali kwake wale watumishi wake wanajidaigi mabodigadi wake,wanafaidi nae pesa za sadaka za wenzao wale, hawafai wale, wamevimbiwa wale, wanaita binadamu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu mbwa wale, mkono wa Bwana uendelee kuwachapa wale, wanajipendekeza kwa mfalme wa dhambi wale,wajingajinga kabisa wale, sijui wanakula maharage ya wapi wale...
.
 
Upumbavu ni wa kwako usioelewa maana ya misemo.

Usimlaumu Gwajima nenda kamlaumu Churchill kaburi lake lipo Uingereza kwani amenukuliwa tu.
Elewa wewe mlamba viatu! Nakuuuliza Tena, kwanini huyo tapeli anayetumia biblia amquote huyo Churchill Sasa? Je, mazingira na sababu zilizomsukuma zinafanana na yanayotokea Tanzania kwa Sasa? Na je, baada ya maneno hayo feedback Yake ilikuwaje? Je, ilifanana na hii inayotokea hapa? Isiwe unakimbilia kuitikia chorus ukiwa huyajui maudhui ya wimbo husika!
 
Elewa wewe mlamba viatu! Najiuliza Tena, kwanini huyo tapeli anayetumia biblia amquote huyo Churchill Sasa? He, mazingira na sababu zilizomsukuma zinafanana na yanayotokea Tanzania kwa Sasa? Na je, baada ya maneno hayo feedback Yake ilikuwaje? Je, ilifanana na hii inayotokea hapa? Isiwe unakimbilia kuitikia chorus ukiwa huyajui maudhui ya wimbo husika!
Yesu aliwafananisha na mbwa watu ambao sio wayahudi wakati akiongea na yule mama kwenye biblia sembuse Churchill aliyetumia msemo kufikisha ujumbe!!.

Sembuse Gwajima aliyeamua kutumia maneno ya Churchill akilenga kumpa moyo rais!!.

Acha kuwa inferior mkuu kwani nafsi yako itakuwa inaumia kila kukicha.
 
Kawadanganye CCM. Yesu hakuwahi kuongea kwenye biblia Bali waandishi wa biblia walimquote Yesu! Rekebisha Hilo. Siku zote mtu mwenye infirioty complexity hupenda Sana kujishika kwenye mawazo na matamshi ya watu wengine kwani hajiamini!

Hivyo Gwajima bila kujishikiza kwenye maneno ya wengine hajiwezi kwani hajawahi kuwa na maneno Wala mawazo take mwenyewe zaidi ya kuichungulia biblia! The same applied to mwenyekiti wako hasa ukirefer hotuba zake na wewe mlamba visigino hukosi kwenye kundi hili. Nakusoma uwezo wa akili yako kwenye maandiko yako! Upo shallow mno when it comes to critics!
 
Kawadanganye ccm. Yesu hakuwahi kuongea kwenye biblia Bali waandishi wa biblia walimquote Yesu! Rekebisha Hilo. Siku zote mtu mwenye infirioty complexity hupenda Sana kujishika kwenye mawazo na matamshi ya watu wengine kwani hajiamini! Hivyo Gwajima bila kujishikiza kwenye maneno ya wengine hajiwezi kwani hajawahi kuwa na maneno Wala mawazo take mwenyewe zaidi ya kuichungulia biblia! The same applied to mwenyekiti wako hasa ukirefer hotuba zake na wewe mlamba visigino hukosi kwenye kundi hili. Nakusoma uwezo wa akili yako kwenye maandiko yako! Upo shallow mno when it comes to critics!
Mtu shallow halafu unatumia nguvu kumjibu!.

Gwajima katumia maneno ya Churchill wewe povu linakutoka!

Umekatazwa na wewe kutumia maneno ya watu fulani maarufu ili ujumbe wako ufike?.

Misemo siku zote sio lazima iifurahishe nafsi yako jifunze kuwa mpole na kutafakari mambo pasipo kutanguliza hasira.
 
Huelimishiki! Kalambe visigino vya mabwana zako but don't forget, hizo quotation zitawatokea pabaya!
 
Mkuu ni maneno ya Sir Winston Churchill, “If you have a destiny and you stop everywhere throwing stones to the dogs that are barking at you, you won’t arrive to your destiny.”

Iweje unataka kumbebesha nzigo mtu mwingine?
Yaani umemjibu kwa ukweli 100% ila kwa sababu mleta andiko ni mnafiki na alileta bandiko kwa lengo la ufitinishi basi atajifanya kupotezea maksudi
 
Ni makosa ya kutumia maneno au nukuu ambazo firmlly zitavuruga akili za watu katika tukio kama lile,kuna mmoja nae alipewa nafasi kwa heshima yake naye alishusha maneno yake makali kwa kusema wale ni malofa na wapumbavu.Wanasiasa wajifunze kuchagua maneno na nukuu za kuongea wanaposikilizwa na watu wa aina mbalimbali
 
Hapa nilipo na download porno ya Rashid mbwa mimi

Nikimaliza hii naangalia video ya makonda akimtaja mchungaji kua ni Teja na utajiri ameupata kupitia ngada

Then namalizi scandals kutoka gazeti la mbunge mwenzio kua umezaa na mke wa mbasha
 
Back
Top Bottom